05/06/2026
🔥🔥
🔥 OFFER MAALUM YA HANGERS 🔥
Usikubali nguo zako zipoteze mvuto kwa sababu ya hanger zisizo na ubora.
Kwa muda mfupi tunakuletea hangers kwenye bei ya OFFER zenye muonekano wa kisasa, uimara wa hali ya juu na uwezo wa kufanya display ya nguo zako ionekane nadhifu na ya kuvutia zaidi.
✅ Zinashikilia nguo vizuri
✅ Hazipindiki kirahisi
✅ Zinaongeza muonekano wa mzuri dukani
✅ Zinapatikana kwa bei ya offer
Huu ndio wakati sahihi wa kuongeza stock na kuboresha mpangilio wa duka lako kwa gharama nafuu.
😇TUNAFANYA DELIVERY DAR ES SALAAM, MIKOANI ZANZIBAR NA NCHI JIRANI.
AU
☎️WASILIANA NASI:
WhatsApp/Call
• +255 760 096 044
• +255 741 635 555
📍Tunapatikana
Kariakoo Mtaa Wa Aggrey na Muheza nyuma ya jengo la China Plaza