26/08/2024
Ki biology wazungu watu wa ulaya Na marekani huwa wana miili mikubwa kutuzidi sisi.....
Hivyo basi unapoenda dukani na kuchukua suit mara nyingi inaweza kukusaliti kwenye kipimo.....
Unaweza ukatoa oda ya suit size 53 ukaletewa ikawa bwanga kwako, na hiyo nikwasababu watengenezaji wa huko nje wanakadilia kipimo kulingana na wao vile walivyo....
Na ilivyo bahati mbaya kwa kawaida suit huwa ikishatengenezwa, inakuwa imetengenezwa huwezi tena kuipunguza, labda upana wa mikono pekee...
Suit inapimwa kila hatua,kila kona, kila mfuko, kutoka eneo moja kwenda lingine kuna kipimo, ni vipimo, vipimo, vipimo, na inafanyika hivyo ili kutengeneza bidhaa iliyo bora....
Tumekuwa tukipokea suit nyingi zinazotakiwa kupunguzwa lakini ndo hivyo inapunguzwa tu upana wa mikono na suruali basi, kwingine inabaki bwanga....
ikiwa unapendelea suit za special, na hautaki bwanga, jitahidi sana kutafuta utakayoendana nayo vipimo, ili baadae usiichukie suit uliyonunua kwa gharama kubwa na ikashindikana kuipunguza....
Mwisho napenda kuwakaribisha Aaliyah SuitPro, sisi ni washonaji wa suit wenye uwezo mkunbwa sana....
Kwanini uje ushone kwetu, kwanza tunampa kipaumbele mteja cha kuchagua muundo wa suit autakao, pili tunatengeneza bidhaa yako kwa wakati ....
Tatu gharama zetu za utengenezaji suit/kaunda suit/safari suit/ upo chini ukilinganisha na sehemu zingine...
Nne ni uchaguzi wa vitambaa vye ubora wa hali juu, kwasababu tunatumia vitambaa kutoka ktk maduka yanayoaminika tanzania nzima....
Tano tuna huduma yakufata vipimo na kufanya delivery baada ya suit kukamilika kwa wateja ambao wanakuwa wamezongwa na shughuli hivyo kushindwa kufika ofisini kwetu.....
Faida ya suit za kushona kwanza ni kupata bidhaa ambayo itatengenezwa kulingana na vipimo vyako sahihi....
Faida nyingine ni kuchagua rangi, na aina ya materials ya kitambaa utakachopenda
Ukiwa k**a mteja unayetumia bidhaa za kutengenezwa hapa tanzania na watanzania wenzako maana yake unaunga mkono jitihada za ndugu zako, na kukuza uchumi wa nchi yako...
0772854738