FFBF Talents

FFBF Talents Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from FFBF Talents, Apparel & Clothing, Bujumbura, Bujumbura.

Habari ma bibi na mabwana. Mambo yalikua ivi le 29/12. Tumechapa kazi ya maana sana πŸ˜…mambo ya likua k**a unavyoona kweny...
02/01/2025

Habari ma bibi na mabwana.
Mambo yalikua ivi le 29/12. Tumechapa kazi ya maana sana πŸ˜…mambo ya likua k**a unavyoona kwenye picha.
FFFBF Talents𝐅𝐅𝐅𝐁𝐅 π“π‘π€πˆππˆππ† 𝐂𝐄𝐍𝐓𝐄𝐑mHeri Cristian Mchumbe Welldone Boy Simba MgamboPi-poΓ¨te

04/10/2024

Kijana wetu na mambo yake πŸ˜€ ebu tumpe mauwa yake.

19/06/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Mk Alino, Salma Silva La Reine, Ntungwanayo Issa

Ma fans wapendwa, nataka kuwakaribisha kufuatilia ukurasa wetu wa Facebook ambapo tutashirikiana pamoja katika safari ya...
14/05/2024

Ma fans wapendwa, nataka kuwakaribisha kufuatilia ukurasa wetu wa Facebook ambapo tutashirikiana pamoja katika safari ya elimu kupitiya maigizo ya uhalisiya na uchekeshaji.
Ivo basi, Usikose updates muhimu na matukio mbali mbali ya kusisimua.

Jiunge sasa !, kuna jambo laja ivi karibuni .

πŸ“Έ : Riziki & Kenedy
𝐅𝐅𝐁𝐅 π“π‘π€πˆππˆππ† 𝐂𝐄𝐍𝐓𝐄𝐑

Jumapili ni siku ya kuchaji roho na simu yako - Kwanza sala, kisha facebook na youtube !πŸ˜‚Kuwa tayari kupokeya kazi kutok...
12/05/2024

Jumapili ni siku ya kuchaji roho na simu yako
- Kwanza sala, kisha facebook na youtube !πŸ˜‚

Kuwa tayari kupokeya kazi kutoka kwa waigizaji wa FIGHTING FOR A BETTER FUTURE Talents.
Usikose ku tufuatilia

𝐅𝐅𝐁𝐅 π“π‘π€πˆππˆππ† 𝐂𝐄𝐍𝐓𝐄𝐑
M'mbondo foundation
Pi-poète

Jiunge nasi katika safari inayo kuja  ya kipekee kwa kukupa hisia, ucheshi, na furaha. Usikose kuwa sehemu ya watakao tu...
11/05/2024

Jiunge nasi katika safari inayo kuja ya kipekee kwa kukupa hisia, ucheshi, na furaha. Usikose kuwa sehemu ya watakao tuunga mkono katika zowezi zima la kuhangalia na kusambaza kazi zetu.

Kuna jambo laja, jamani mpoohh...!?

𝐅𝐅𝐁𝐅 π“π‘π€πˆππˆππ† 𝐂𝐄𝐍𝐓𝐄𝐑
M'mbondo foundation

😴😭😭😭😴😭😴😴😭😭😴😭😭😭Kwa huzuni kubwa, napenda kuwajulisha kwamba hatukufanikiwa kutekeleza filamu k**a tulivyopanga. Licha ya ...
10/05/2024

😴😭😭😭😴😭😴😴😭😭😴😭😭😭

Kwa huzuni kubwa, napenda kuwajulisha kwamba hatukufanikiwa kutekeleza filamu k**a tulivyopanga. Licha ya juhudi zetu na moyo wetu wa kujitolea, mambo yasiyotarajiwa yametuzuia kufikia lengo letu. Kwa waigizaji wote waliohusika, ningependa kuwaeleza kwamba kazi yenu na shauku yenu imekuwa ya kipekee. Endeleeni kujitahidi na kutoa juhudi zenu bora katika kila mradi. Maanguko yanaweza kuwa fursa za mafanikio mapya. Endeleeni kuwa na hamu, endeleeni kuamini katika ndoto zenu, na kamwe msikate tamaa. Kipaji chenu ni cha thamani na juhudi zenu zitathaminiwa. Asanteni kwa ufanisi wenu na kujitolea kwenu.

ila bado kuna jambo, Kaeni mkao wa kula.
Hii haikufaulu, ijayo mtafurai...
Jipya lingine laja ! ✊

Sapoti yenu, nguvu yetu

𝐅𝐅𝐁𝐅 π“π‘π€πˆππˆππ† 𝐂𝐄𝐍𝐓𝐄𝐑

Ndugu, rafiki mpendwa mfuatiliaji wa FFBF Talents, nakuhakikishiya kwamba siku iyo ya mualiko wa muungano wa MMBONDO FOU...
25/02/2024

Ndugu, rafiki mpendwa mfuatiliaji wa FFBF Talents, nakuhakikishiya kwamba siku iyo ya mualiko wa muungano wa MMBONDO FOUNDATION, ilikuwa kivumbi na jasho, full kucheka na kujifunza kupitiya maigizo ya vijana wetu wenye kujituma kwa ufasaha ili kuburudisha na kuhelimisha jamii.
Na Leo hii vijana mahiri wa sanaa la uigizaji na uchekeshaji wamepokeya zawadi ya picha ilio chapishwa kwenye hema , k**a shukurani kwa kazi nzuri walio ifanya sikuiyo.
Waigizaji hao wakizazi kipya wame furahia kitendo hicho, na kutowa shukrani za zati kwa mwalimu mkuu wa FFBF TRAINING CENTER kwa sapoti na uangalizi, piya kwa uongozi na k**ati kuu ya MBONDO FOUNDATION kwa kuwapa chapisho hilo.

Hizi hapa, bahadhi ya picha ya wasanii, viongozi na chapisho lao.

Kwa sasa kuna mtazamo tofauti kbs, ivi una pokeya je swala hili ?
Comment and share basi ili kuwa sapoti zaidi.

FFBF forever ✊
𝐅𝐅𝐁𝐅 π“π‘π€πˆππˆππ† 𝐂𝐄𝐍𝐓𝐄𝐑d@followersordays

ilikuwa ni jumapili, tariki 11 februari mida ya saa kumi na nusu, wakati wa mualiko ulio tolewa na muungano wa MMBONDO F...
23/02/2024

ilikuwa ni jumapili, tariki 11 februari mida ya saa kumi na nusu, wakati wa mualiko ulio tolewa na muungano wa MMBONDO FOUNDATION Unao ongozwa na ndugu, rafiki Ferdinand fidèle Algaf.
Ukumbi ulikuwa kimya kabisa, umepowa k**a maji kwenye mtungi, ila bahada ya kuwasili kwa kundi zima la FFBF talents lenye vijana wanaujituma ipasavyo katika sanaa ya uchekeshaji, waliowengi walisisimuka na alie kuwa amelala aliamuka.
Hakika hapakuwa mda wa kufunga uso na stress tena, bali ulikuwa ni mda wakucheka na kufuraiya maigizo yenye vichekesho na mafunzo ndani yake.

Waliokuwepo hawakujuta kuona vipaji vya vijana hawa.
Hendeleeni kujituma kwa ufasaha vijana wetu, mazuri ni mbele, mafanikio ni ngazi kwa ngazi. Maana kila mnapo panda jukwani huwa ni mda wa furaha na kujifunza.
Hongereni kwa hatuwa hii.
Sibitisha kwa comment k**a ume furaiya walicho kifanya.

FFBF training center forever ✊
𝐅𝐅𝐁𝐅 π“π‘π€πˆππˆππ† 𝐂𝐄𝐍𝐓𝐄𝐑

Anaitwa WELLDONE BOY mkali wa stage player.Huyu mwamba hajawai kutuhangusha, stage ndo nafasi pekee anapo weza kukutowa ...
31/01/2024

Anaitwa WELLDONE BOY mkali wa stage player.
Huyu mwamba hajawai kutuhangusha, stage ndo nafasi pekee anapo weza kukutowa stress mpaka ukasahau hata na jeraha la yule mdada alie kuhacha kisa tu huna pesaπŸ˜‰πŸ˜œ.
Ni kijana anaye jituma sana, kwa sasa yupo tayari kupokeya neno moja kutoka kwako.
Hebu mwa mbiye neno basi kwa ku comment.

𝐅𝐅𝐅𝐅𝐁𝐅 π“π‘π€πˆππˆππ† 𝐂𝐄𝐍𝐓𝐄𝐑wFFBF Talents Boy Simba Mgambo

Napenda sana kumuita mkali wa igizo zenye hasira kali. Uyu jamaa namkubali sana kwa ushupavu na ubinifu wake usiokuwa wa...
28/01/2024

Napenda sana kumuita mkali wa igizo zenye hasira kali. Uyu jamaa namkubali sana kwa ushupavu na ubinifu wake usiokuwa wa kibandiya.
Anaitwa Dr. Delan, Kijana mwenye matata yake.

Una mshauri nini uyu jamaa ?!
𝐅𝐅𝐁𝐅 π“π‘π€πˆππˆππ† 𝐂𝐄𝐍𝐓𝐄𝐑
FFBF Talents

Mmoja wa mabinti wanao fanya vizuri kwenye sanaa ya maigizo na uchekeshaji FFBF TalentsUna mfahamu tokeya lini na kwa ji...
27/01/2024

Mmoja wa mabinti wanao fanya vizuri kwenye sanaa ya maigizo na uchekeshaji FFBF Talents
Una mfahamu tokeya lini na kwa jina gani ?

Naanza mimi πŸ‘‡
πŸ˜‚
𝐅𝐅𝐁𝐅 π“π‘π€πˆππˆππ† 𝐂𝐄𝐍𝐓𝐄𝐑

Address

Bujumbura
Bujumbura

Telephone

+25765152620

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FFBF Talents posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to FFBF Talents:

Share