Eddo embassy

Eddo embassy Nyumba ya ngozi unakua na Ngoz nzur isiyo n sugu wala mikunjo wala madoa

Tr
11/02/2026

Tr

💙 Hii sabun ni unaoga tu hupaki mafuta may be ukipenda n oil tu sabuni hii inakupa hydration na tone moja matata sana na...
18/05/2025

💙 Hii sabun ni unaoga tu hupaki mafuta may be ukipenda n oil tu sabuni hii inakupa hydration na tone moja matata sana na kubwa zaid inatoa kila aina ya uchafu had sugu
Tupigie chap 0714 501555

Hii kitu Inaangarisha mnooo k**a hutak kungaa achana nayo na pia usitumie for long time hakikisha unapumzisha ngoz pia i...
10/02/2025

Hii kitu Inaangarisha mnooo k**a hutak kungaa achana nayo na pia usitumie for long time hakikisha unapumzisha ngoz pia ili uwe n ngoz nzur mnoo

Kimya chenye Mshindo ndo Hiki jamn maneno kidogoHaya wanaotaka kuwaka kushinda hata mbala mwezi , cjui ngozi za mamba......
30/01/2025

Kimya chenye Mshindo ndo Hiki jamn maneno kidogo
Haya wanaotaka kuwaka kushinda hata mbala mwezi , cjui ngozi za mamba...kitu chenu hiko....fast action whitening, spot remover....hata wenye melasma hii inafuta haraka sana



0714 501555

Hellow my Bosse
29/01/2025

Hellow my Bosse

💧Face Kit ,WHITENING GLUTATHIONE 💧Hii face cream ina vitu vikuu 5    ✅face wash    ✅ Toner    ✅Serum    ✅ eye cream    ✅...
21/07/2024

💧Face Kit ,WHITENING GLUTATHIONE

💧Hii face cream ina vitu vikuu 5
✅face wash
✅ Toner
✅Serum
✅ eye cream
✅ Face cream

Nikuambie hii siongei sana angalia reviews zake ticktock n youtube

set 120,000
Hamna za Jumla

☎️0714 501555


💧Haya Nimerud Tokea Asia na Hii Sunscreen Ya Kunywq narudia Nasemaje Suncreen Ya Kunywa 💧Sina meneno mengi mnoo maana ul...
19/04/2024

💧Haya Nimerud Tokea Asia na Hii Sunscreen Ya Kunywq narudia Nasemaje Suncreen Ya Kunywa

💧Sina meneno mengi mnoo maana ulimwengu wa sasa swala la kulinda ngozi limeeleweka mnoo zaman ilikua ukimwambia mtu atumie sunscreen anakuambia mm sitembei juani wakati sunscreen huwa inapakwa as long ni day time hata k**a uko ndan

💧Sasa niongelee hii Sunscreen from Asia unajua hwa watu ndo wanaongoza kuwa na glass skin fro head to toe sbb kubwa ni kwamba hawa wanatumia sunscreen za kunywa hivyo hivyo unakuta ngoz yote inalindwa tofaut n sisi wengi wetu tunapaka sunscreen uson n shingon n walioadvance kidogo wanapaka n mikonon ila uzur wa hii unakunywa unakua ni umepaka mwili wako mzika sunscreen

📌Nzuri mnoo kwa wenye malasma , chunus n mabaka uson

☎️0714 501555


💧Nawaita Wapenda ngozi tu na wapenda kupaka maziwa namaanisha Hii lotion Ivory coast imekuja kuleta upinzan mkubwa kwa N...
05/04/2024

💧Nawaita Wapenda ngozi tu na wapenda kupaka maziwa namaanisha
Hii lotion Ivory coast imekuja kuleta upinzan mkubwa kwa Naigeria maana nao wanatumia igridients za 🔥🔥 na salama mnooo kwa Ngoz

💧Ntatoa vitu vitatu tu muhimu katika hii lotion ambavyo n maziwa, tomato, na Antiage
📌Yaan lotion yenye maziwa nguvu yake mnaijua lakin yaaan ngoz full hydrated then ngoz mda wote inakua imepugwa filter flan ndo maana tunashaurig pia ukipata mda unakua unaogea maziwa
📌Ballaa lingine kubwa hii lotion inapambana na uzee sahau mikunjo sahau kuonekana age go unamiaka 25 anza kutumia vitu vya anti age jamn

😋Yaan ukitumia lotion hii usipoulizwa unapaka nn njoo narudisha pesa yako sahau kuhusu sugu n mishipa ya kijani wala michiriz

Angalizo :
Wale wajuaji wakujifanya mnachanganya lotion mara n serum ili uwake zaid usithubutu kwenye hili na ukijaribu sitaki lawama best to use at Night or indoor zaidi

☎️0714 501555


  weusi uliogoma kutoka popote njoo nikupe hii tube na malekezo ya namna ya kutumia halafu unipe majibu ndan ya week 2 t...
05/03/2024

weusi uliogoma kutoka popote njoo nikupe hii tube na malekezo ya namna ya kutumia halafu unipe majibu ndan ya week 2 tu

☎️0714 501555


HUILE WHITE NOW  OIL🍊Nasemaje Ushawahi mstua adui kwa mda mfupi akavurugwa sana Bhas hii oil inamchanganya adui na lazim...
01/02/2024

HUILE WHITE NOW OIL

🍊Nasemaje Ushawahi mstua adui kwa mda mfupi akavurugwa sana
Bhas hii oil inamchanganya adui na lazima akuulize

Hii oil ni triple action oil inawahi kungarisha kwa harakaa saaana yaan nitoe angalizo hutak kungaa sana plz usiguse

Inavitamin E & lanolin hivo inainyoosha ngozi kwa kuondoa makunyanzi na kuipa mvuto

Naomba usitumie hii oil bila maelekezo sbb iko very strong hvyo usije jichanganya adui akaacha kuchanganyikiwa

Bei: 25,000/=Tsh.

☎️0714 501555


Address

Jangwani Na Mafia
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Eddo embassy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share