J king officiol page

J king officiol page Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from J king officiol page, Men's clothes shop, www. jkingofficiol@gmail. com, Narok.

08/11/2025

New post👊👊

House girl alitandika kitanda cha boss wake k**a moja ya majukumu yake, Alipomaliza akakitazama kisha akasema "nisije ni...
18/10/2025

House girl alitandika kitanda cha boss wake k**a moja ya majukumu yake, Alipomaliza akakitazama kisha akasema

"nisije nikafa bure bila kukilalia kitanda hiki" akavua nguo zake akabaki na chupi akawasha AC akapanda kitandani akajifunika blanketi akalala, usingizi ukampitia akalala fofofo.

Mume wa boss wake akarudi nyumbani mapema siku hiyo japo sio kawaida yake, alipoingia chumbani akakuta kuna mtu kalala, akajua ni mkewe maana wamekorofishana usiku wa kumkia siku hiyo hivyo akajua bado anahasira.

Mume akavua nguo zake akabaki na boxer akalifunua blanket taratibu ili aliyelala asimsikie akajifunika akalala akasinzia fofofo.

Boss akarudi yaani mke akakuta watu wawili wamelala... Akawafunua haraka kisha akawaamsha.

CHEMSHA BONGO:

1. Je, wewe ndio ungekuwa yule boss/mke ungewaelewa?

2. K**a wewe ndie ungekuwa mume wa yule boss ungejitetea vipi?

3. K**a wewe ungekuwa yule mfanyakazi ungejitetea vipi??

4. Hiyo yote imesababishwa na nani? Mke/boss, mume au mfanyakazi

Weka jibu Lako hapo kwa Comments👇
Follow me 👉 J king officiol page

Address

Www. Jkingofficiol@gmail. Com
Narok

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when J king officiol page posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share