Kanzu Zanzibar

Kanzu Zanzibar Kanzu bora, kwa ajili ya ibada, matembezi, na nyumbani, zifaa sana kwa watu wa rika zote.

Assalamu Aleykum...Karibu sana, Kanzu Clasic za Morocco Style...Tupo Dar es salaam Kigamboni  na ZanzibarJipatie Kanzu z...
05/06/2026

Assalamu Aleykum...
Karibu sana, Kanzu Clasic za Morocco Style...
Tupo Dar es salaam Kigamboni na Zanzibar

Jipatie Kanzu za ubora wa kipeke kwa ajili ya:
- Ibada
- Nyumbani
- Kazini
- Shuhulini

Pia ni zawadi bora na ishara ya upendo kwa wapendwa wetu, ndugu, jamaa na marafiki.

Miko yote tunatuma Tanzania, pamoja na Mombasa Kenya.
Tutakusaidia kupeleka mzigo wako Kituo Cha Bus zinazokuja ulipo (Transpoer)

BEI:
Bei ya Reja Reja ni 45,000 kwa pc 1.
Bei ya Jumla Ukichukua Kuanzia Pcs 3 , ni 40,000 kwa pc 1

Karibu whatsapp tukutumie rangi na aina ili ichague unazohitaji.

Whatsapp/Call 0758 100 455 / 0784071147.

KARIBU SANA.

Morocco style, kanzu bota kwa maisha ya kila siku.Karibu kwetu ujipatie kanzu kwa bei rafiki.MIkoani tunasafirisha kwa g...
29/05/2026

Morocco style, kanzu bota kwa maisha ya kila siku.
Karibu kwetu ujipatie kanzu kwa bei rafiki.

MIkoani tunasafirisha kwa gharama ya mteja. Sisi tutakusaidia tu kufikisha mzigo wako Transporter.

Tupo Kigamboni Daresalaam na Zanzibar.

Piga +255758100455 au +255784071147

Morocco Style,  Karibu sana
13/05/2026

Morocco Style, Karibu sana

Karibu ujipatie KANZU za ubora wa juu, Morocco Style.Zinafaa kwa:- Ibada.- Mazingira ya Kazi.- Zinakupa hewa ya kutosha ...
13/05/2026

Karibu ujipatie KANZU za ubora wa juu, Morocco Style.
Zinafaa kwa:
- Ibada.
- Mazingira ya Kazi.
- Zinakupa hewa ya kutosha wakati wote.
- Vazi la heshima.
-Inafaa kwa mapunziko nyumbani na Weekend.
-Zawadi bora kwa wazee, jamaa na marafiki.

Tunapatikana Kigamboni Dar es salaam, na Zanzibar.
Piga 0758100455 au 0784071147

Morocco Style, kanzu nzuri kwa ajili ya matjmizi ya nyumbani, ibada na ofisini.Zina kupa uhuru wa mwili, hewa ya kutosha...
30/04/2026

Morocco Style, kanzu nzuri kwa ajili ya matjmizi ya nyumbani, ibada na ofisini.

Zina kupa uhuru wa mwili, hewa ya kutosha, na nzito kwa ajili ya stara.

Tunapatikana Dar es salaam Kigamboni na Amani Zanzibar.

Wahi sasa kanzu ni bora sana, weka order yako k**a unahitaji kwa ajili ya biashara au matumizi binafsi.

Bei:
Rejareja ni 50,000 tu kwa 1pc

Jumla ni 45,000 kuanzia 10pc

Kwa wale wa mikoani Delivery ni mpaka Transporter tu, mfano kwenye bus na baada ya hapo atalipia nauli wewe.

Kwa Dar es salaam ni Free Delivery.

Call: 0784071147

SEMA KANZU ZA MOROCCO STYLE.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kanzu Zanzibar posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share