Wasafi Deco 001

Wasafi   Deco 001 mens fashion we deliver country wide

01/02/2025

Back to business

01/10/2024

Kila cku unaamka asubuhi km mazowea unapata msgs zangu za salamu n kukujulia hali,
Kuna siku hutapata txt zangu wala lolote wala kuniona online, utashangaa nn mbaya unichakure kila mahali mtandaoni,
Utanitafuta kwa simu yangu hutanipata tena hewani,
Utarudi kwa marafki ukikumbana n habari za tanzia innalillahi wainailayhi rajiuon khamisi Deco001 hatuko nae tena mazishi baada asri n kustiriwa maziara fulani,wanao nipenda mashabiki marafiki wana familia n watakao guswa n habari zangu,
Kimya n huzuni kitatanda kwa wote wakitingisha vichwa kwa masikitiko baba mola mlaze nafsi yake salama kwa waliyo wema ameen,
Mbna ghafla nilikua nae jana tuliswali nae niliongea nae kwa simu alikua mzima lkni hakuna atakae nirudisha tena duniani huondio utakuwa mwisho wangu n wako kwenye huu mgongo wa dunia kwaherini nyote.

26/02/2023
1200
09/10/2022

1200

mzigo mpya weka oda uako kuanzia kesho  1000
09/10/2022

mzigo mpya weka oda uako kuanzia kesho 1000

1000
03/10/2022

1000

+254733478930
21/09/2022

+254733478930

mzigo tayari ushawasili +254733478930
04/09/2022

mzigo tayari ushawasili +254733478930

04/09/2022

Address

Kisauni
Mombasa
40641

Telephone

+254733478930

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wasafi Deco 001 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share