African boy brand

African boy brand The african boy products are available . T shirts ,sweaters,shoes, phones cover etc

01/09/2022

Pi is a new digital currency being developed by a group of Stanford PhDs. For a limited time, you can join the beta to earn Pi and help grow the network.

09/04/2022
Africanboy products
26/03/2022

Africanboy products

08/03/2022

Bobrisky ni mwanamke Mnigeria aliyebadili jinsia na tabia (LGBT), Kwa Sasa Anatambulika K**a Mwanamke na yeye Anapenda Watu wamtambue hivyo na sio Mwanaume.

sababu kubwa yeye kujibadilisha Jinsia na kuwa mwanamke Amesema ni kufungua fursa nyingi ili kujiongezea kipato zaidi.

Alisema wakati akiwa mwanaume hajabadilisha jinsia, hakuwa na pesa, na hakuna aliyeshughulika naye kwa sababu hakuwa na pesa. "Nilikuwa napambana".

"Wanawake hawajui kwa namna gani wana nguvu, wengi wao hawajui kutumia vipaji vyao k**a wanawake."

Bobrisky akaamua kwamba hataki hali hiyo , alitaka kuwa mtu anayejisimamia mwenyewe

Mama Yangu Ni mtu pekee aliyenipenda sana na kuniunga mkono nilipo badilisha Jinsia wakati kila mmoja alikuwa akinikataa."

"Pesa ni kila kitu. K**a unasema pesa sio kila kitu, unajidanganya mwenyewe. Unahitaji kuwa na hadhi fulani, ikiwemo pesa.

Mwaka 2016 Meneja wa mawasiliano wa Google Afrika Magharibi, alisema Bobrisky alikua anaongoza k**a mtu aliyesomwa na kutafutwa sana habari zake kupitia Google nchini Nigeria.

Umaarufu wake umemfanya kutumika kwenye shughuli mbalimbali za kijamii zikiwahusisha pia watu maarufu wakiwemo waigizaji.

"Wengi Mnaniuliza Je Lini Utaolewa Bob? Mwanaume ninaempenda Tayari Ameshaoa Lakini Nasubiria Ampe Talaka Mkewe Ndio aniowe Mimi, Sijui ni kwa Muda Gani Itachukua Ila Hivi Karibuni" Huo ni Ujumbe wake Ameuandika Kwenye Ukurasa Wake wa Instagram

Hivi Karibuni Ameahidi Kutembelea Nchini Tanzania 🇹🇿

Gusa Link hiyo Kisha Follow Ukurasa Wetu wa INSTAGRAM 👇

https://instagram.com/mudumoh_official?utm_medium=copy_link

26/01/2022

African boy headquarter

African boy boxers
20/01/2022

African boy boxers

12/01/2022
The  CEO's
06/01/2022

The CEO's

 products are available.  For more informations chek 👉 the CEO
02/01/2022

products are available. For more informations chek 👉 the CEO

  t-shirts are available
01/01/2022

t-shirts are available

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when African boy brand posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to African boy brand:

Share