31/03/2023
Karibu RASHAZ STORE Sisi ni Suluhisho La Viatu Vya Ngozi Vinayokaa Mda Mrefu Bila Kuchoka Haraka Wala Kuchakaa Mapema..
CHAGUA SIZE YA KIATU CHAKO
Uvae Upendeze Iwe Ofisini , kwenye Sherehe Hadi sehemu Za Kustarehe. Pamoja Na Mitoko Ya Apa Na Pale
Okoa Thamani Ya Pesa Yako , Kwa Kupata Bidhaa Bora Itakayo Dumu Kwa Kipindi Kilefu
✅ Size : 40-41-42-43-44-45-46
Viatu Vyetu Vya Ngozi ni Vya Aina Mbalimbali, Imara na Zenye Mitindo Ya Kisasa Na Muonekano Mzuri..
✅ Price 135,000/= Tu
✅ Tunafanya Delivery KWA Wateja wa DAR ES SALAAM na MIKOANI
✅ Wateja wa DAR ES SALAAM TUNAKULETEA AINA na IDADI ya BIDHAA UTAKAYO ORDER, KISHA TUTAKUFIKISHIA MPAKA ULIPO! ...UTAFANYA MALIPO BAADA YA KUPOKEA ORDER YAKO
✅MIKOANI TUNAPOKEA ODER KISHA UTALIPIA BIDHAA YAKO , TUNATUMA KWA UAMINIFU NA KWA GHARAMA NAFUU.
Ig:
📍Tunapatikana MKUNGUNI-DAR ES SALAAM, Weka ORDER YAKO SASA kwenda Namba 0788-941-734, KARIBU SANA