Modo Midundo

Modo Midundo 🐦 Kwa mahitaji ya Raba kali
Midundo
0787616723. Dar es salaam

12/09/2024

07/09/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Moudy Ngote, Veronica Upunda

18/08/2024

Story kuhusu wasanii na watu maarufu tembelea chanel yetu

"DEAR MFANYABIASHARA"Pole kwa yote magumu unayopitia'najua ni changamoto zinazopita! biashara ni sawa na mpenzi uliyempa...
17/08/2024

"DEAR MFANYABIASHARA"

Pole kwa yote magumu unayopitia'najua ni changamoto zinazopita! biashara ni sawa na mpenzi uliyempata kwa uharaka au kwa kuvumilia! uliyempata kwa uharak uenda hasidumu k**a kwa yule aliyekuangisha na kumvumilia! hiyo ndo biashara!

mafanikio na matokeo mazuri hayaji kwa uharaka lazima usote kimtindo kwahyo uvumiliv pamoja na juhudi ndo nguzo pekee"zinazoweza kukufanya ufikie malengo dear mfanyabiasha!
kodi nayo ni changamoto nyngne kipato kidogo afu kodi kubwa ! kweli dunia haiko sawa! uzima na kuwa karibu na muumba ndo jibu tosha! utashinda "dear mfanyabiasha" me ni
KimodoMsfi Og
... Hili ni shairi unaweza kulipata kwa njia ya sauti... Stay connected.
.......
○ Bora kuwa mvuta bangi kuliko kuwa Malaya♡...

3. Hakuna kiumbe chochote cha kubeba sifa ya malaika.. Wewe mwanaume unayedanganyika kwa wanawake na kuwapa jina Malaika...
26/06/2024

3. Hakuna kiumbe chochote cha kubeba sifa ya malaika.. Wewe mwanaume unayedanganyika kwa wanawake na kuwapa jina Malaika unakosea Sana.. Au mtoto mdogo kuwa ni malaika .. Unakosea sifa ya malaika ni ya kipekee afu hakuna ... Aliyewai Ku on a malaika mwenye jinsi ya k**e au kiume ... Ila malaika hawezi kuwa wa k**e...!! Uzuri wa malaika unaanzia ucha mungu sio vigagura ..wanadamu....!! ......... Acha kuendeshwa na mapenzi........

Address

Islamabad

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Modo Midundo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share