Brodie Beauty Store

Brodie Beauty Store Tunauza vipodozi kwa kwa jumla na reja reja
Tunapatikana Bunju B Dsm, Delivery ipo kwa dar na mikoani kwa gharama za mteja.
0689766004

Mikoani tunatuma kwa gharama nafuu na uaminifu ni uhakika.❤️🙏Tupo Kariakoo DSM.Pia Tunatoa ushauri bure kuhusu bidhaa za...
22/10/2024

Mikoani tunatuma kwa gharama nafuu na uaminifu ni uhakika.❤️🙏
Tupo Kariakoo DSM.
Pia Tunatoa ushauri bure kuhusu bidhaa za ngozi.
Nicheki whats app kwa 0756827351

14/10/2024

Mara moja au mbili kwa week sio mbaya kuoga kwa hatua, sio kila siku unajipaka maji🤣🤣🤣
Anza na product chache za budget yako

01/10/2024

HAIR FERTILIZER INASAIDIA
KUKUZA NYWELE
KUZUIA NYWELE KUKATIKA
MBA SUGU
KUTIBU VIDONDA VYA NGOZI YA NYWELE
KUTIBU MIWASHO ISIOISHA.
UNAPATA KWA 18,000 TU
CALL 0756827351

20/09/2024

Hair oil 15,000
Hair fertilizer 18,000
Set 33,000 unapata na kitana kimoja
Yanatumika kwa nywele aina zote natural na zenye dawa.
Tunafanya delivery kwa dar, mikoani tunatuma kwa uaminifu.
Tunapatikana mbezi mwisho na sinza mapambano
Call: 0756827351

07/09/2024

Hair fertilizer 18,000 tu..
0756827351

06/09/2024

Ule msemo" kaa na dawa mda mrefu ili ikolee" mtakuja unguza ubongo.
Msiseme sikuwaambia🤣🤣

06/09/2024

Bag, nzuri unabeba popote, material yake ni nzuri.
Ina nafasi ya kutosha kuweka vitu vyako.
Unaipata kwa 40,000 tu
0756827351

Send a message to learn more

06/09/2024

Vaseline lotion nzuri sana, kwa kuweka ngozi sawa, haichubui, unang'aa kawaida sana.
Utapata kwa 28,000 tu
0756827351

05/09/2024

Una mikunjo ya ngozi ya mwili, ngozi imedhoofu, mabakabaka.. tumia hii scrub upate na sabuni ya tumaric + body oil.. utakuja kunishukuru..
Utaipata kwa 15,000 tu
0756827351

03/09/2024

Brodie hair oil.
Best organic oil, yenye mchanyiko wa vitu asilia, kazi yake kubwa ni
📌kulainisha nywele,
📌Kutunza moisture ya nywele na ngozi.
📌kuzuia nywele isijifunge, nywele isikatike hovyo
📌Inasaidia kutunza rangi ya nywele isibadilike licha ya kuweka dawa.( kwa wanawake)
📌 Itafanya nywele iwe na mvuto na kung'aa.

Hair oil inapakwa kwenye nywele pekee( kuanzia chini mpk ncha ya nywele).
Mafuta haya yanatumika jinsia zote, na watoto kuanzia miaka minne na kuendelea..

Utaipata kwa 15,000 tu.
Confirm order yako mapema.
0756827351

31/08/2024

HAIR FERTILIZER inasaidia nywele yako iwe na afya na italinda nywele dhidi ya vitu vifuatavyo.
📌mba sugu
📌 Nywele kupauka na kupukutika
📌 Ukavu wa ngozi ya kichwa
📌Kukatika hovyo kwa nywele.
📌Nywele kudumaa
📌Pia itaponesha vidonda vya ngozi ya nywele..
📌Itaboost ukuaji wa nywele zako na kujifanya ziwe na mvuto.
HAIR FERTILIZER ni bidhaa itakayokupa matokeo ya muda mrefu, na hutojutia.

Karibuni inbox,nafanya delivery dar na mikoani kwa uaminifu❤️🙏🏾
Unapata kwa 18,000 tu
Jumla pia unapata.
0756827351

30/08/2024

Wanaume naomba mkae hapa, hizi ndo signature zenu. Mkitaka msifiwe na wadada kila mkipita basi kuwa na moja au mbili ya hizi.🤗

Address

Bunju B
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255756827351

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Brodie Beauty Store posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share