Sisca motors

Sisca motors Nguo za wanawake & wanaume + Vikoba (VIKOBA).Bei nafuu huduma ya kuaminika

10/05/2026

🌟 JIUNGE NA VIKOBA VYETU LEO 🌟

Tunakaribisha wanachama wapya kujiunga kwenye mfumo wetu wa vikoba wenye uwazi, mshikamano na maendeleo ya kifedha kwa wote.
Anza hatua yako ya mafanikio kwa kuchagua kiwango kinachokufaa 👇

💼 MCHANGO WA MIEZI 2
🔹 Hisa 5,000 — Jamii 500
🔹 Hisa 10,000 — Jamii 1,000
🔹 Hisa 20,000 — Jamii 2,000
🔹 Hisa 30,000 — Jamii 3,000
🔹 Hisa 40,000 — Jamii 4,000
🔹 Hisa 50,000 — Jamii 5,000

✨ Uaminifu wako ndio mtaji wetu
✨ Ushirikiano wenye maendeleo na matumaini
✨ Karibu tujenge future bora pamoja

📩 Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na namna ya kujiunga.

17/03/2026

🌷MDOGO WANGU UMEELEZEA VIZURI SANA MAANA YA VIKO NA IFANYAJI KAZI WAKE ASANTE KWA KUSAMBAZA ELIMU NA KUIFIKIA JAMII YETU TUNAIHITAJI NA INATUHITAJI PIA 🙏

14/03/2026

🌷VIKOBA NI MSAADA MKUBWA KWENYE MAENDELEO YETU

🌷NI FURSA KWA WAFANYA BIASHARA WADOGO NA WAKUBWA

🌷UWE MUAMINIFU SISI TUONAENDESHA VIKOBA TUNATUNZA UAMINIFU

🌷TUNAWAPA MIKOPO KWA WAKATI

🌷PESA INATUNZWA M.KOBA KWA UAMINIFU NA WOTE MNAONA KIASI KILICHOPO NA MNACHOKOPA PIA

🌷📞0615159718 whatsap

Address

Ukonga Dar Essalaam
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 22:00
Tuesday 08:00 - 22:00
Wednesday 08:00 - 22:00
Thursday 08:00 - 22:00
Friday 08:00 - 22:00
Saturday 08:00 - 22:00
Sunday 08:00 - 22:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sisca motors posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share