wema_outfitstore

wema_outfitstore Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from wema_outfitstore, Dar es Salaam.

📌Nguo zako zimejaa lakini bado unaishi kwa “hii niliweka wapi?” 😂👗✨️WARDROBE ikiwa imejaa ovyo, kupata outfit unayotaka ...
27/08/2026

📌Nguo zako zimejaa lakini bado unaishi kwa “hii niliweka wapi?” 😂👗

✨️WARDROBE ikiwa imejaa ovyo, kupata outfit unayotaka inakuwa kazi 😩

✨ Clothes Hanger with Shelves — solution ya kupanga nguo zako kwa neat, smart na space-saving way.

💰 Tsh 145,000

📌Dm/whatsapp 0767996212
kuweka order yako mapema.

📍Tupo kariakoo congo na agrey
Tunafanya delivery
Follow: wema_homedecor

.

Kitanda chako kikubwa kinastahili shuka zinazokaa FULL na kuonekana EXPENSIVE 😍✨📌 Shuka nzuri kutoka Pakistan 🇵🇰 — chagu...
25/08/2026

Kitanda chako kikubwa kinastahili shuka zinazokaa FULL na kuonekana EXPENSIVE 😍✨

📌 Shuka nzuri kutoka Pakistan 🇵🇰 — chaguo sahihi kwa kitanda chako!
Ni kubwa, zinakaa vizuri kitandani na hazichomoki kirahisi wakati wa kulala. 😍

📦 SETI INA:
🛏️ Shuka 2
🛏️ Foronya 4
📏 Size: 8×8

💰 Bei: Tsh 50,000/=

🔥 Quality, nzuri na zinakaa vizuri kitandani — zinaufanya bedroom yako ionekane neat na classy kabisa. ✨

📩 Order kupitia DM au WhatsApp: 0679164997
📍 Tupo Kariakoo — Congo & Aggrey
🚚 Tunafanya delivery

📌Usipoteze muda na nishati kupasha chakula mara kwa mara. 🔥📌Hotpot inakusaidia kuhifadhi joto la chakula kwa muda, hivyo...
24/08/2026

📌Usipoteze muda na nishati kupasha chakula mara kwa mara. 🔥

📌Hotpot inakusaidia kuhifadhi joto la chakula kwa muda, hivyo chakula kinabaki tayari kwa serving bila kurudia kukipasha kila baada ya muda. ✨

✨️Ni practical, convenient na perfect kwa matumizi ya nyumbani. 🤍

👌Pika mara moja, hifadhi joto, enjoy baadaye. 😍🔥
Capacity:: 5000,7000,10000 mils

💰Tsh 180,000/=
hii ni kubwa zaidii

📌Dm/ whatsapp 0767996212
kuweka order yako
Follow:

📍Tupo kariakoo agrey na msimbazi
Tunatuma mzigo popote

WemaHomedecor

📌Usipoteze muda na nishati kupasha chakula mara kwa mara. 🔥📌Hotpot inakusaidia kuhifadhi joto la chakula kwa muda, hivyo...
24/08/2026

📌Usipoteze muda na nishati kupasha chakula mara kwa mara. 🔥

📌Hotpot inakusaidia kuhifadhi joto la chakula kwa muda, hivyo chakula kinabaki tayari kwa serving bila kurudia kukipasha kila baada ya muda. ✨

✨️Ni practical, convenient na perfect kwa matumizi ya nyumbani. 🤍

👌Pika mara moja, hifadhi joto, enjoy baadaye. 😍🔥

💰💰Hotpot set Tsh 75000

capacity:3500,5000,7500 Ml

💰💰Tsh 190,000
Full set

📌Dm/ whatsapp 0767996212
kuweka order yako
Follow:

📍Tupo kariakoo agrey na msimbazi
Tunatuma mzigo popote

WemaHomedecor

24/08/2026

“Kwa nini Brinax 7L?”

📌 Unatumia sufuria tofauti kwa kila kazi? Hii inaweza kukurahisishia mambo.

📌Brinax 7L ni Multi-Cooker — inakupa matumizi mengi kwenye kifaa kimoja. 😍

🍲 Unapika chakula
🥘 Unaweza kufanya slow cooking
💨 Una-steam
🍟 Una-fry
🍰Unabake cake

⏱️ Na unaweka timer kulingana na unachopika.

✨ Capacity ya 7L — nzuri unapopika chakula kingi kwa familia au unapokuwa na wageni.

💰Price Tsh 220,000

📌Na hii ndiyo point muhimu 👇
Badala ya kuwa na vifaa vingi jikoni, unapata matumizi mengi kwenye kifaa kimoja.

📌Dm/whatsapp 0767996212 kuweka order yako mapema.
📍Tupo kariakoo congo na agrey
Tunafanya delivery
Follow: wema_homedecor

.

📌Unadhani hotpot inaongeza maji kwenye chakula? 👀💧Swipe 👉 tujue ukweli wa mvuke unaotokea ndani ya hotpot. 🔥📌Na k**a una...
24/08/2026

📌Unadhani hotpot inaongeza maji kwenye chakula? 👀💧

Swipe 👉 tujue ukweli wa mvuke unaotokea ndani ya hotpot. 🔥

📌Na k**a unapenda chakula chako kibaki cha moto na ready to serve, hotpot ni moja ya kitchen essentials nzuri kuwa nayo nyumbani. 🤍

✨ Hotpot available
📩 DM au WhatsApp kuagiza
🚚 Delivery available

22/08/2026
“📌Bathroom yako bado haijakamilika bila hii set 😍✨Simple, neat na inaipa toilet yako muonekano mzuri zaidi 🤍”📌Cleaning /...
21/08/2026

“📌Bathroom yako bado haijakamilika bila hii set 😍✨
Simple, neat na inaipa toilet yako muonekano mzuri zaidi 🤍”

📌Cleaning /luxury/shinning/fashion /lifestyle
Bathroom/toilet set

💰Tsh 60000

📩 Tuma DM au WhatsApp 0767996212/0679164997
Kuweka order yako mapema

Follow:
📍Tunapatikana kariakoo congo na aggrey

# deliver everywhere # kariakooTz # NewArrivals

📌SET YA KUIPA MEZA YAKO MWONEKANO WA KISASA 😍🍽️📌Unataka meza yako iwe simple lakini bado ionekane elegant? 👌🏽Hii 16PCS D...
21/08/2026

📌SET YA KUIPA MEZA YAKO MWONEKANO WA KISASA 😍🍽️

📌Unataka meza yako iwe simple lakini bado ionekane elegant? 👌🏽

Hii 16PCS Dinner Set ni perfect kwa matumizi ya kila siku na pia unapokuwa na wageni nyumbani. ❤️
✔️ Elegant & classy
✔️ Inafaa matumizi ya familia
✔️ Perfect kwa serving wageni
✔️ 16PCS kwenye set moja
•Plates 4
•side plates 4
•cups 4
•Bowls 4

💰Tsh 85000

📩 Tuma DM au WhatsApp 0767996212/0679164997
Kuweka order yako mapema
Follow:

📌Tupo kariakoo congo na aggrey
Tunafanya delivery

# deliver everywhere # kariakooTz # NewArrivals

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255767996212

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when wema_outfitstore posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to wema_outfitstore:

Shortcuts

Share