Chric Accessories

Chric Accessories Utapata collection ya accessories mbalimbali kuanzia za urembo na vifaa.

Macbook Pro 201613-inch,Two Thunderbolt 3 PortsProcessor 2Ghz Intel Core i5 Memory 8GB 1867 MHz LPDDR3Startup disk Macin...
27/10/2022

Macbook Pro 2016
13-inch,Two Thunderbolt 3 Ports
Processor 2Ghz Intel Core i5
Memory 8GB 1867 MHz LPDDR3
Startup disk Macintosh HD
Graphics Intel Iris Graphics 540 1536 MB
Storage 250 SSD

CHANGAMOTO ni flexgate kioo chake kinafunguka nusu zaidi ya hapo kioo kinazima ila laptop inakua bado inafanya kazi matengezo Tsh 270000-300000. Kila kitu kingine kipo sawa,battery yake bado nzima sana anaiuza laptop k**a ilivyo.

BEI Tsh 950000/=
Call\WhatsApp 0754243276

ARGI + ni bidhaa yenye L-Arginine na vitamin Complex.Husaidia kusafisha mishipa ya damu na kuifanya ipitishe damu kwa uf...
17/06/2022

ARGI + ni bidhaa yenye L-Arginine na vitamin Complex.
Husaidia kusafisha mishipa ya damu na kuifanya ipitishe damu kwa ufasaha pamoja na kuondoa uchafu au mafuta yaliyoganda kwenye mishipa ya damu(Bad Cholesterol) hii itakusaidia damu kusafiri vizuri sehemu mbalimbali za mwili na itakupa baadhi ya faida zifuatazo.
1:Ufanisi wa kazi za moyo,sababu moyo utapunguziwa kazi baada ya kuyeyushwa kwa mafuta yaliyoganda kwenye mishipa mikubwa inayosukuma damu
2:Kurekebisha na kujengeka kwa mifupa na kazi za misuli
3:Kuboresha hamu ya tendo la ndoa na nguvu za kiume
4:Kusafisha sumu mwilini
5:Kupunguza kasi ya uzee
6:Inasaidia mfumo wa kinga ya mwili, kutokana na nitric oxide ambayo inatumiwa na chembechembe nyeupe za damu kuua bacteria hivyo itaupa mwili uwezo zaidi wa kupigana na magonjwa.

Argi+ pia ni nzuri sana kwa wanamichezo na watu wanaofanya mazoezi ya kupunguza mwili. Jipatie bidhaa hii kwa bei ya Tsh 210000 tuu. Mawasiliano,WhatsApp,Simu,SMS 0754243276

NB:Dar es salaam ni free delivery

Viatu Original Michael Kors(Kipya) na Ivanka Trump(Mtumba) vyote kutoka Marekani ,Michael Kros namba 9 na nusu Tsh 10000...
17/06/2022

Viatu Original Michael Kors(Kipya) na Ivanka Trump(Mtumba) vyote kutoka Marekani ,Michael Kros namba 9 na nusu Tsh 100000 inapungua kidogo, Ivank Trump Tsh 45000 mawasilianao 0754243276/0717587278

Viatu vya watoto kutoka USA kimoja ni kipya kingine mtumba grade 1, kiatu rangi ya brown ni namba 2.5 au 35 na bei ni ts...
17/06/2022

Viatu vya watoto kutoka USA kimoja ni kipya kingine mtumba grade 1, kiatu rangi ya brown ni namba 2.5 au 35 na bei ni tsh 60000, kiatu cha kaki ni namba 2.5 au 34 na bei ni tsh 25000. 0754243276

Hereni na Bangili yake zina ubora wa hali ya juu kabisa jipatie kwa tsh 35000 tuu.(Hii imekuja pair moja hivyo usichelew...
12/06/2021

Hereni na Bangili yake zina ubora wa hali ya juu kabisa jipatie kwa tsh 35000 tuu.(Hii imekuja pair moja hivyo usichelewe ukaikosa). Call/sms/WhatsApp 0754243276,0717587278.

09/06/2021
Viatu Original Michael Kors na Ivanka Trump vyote kutoka Marekani  vimevaliwa mara moja moja tuu kila kiatu Tsh 90000,Mi...
03/06/2021

Viatu Original Michael Kors na Ivanka Trump vyote kutoka Marekani vimevaliwa mara moja moja tuu kila kiatu Tsh 90000,Michael Kros namba 9 na nusu, mawasilianao 0754243276/0717587278

aUso wako unasumbuliwa na Chunusi, Mafuta yaliyozidi au Uchafu mweusi (Black Head) au tuu unapenda kuutunza uso wako kwa...
23/05/2021

aUso wako unasumbuliwa na Chunusi, Mafuta yaliyozidi au Uchafu mweusi (Black Head) au tuu unapenda kuutunza uso wako kwa bidhaa ambazo hazitakuletea madhara kwenye uso wako nakuletea package hii ya Clean & Clear Daily Skincare Essential ambayo itaenda kumaliza tatizo lako au kuutunza uso wako vizuri kabisa.

1. Inasafisha uchafu wote usoni pamoja na mafuta ambay hayatoki kwa sabuni za kawaida
2. Iatibu ngozi yako na kukusaidia kuzuia chunusi na mba wa ngozi
3.Inalainisha na kung'arisha ngozi zenye asili ya ukavu
Clean&Clear Daily skincare essentials.
1. Cleanse wash away dirt, oil &make-up without over-drying
2.Tone treat and help prevent pimples
3.Moisturize moisturize dry skin.
For tsh 65000 only.
Calls, WhatsApp 0754243276 / 0717587278.

Shake N Go ponytail (KIBANIO) original zimekuja kutoka US zipo 2 tuu wahi ujipatie nywele hizi zenye quality ya juu kabi...
23/05/2021

Shake N Go ponytail (KIBANIO) original zimekuja kutoka US zipo 2 tuu wahi ujipatie nywele hizi zenye quality ya juu kabisa kwa Tsh 65000 kila moja weekend ni free delivery. NOTE Hiki ni kibanio cha nywele au ponytail. Calll/SMS/WhatsApp 0754243276 au 0717587278.

nasumbuliwa na Chunusi, mafuta au uchafu mweusi (black head) nakuleyea package hii ya Clean & Clear ambayo itaenda kumal...
20/05/2021

nasumbuliwa na Chunusi, mafuta au uchafu mweusi (black head) nakuleyea package hii ya Clean & Clear ambayo itaenda kumaliza tatizo lako.
1. Inasafisha uchafu wote usoni pamoja na mafuta ambay hayatoki kwa sabuni za kawaida
2. Iatibu ngozi yako na kukusaidia kuzuia chunusi na mba wa ngozi
3.Inalainisha na kung'arisha ngozi zenye asili ya ukavu
Clean&Clear Daily skincare essentials.
1. Cleanse wash away dirt, oil &make-up without over-drying
2.Tone treat and help prevent pimples
3.Moisturize moisturize dry skin.
For tsh 65000 only.
Calls, WhatsApp 0754243276 / 0717587278.

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255754243276

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chric Accessories posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category