Mr doppery wizzy

Mr doppery wizzy Mtu kwao

13/07/2022

Katika maisha uckate tamaa ya maisha kuna watu wameumbwa kukupambania

09/06/2022
Hahahahaa
29/05/2022

Hahahahaa

24/05/2022

Kila chenye mwanzo akikoc kuwa na mwisho acye kusalimia ww msalimie ipo ck atakujibu

Zuchu aandika barua
08/05/2022

Zuchu aandika barua

BARUA YA WAZI KAANDIKA ZUCHU

Ni matumanini yangu mpaka sasa kila mtu anafahamu kua Video Ya wimbo wetu pendwa “MTASUBIRI “ Umesitishwa kuonekana kwenye vyombo vya habari Nchini kwetu .Nimeona bora nianze moja kwa moja kwenye mada husika
Jana Nilipokea taarifa hizi kupitia mitandao k**a Nyinyi tu mashabiki zetu kwamba wimbo wetu unapigwa marufuku sababu tajwa kua inaleta ukakasi kwenye jamii husika mwisho wa kununukuu
Awali ya yote niseme k**a msanii nilietumia ubunifu kukaa chini na muongozaji wa video yetu takribani siku 4 kuunda stori ambayo kwa utashi wangu na heshima niliyonayo kwa dini zote na madhehebu yake sikuona huu ukakasi unaoongelewa hapa
Nafahamu si kila kazi ya kisanaa itamfurahisha kila mtu lakini kuvunjia heshima dini si kitu ambacho kipo ndani ya weledi wa kazi yetu sababu tunafahamu fika tunao mashabiki wa dini zote na kulinda hisia zao ni moja ya nguzo kuu Kwenye mziki hatueki matabaka
Ifahamike kwamba mimi ndie nilishoot hiyo scene ikinitaka kuwepo kanisani nikiwa nafanya mazoezi ya kwaya sio misa ni mazoezi ya kikwaya nikiwa nimevalia joho lenye stara
Kanisa hili lipo kisarawe na kabla ya kushoot masister walitukagua na kusikiliza kwa makini stori yetu na kuridhishwa nayo ndipo hapo tukapewa ruhusa ya kushoot

Naomba nielekeze malalamiko yangu kwa mamlaka husika BASATA walezi na wazazi nimeambatanisha video na movie baadhi ambazo zimetoka kabla ya mtasubiri vipi hizi hazina ukakasi .Lakini ni jamii ipi hiyo iliyoleta malalamiko mpaka nyie kufungia video iliyogharimu muda wa siku nne na pesa nyingi kuishoot tena mkaifungia bila hata kutaka kusikiliza utetezi

Mtasubiri video ni ya kawaida sana A very innocent sweet story .Naumia sababu hii inaenda kudumaza sio tu mziki ila Tasnia nzima kwa ujumla .HAYATI baba wa taifa alisema “Utii ukizidi huzaa uoga ,Uoga huzaa unafiki na kujipendekeza mwisho wake Umauti “
Huu ndio umauti wa Tasnia hii unapoanzia .Sijui nileleze vipi hisia zangu zipokelewe kwa heshima ya kutosha na utii bila ya kuchukuliwa k**a mjeuri ila kwa hili mumetuonea
Sisi ni vijana tunaotafuta rizki bila ya kuchoka lakini pengine Wazazi wetu .tanzania mmekua mstari wa mbele kutuvunja nguvu mbele ya jamii bila kujali hisia muda vipaji na uwekezaji unaofanyika

Hapo awali mlitoa mirabaha Wasanii wa Wcb Hatukunusa Top List Wakati kitwakwimu za namba ,MAUZO na ufanyaji vizuri Katika Chati zote Kasoro yenu nyinyi .tanzania Nini shida wazazi wetu .Inawezekana vipi
Kisha hapo Tunalaumiwa kwa kutoshiriki Tuzo .Ni wazi kua Hii imekua wazi sasa k**a mamlaka ya kisanaa inafanya kazi Kupinga juhudi za WCB lakini pengine hii hasira mnayoipandikiza juu yetu tunaihitaji kwa mafanikio chanya yetu na mashabiki zetu wanaotupigania
mwisho niseme kazi iendelee Mashabiki zetu ,Maboss zetu mtusamahe sana kwa kero mnayokutana nayo haiko mikononi mwetu Wenye mamlaka washasema sisi ni nani? tuwe na subra na msituache mana nyinyi ndo kimbilio letu la mwisho Nawapenda sana. KAZI IENDELEE"

08/05/2022
07/05/2022

KUTOKA KW WEMA SEPETU

Soma kwanza atamm nimependa
05/05/2022

Soma kwanza atamm nimependa

Huyu paka anapenda stalehe duniani kupita wanyama wote
05/05/2022

Huyu paka anapenda stalehe duniani kupita wanyama wote

Address

Boko
Dar Es Salaam
UNSTAR

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mr doppery wizzy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share