Suzan Vicent

Suzan Vicent Sueclothline
Fashion &style &female 👗
Mtumba cream (thrift )
📫mbezi Luis barabara ya kinyerezi opposite na kiwanda cha mabati
☎️0623989064 delivery ipo 🇹🇿

09/06/2026

Sawa mwenetu 😂😂😂 uku
Tunauza magauni mazuri bei nafuu mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa mno , take risk binti hutojutia

08/06/2026

We love feedback 🙏 asanteni wote mnaoendelea kusapot mzgo bado upo wa kutosha karibuni Sanaa

Tunafanya delivery mikoa yote Tunapatikana mbezi Luis barabara ya kinyerezi opposite na kiwanda cha mabati

05/06/2026

🚨 FRIDAY ALERT! 🚨
Wateja wetu wapendwa, weekend deals zimewasili! 😍
Karibuni Sueclothline mchague mavazi mazuri kwa bei ambazo hazitaumiza mfuko. Leo ndiyo siku ya kujiongezea confidence na mwonekano mpya. ✨💃🏾
Tunawasubiri! ❤️

03/06/2026

si mnaijua kausha damu lakini 😂😂

03/06/2026

Dress available Size:small
Price 20000/=

Delivery ipo mikoa yote

02/06/2026

Kupendeza ni muhimu sanaa wakali wa magauni mazuri chimbo ni hili hapa tuu karibuni Sanaa

01/06/2026

look expensive at affordable price Tupigie kwa namba 0623989064

Tunafanya delivery mikoa yote Tunapatikana mbezi Luis barabara ya kinyerezi opposite na kiwanda cha mabati

01/06/2026

Happy new month 😚may this month be best month with blessings and upate wasaa wa kununua kutoka kwetu
Karibuni Sanaa kwa magauni mazuri quality imezingatiwa

Tupo mbezi Luis kinyerezi road

30/05/2026

Saturday are for wedding na wewe k**a mgeni mualikwa unavaa nini ???Kwa magauni mazuri yenye quality na bei nafuu hapa ndio umefika
Whatsapp no :0623989064
mbezi Luis kinyerez road

Delivery ipo mikoa yote

Address

Msigani
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 20:00
Tuesday 08:00 - 20:00
Wednesday 08:00 - 20:00
Thursday 08:00 - 20:00
Friday 08:00 - 20:00
Saturday 10:00 - 19:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Suzan Vicent posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share