28/08/2024
happy birthday mwanangu mkubwa wa kabangu namba moja wa watoto wangu naomba unipaye neema nikujue ili uendeleze kazi nzuri anayoifanya katika maisha yako unifanye niwajibike nimelazimika kukupenda wewe ni wewe. mfano kwa ndugu zako kaka mkubwa mwenye kuwajibika hutashindwa utapata ushindi kwa kila jambo neno la Mungu litimie maishani mwako nilizaa mtu mwenye nguvu kiroho, kimwili mtu mwenye akili na zaidi ya yote mwenye hekima nyingi Mungu aendelee kazi yake happy birthday