Kangaweartz

Kangaweartz Seller of Kanga from Mombasa,Oman &Zanzibar. Also we have Masai Shukas/sheets

Ofa ya Juni 2026!Karibu upate kanga kubwa za Zanzibar Sutrah brand kwa bei ya punguzo ya tsh 18,500/=.Kanga hizi ni kubw...
17/06/2026

Ofa ya Juni 2026!

Karibu upate kanga kubwa za Zanzibar Sutrah brand kwa bei ya punguzo ya tsh 18,500/=.
Kanga hizi ni kubwa, vipande viwili, hazina maneno na ni laini kiasi.
📍Duka lipo Savei Kontena Jekundu, 6 Tupendane Street karibu na Mlimani City.

📦Mkoani pia tunatuma kwa gharama ya mteja.
Unauchaguzi Wa kufanyiwa delivery au kutembelea dukani kwetu.

📞Call/WhatsApp namba ya dukani :+255620131972

⏰ Muda wa kazi: Jumatatu–Jumamosi | Saa 3:00 Asubuhi – 12:00 Jioni .

Asante sana wote mnao endelea kufuatilia akaunti hii ya  . Kwa kanga kutoka Mombasa, Oman na Zanzibar. Pia mashuka ya Ki...
17/06/2026

Asante sana wote mnao endelea kufuatilia akaunti hii ya .
Kwa kanga kutoka Mombasa, Oman na Zanzibar. Pia mashuka ya Kimasai usisite kuwasiliana nasi🤗.

Bei zetu ni k**a ifuatavyo:

1. Kanga za Mombasa:reja reja ni 21,000 na jumla kuanzia kanga 3 ni 19,000. Pia kuna za reja reja 24,000 na bei ya jumla 22,000 kuanzia kanga 3.

-Kuna kanga za Mombasa zilizo kwenye sale/punguzo la bei kuna za 15,000, 17,000,19,000 na 22,000.

2. Kanga za Zanzibar kubwa :reja reja ni 21,000 na jumla kuanzia 3 ni 19,500.

-Kuna kanga size ya Kati: reja reja ni 17,000 na jumla kuanzia 3 ni 15,000.
-Kanga za Zanzibar ndogo: reja reja ni 13,000 na jumla kuanzia 3 ni 10,000.

3. Kanga za Oman: reja reja ni 25,000 na jumla kuanzia kanga 3 ni 23,000. Kuna iliyo kipande kimoja kikubwa na kuna yenye vipande viwili nayo ni kubwa. Zote ni cotton laini na hazina maneno.

4. Shuka la kimasai moja ni 17,000 na bei ya jumla 13,000 kuanzia mashuka matatu.

5. Vipepeo/hand fan 15,000

6.Bookmarks za kanga 7,000

7.Notebooks zilizofunikwa kwa kanga ndogo-12, 000 na kubwa 15,000.

8. Diaries za 2026 zilizo nakshiwa na kanga zipo kwenye bei ya punguzo ya Tsh. 13,000/=.

Tafadhali chagua bidhaa upendazo na tutajipanga zikufikie/delivery au kutembelea dukani kwetu.

📍Tupo Savei – Kontena Jekundu, 6 Tupendane Street karibu na Mlimani City, Dar es Salaam.

đźšš Tunafanya delivery ndani na nje ya Dar es Salaam (Mteja analipia).

Wateja wa Mikoani mizigo italipiwa na usafiri pia ndio mzigo utatumwa.

⏰ Muda wa kazi: Jumatatu–Jumamosi | Saa 3:00 Asubuhi – 12:00 Jioni

📞 Simu ya Dukani: 0620 131 972

Ofa ya Juni 2026!Karibu upate kanga kubwa za Zanzibar Sutrah brand kwa bei ya punguzo ya tsh 18,500/=.Kanga hizi ni kubw...
16/06/2026

Ofa ya Juni 2026!
Karibu upate kanga kubwa za Zanzibar Sutrah brand kwa bei ya punguzo ya tsh 18,500/=.
Kanga hizi ni kubwa, vipande viwili, hazina maneno na ni laini kiasi.
📍Duka lipo Savei Kontena Jekundu, 6 Tupendane Street karibu na Mlimani City.

📦Mkoani pia tunatuma kwa gharama ya mteja.
Unauchaguzi Wa kufanyiwa delivery au kutembelea dukani kwetu.

📞Call/WhatsApp namba ya dukani :+255620131972

⏰ Muda wa kazi: Jumatatu–Jumamosi | Saa 3:00 Asubuhi – 12:00 Jioni .

15/06/2026

New stock âť—âť—

Karibu upate kanga za Oman: reja reja ni 25,000 na jumla kuanzia kanga 3 ni 23,000.

Zote ni cotton laini, vipande viwili na hazina maneno.

Tafadhali chagua bidhaa upendazo na tutajipanga zikufikie/delivery au kutembelea dukani kwetu.

📍Tupo Savei – Kontena Jekundu, 6 Tupendane Street karibu na Mlimani City, Dar es Salaam.

đźšš Tunafanya delivery ndani na nje ya Dar es Salaam (Mteja analipia).

Wateja wa Mikoani mizigo italipiwa na usafiri pia ndio mzigo utatumwa.

⏰ Muda wa kazi: Jumatatu–Jumamosi | Saa 3:00 Asubuhi – 12:00 Jioni

📞 Simu ya Dukani: 0620 131 972

13/06/2026

Address

Savei Mlalakuwa
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 18:00
Tuesday 09:00 - 18:00
Wednesday 09:00 - 18:00
Thursday 09:00 - 18:00
Friday 09:00 - 18:00
Saturday 09:00 - 18:00

Telephone

+255715131972

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kangaweartz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share