Limmy Collection

Limmy Collection Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Limmy Collection, Clothing Store, Dar es Salaam.

Toleo jipya la duvert cover,shuka na foronya zake😘😍🥰
07/08/2026

Toleo jipya la duvert cover,shuka na foronya zake😘😍🥰

Mashuka rangi moja kutoka pakstani ni mzuri sana
06/08/2026

Mashuka rangi moja kutoka pakstani ni mzuri sana

Shuka za cottoni pureJazichuji wala kupaukaShuka 2Foronya 4Pazia 4Tsh 100,000
25/07/2026

Shuka za cottoni pure
Jazichuji wala kupauka
Shuka 2
Foronya 4
Pazia 4
Tsh 100,000

23/07/2026

Km kulala mahali pazuri ndio kitu unapenda
Karibu tukuhudumie

Net ya paziaYenye quality nzuri sanaTsh 40000Karibuni dukani tupo karakoo mtaa wa Aggrey na swahili,Mikoa yote tunatuma....
22/07/2026

Net ya pazia
Yenye quality nzuri sana
Tsh 40000
Karibuni dukani tupo karakoo mtaa wa Aggrey na swahili,
Mikoa yote tunatuma.
0713789110

Hizi ni vyuma vya pazia,Ukiweka hivi ni mkatabaKaribu tukuhudumie bei ni nafuu sana
15/07/2026

Hizi ni vyuma vya pazia,
Ukiweka hivi ni mkataba
Karibu tukuhudumie bei ni nafuu sana

10/07/2026

Katibuni kwenye group ujipatie bidhaa zetu kwa bei nafuu sana / bei za jumla
Bonye link itakuleta moja kwa moja kwenye group letu

Shuka 2Foronya 420000
06/07/2026

Shuka 2
Foronya 4
20000

Kifanye kitanda chako kuwa na upekee ,Hizi shuka ni nzuri sana,Matrials zake ni laini,Ukilalia km upo hotel hivi.Karibun...
04/07/2026

Kifanye kitanda chako kuwa na upekee ,
Hizi shuka ni nzuri sana,
Matrials zake ni laini,
Ukilalia km upo hotel hivi.
Karibuni sana.
Shuka 2
Foronya 4
35000
Jumla 30000
Shuka 2
Foronya 2
30000
Jumla 25000

03/07/2026

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Limmy Collection posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category