09/11/2024
Karibuni sana katika biashara yetu mpya ........tunatoa huduma ya chakula kwa upande wa keki.
Tunauza keki kwa bei nzuri unafurahia.
Keki zetu ni laini na zenye ladha nzuri mnooo
Karibuni sana wateja wetu wa thamani
Tunapatikana Dar es salaam- Kinondoni- Madale mwisho
Piga/watsap 076662635....Lily's Cakes