28/04/2022
๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐
๐ ๐ง๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐จ๐ฆ๐๐ง๐จ๐ ๐๐ ๐๐๐ช๐ ๐ญ๐ ๐๐จ๐๐ข๐ข๐ฆ๐ง ๐ก๐ ๐๐๐ง๐๐ฅ๐ ๐๐ช๐ ๐๐๐ฌ๐ ๐ฌ๐๐๐ข. ๐ง๐จ๐ ๐๐ ๐ง๐๐๐ ๐ฆ๐๐๐๐๐๐
Dawa za kuboost maana yake ni nini? Ni dawa ambazo watu wengi wamekua wakitumia kabla ya kufanya tendo la ndoa mfano vi**ra, eletro, delay spray, VUMBI LA KONGO nakadhalika, Watu wengi sana wamekua wakitumia dawa hizo kwa lengo la mtu kutaka kumudu tendo kwa wakati huo au kumkomoa mwenza wake au kujimwambafai tu. Utajiona mjanja na bingwa kwa wakati huo ila hujui ni madhara gani ambayo unaweza kuyapata huko mbeleni. Kitu ambacho msichokijua dawa hizi zina madhara makubwa kiasi kwamba zinaweza kukusababishia kifo.
๐ ๐ฎ๐ฑ๐ต๐ฎ๐ฟ๐ฎ ๐ต๐ฎ๐๐ผ ๐ป๐ถ ๐ธ๐ฎ๐บ๐ฎ;
1) Mishipa ya bakora kulegeana kukosa nguvu kwa siku za mbeleni.
2) Mishipa ya bakora kupasuka.
3) Kushindwa kusimamisha kabisa kwa siku za mbeleni.
4) Mshtuko wa moyo, hii ndio mbaya zaidi inaweza kukusababishia kifo cha papo hapo.
๐ง๐๐๐๐๐๐๐๐!
Niwaombe tu ndugu zangu msiendelee kutumia hizo za za kujibust ni hatari sana. โTUMIA TIBAโ Pia inatakiwa kujiepesha na kutumia dawa kiholela holela tu bila kujua k**a zimethibitishwa na mamlaka husika au lah!.
๐๐ก๐๐๐๐๐ญ๐ข!
Watu wengi wanajikuta wakikimbilia kutumia dawa hizo za kubust kwa lengo tu la kukwepa gharama za dawa ambazo zinatibu tatizo moja kwa moja au uharaka wa kutaka matokeo ya ghafla au kutaka kuwahi jambo lake, utamsikia mtu anasema โnnashow leo wacha nikafunge kilembaโ jamani jamani sikuzote harakaharaka haina baraka.
๐ก๐ถ๐ป๐ถ ๐ฐ๐ต๐ฎ ๐ธ๐๐ณ๐ฎ๐ป๐๐ฎ,
Zipo dawa kwa ajili ya kutibu mapungufu ya nguvu za kiume ambazo ni salama na zimethibitishwa ubora na utendaji kazi pasipo kukusababishia madhara yoyote yale kwa sasa na hata siku za mbeleni. Na ni tiba za kudumu yaani zinatibu matatizo ya mapungufu ya nguvu za kiume na yakaisha kabisa.
๐ ๐ฎ๐๐ฎ๐๐ถ๐น๐ถ๐ฎ๐ป๐ผ ๐๐ฟ. ๐๐น๐น๐
WhatsApp +255 682 122 986
Au piga simu 0682 122 986
Usikose darasa lijalo