Nyota Underwear

Nyota Underwear Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Nyota Underwear, Clothing (Brand), Mtaa wa Muhonda, Dar es Salaam.

🔥Mzigo upo wa kutosha
💥Bei zinaanzia elfu 10 kwa dazani moja yenye chupi 12
💥Huduma ya kutuma ndani na nje ya dar ipo
💥vest za k**e na kiume, braz, boxer,vigodoro,
💥Chupi Quality zipo
📌 Location ni Kariakoo mtaa Muhonda na Likoma
☎️ 0765401546

⭐️MZIGO NI WA KUTOSHA✨Bei zinaanzia elfu 12, 14, 16, 18 hadi 38  hadi kwa dazen  moja yenye chupi 12⭐️Huduma ya kutuma k...
26/01/2026

⭐️MZIGO NI WA KUTOSHA
✨Bei zinaanzia elfu 12, 14, 16, 18 hadi 38 hadi kwa dazen moja yenye chupi 12
⭐️Huduma ya kutuma kwa mteja ipo
⭐️Ukihitaji kuchanganyiwa ukauze tutakuhudumia.
🌏Location ni Kariakoo mtaa wa Muhonda na Likoma
☎️ Piga :0765401546

KUMBUKA: vest za k**e na kiume, brazia, boxer, taiti ndefu na fupi zipo na zinapatikana kwa bei nafuu.

BOXER BRAND TOMMY HILFIGER, VERSAGE, CALVIN KLEIN, BEI JUMLA NA REJAREJA.PIGA 0765401546 Tunapaitkana Mtaa wa  Muhonda n...
26/01/2026

BOXER BRAND TOMMY HILFIGER, VERSAGE, CALVIN KLEIN, BEI JUMLA NA REJAREJA.PIGA 0765401546 Tunapaitkana Mtaa wa Muhonda na Likoma.

Ndani na nje ya Dar tunatuma kwa uaminifu kabisa

23/08/2025

Anza biashara ya chupi, Boksa, Tait kwa mtaji mdogo wa shelf 50,000 tu unapata chupi 60 .

Boxer Dozen 32,000 zinakua 12

Chupi 1,000

Taiti kuanzia 27,000 kwa Dozen moja

Boksaa pakti zipo 3 sh 9,000

Nunua chupi kauze bei unayo taka wewe kwanzia 2000 Hadi 3000 faida ni nusu Kwa nusu karibuni sana mawasiliano 0765401546.

🔥Mzigo upo wa kutosha
💥Bei zinaanzia elfu 10 kwa dazani moja yenye chupi 12
💥Huduma ya kutuma ndani na nje ya dar ipo
💥vest za k**e na kiume, braz, boxer,vigodoro,
💥Chupi Quality zipo
📌 Location ni Kariakoo mtaa Muhonda na Likoma
☎️ 0765401546

Kila mtu anajua kwamba ni muhimu kubadilisha chupi kila siku Ili kuwa na Afya njema na kuepuka maambukizo na vipele.Hapa...
09/12/2024

Kila mtu anajua kwamba ni muhimu kubadilisha chupi kila siku Ili kuwa na Afya njema na kuepuka maambukizo na vipele.

Hapa kuna sababu 4 kwa nini unapaswa kuvaa chupi safi Kila siku:-
1. Inadumisha usafi wa msingi Kudumisha usafi kunapaswa kuwa sehemu muhimu ya maisha yako kwani ni bora zaidi kwa afya njema. Kuoga, kupiga mswaki, na kila siku kuvaa nguo zilizofuliwa ni sehemu ya usafi wako wa kimsingi. Kuvaa chupi safi ni muhimu kwa usafi wako wa kibinafsi.
2. Inazuia Maambukizi usafi wa ndani umuhimuwa kuvaa chupi safi kwa wanawake na wanaume.

3. Nguo za ndani husaidia kunyonya jasho, lakini kutozibadilisha kila siku kunaweza kuongeza hatari ya maambukizi ya fangasi kwani fangasi na bakteria hustawi katika mazingira yenye unyevunyevu. Chupi chafu inaweza kuwa na bakteria na matokeo yake inaweza kuwa maambukizi ya njia ya mkojo. Ili kuzuia maambukizi, unahitaji kuhakikisha kuwa unavaa chupi safi, kavu kila siku.

4. Inazuia Vipele Ngozi yako inaweza kugeuka kuwasha ikiwa umekuwa katika chupi na nguo sawa kwa siku moja au mbili. Hivi karibuni huanza na kuwasha tu kunaweza kugeuka kuwa upele au kidonda.

NB:-Kwa mahitaji ya chupi wasiliana nasi Underwear 0765401546.

Weka order yako ndani na nje ya Dar es salaam tunatuma

13/09/2024

Sisi ni wauzaji wa nguo za ndani aina zote Kwa Bei ya jumla na rejareja.Karibu tukuhudumie mikoani tunatuma Kwa uaminifu kabisa.Piga 0765401546 .

TUPO KARIAKOO Mtaa wa Muhonda na Likoma

Address

Mtaa Wa Muhonda
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nyota Underwear posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share