Mloy Enterprises Business Center

Mloy Enterprises Business Center Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mloy Enterprises Business Center, Women's clothes shop, 0748218402, Dar es Salaam.

Karibuni mikoba Mizuri kwa bei ya Tsh 30000/= tuPiga 0748 218402 Kawaida na what's app pia Tupo Kariakoo Dar es salaam n...
01/10/2024

Karibuni mikoba Mizuri kwa bei ya Tsh 30000/= tu

Piga 0748 218402 Kawaida na what's app pia

Tupo Kariakoo Dar es salaam na kwa dar es salaam tunafanya delivery mpaka nyumbani mlangoni kwa mteja na mikoani tunatuma pia kwa uaminifu karibuni sana wateja wetu

Jipatie Mkoba mzuri mno na mapochi yake kwa Tsh 30000 tu Piga 0748 218402 Kawaida na what's app pia Kwa Dar nafanya free...
30/09/2024

Jipatie Mkoba mzuri mno na mapochi yake kwa Tsh 30000 tu

Piga 0748 218402 Kawaida na what's app pia

Kwa Dar nafanya free delivery offer mpaka popote ulipo mteja kwa bei hiyo hiyo iliyotajwa hapo juu

Kwa mikoani ntakufanyia free delivery offer kutoka dukani mpaka kituo cha chombo cha usafiri cha kusafirishia bidhaa kwa bei hiyo hiyo iliyotajwa hapo juu lkn baada ya hapo nitaomba gharama za usafirishaji wa bidhaa unisaidie kidogo kulipia ili bidhaa ikufikie kwa wakati kwa hayo machache ahsante

Karibu Mloy Enterprises kwa bidhaa bora zaidi

Jipatie Taa nzuri mno in English we say Lamp kwa bei ya Tsh 65,000/= tuKwa wakazi wa mkoa wa Dar es salaam nafanya free ...
25/09/2024

Jipatie Taa nzuri mno in English we say Lamp kwa bei ya Tsh 65,000/= tu

Kwa wakazi wa mkoa wa Dar es salaam nafanya free delivery offer mpaka popote ulipo mteja kwa bei hiyo hiyo iliyotajwa hapo juu

Lakini kwa wateja wa mikoani ntakufanyia free delivery offer kutoka dukani mpaka kituo cha chombo cha usafiri cha kusafirishia bidhaa kwa bei hiyo hiyo iliyotajwa hapo juu lkn baada ya hapo nitaomba gharama za usafirishaji wa bidhaa unisaidie kidogo kulipia ili bidhaa ikufikie kwa wakati, kwa hayo machache ahsante sana

Piga 0748 218402 Kawaida na what's app pia

Tupo Kariakoo Dar es salaam na kwa dar es salaam tunafanya delivery mpaka nyumbani mlangoni kwa mteja na mikoani tunatuma pia kwa uaminifu karibuni sana wateja wetu

I wish you all the best Guys
23/09/2024

I wish you all the best Guys

Bakuli zote hizi Set ni Tsh 35,000/= tu Kwa wakazi wa Dar es salaam nakufanyia offer ya free delivery kutoka Dukani mpak...
23/09/2024

Bakuli zote hizi Set ni Tsh 35,000/= tu

Kwa wakazi wa Dar es salaam nakufanyia offer ya free delivery kutoka Dukani mpaka nyumban mlangoni kwa bei hiyo hiyo

Kwa wateja wa Mikoani ntakufanyia offer ya free delivery kutoka Dukani mpaka kwenye kituo cha chombo cha Usafiri cha kusafirishia bidhaa lkn baada ya hapo gharama ya usafiri ili bidhaa ikufikie utanisaidia kidogo

Piga 0748 218402 Kawaida na what's app pia

Tupo Kariakoo Dar es salaam na kwa dar es salaam tunafanya delivery mpaka nyumban mlangoni kwa mteja na mikoani tunatuma pia kwa uaminifu karibuni sana.

Dinner Set 6/6/6 Unaipata kwa bei ya Tsh 95,000/= tuKwa wakazi wa Dar es salaam nakufanyia offer ya free delivery kwa be...
23/09/2024

Dinner Set 6/6/6 Unaipata kwa bei ya Tsh 95,000/= tu

Kwa wakazi wa Dar es salaam nakufanyia offer ya free delivery kwa bei hiyo hiyo kwa popote

Na kwa wateja wa Mikoani nakufanyia offer ya free delivery kwa bei hiyo hiyo kutoka Dukani mpaka kwenye kituo cha chombo chaUsafiri cha kukutumia bidhaa lkn baada ya hapo gharama ya usafiri wa bidhaa utanisaidia

Piga 0748 218402 Kawaida na what's app pia
Tupo Kariakoo Dar es salaam na kwa dar es salaam tunafanya delivery mpaka nyumban mlangoni kwa mteja na mikoani tunatuma pia kwa uaminifu karibuni

Karibu Showcase Fridge 260L kwa bei ya Tsh 950,000/= tu, ni nzuri mno halafu yanye ubora zaidi kuliko zile zingine  piga...
23/09/2024

Karibu Showcase Fridge 260L kwa bei ya Tsh 950,000/= tu, ni nzuri mno halafu yanye ubora zaidi kuliko zile zingine
piga 0748218402 Kawaida na what's app pia
Tupo Kariakoo Dar es salaam na kwa dar es salaam tunafanya delivery mpaka nyumban mlangoni kwa mteja karibuni

Katika kipindi hiki cha sikukuu kukaribia mpambe mwanao kwa Nguo nzuri mno kwa bei ya Tsh 34000/= tu  Piga 0748 218402 k...
21/09/2024

Katika kipindi hiki cha sikukuu kukaribia mpambe mwanao kwa Nguo nzuri mno kwa bei ya Tsh 34000/= tu

Piga 0748 218402 kawaida na What's app pia

Kwa wakazi wa Dar es salaam ninafanya free delivery kwa bei hiyo hiyo iliyotajwa hapo juu popote alipo mteja

Lakini kwa wateja wa mikoani ntakufanyia free delivery offer kutoka dukani mpaka kituo cha chombo cha usafiri cha kusafirishia bidhaa lkn baada ya hapo gharama ya usafiri wa bidhaa nitaomba mteja unisaidie ahsante

Tupo Kariakoo Dar es salaam na kwa dar es salaam tunafanya delivery mpaka nyumbani mlangoni kwa mteja na mikoani tunatuma pia kwa uaminifu karibuni sana .

Jipatie Nguo nzuri zinazokupa muonekano mzuri kwa bei nzuri Sketi na Brauzi bei yake ni 27000/= tuGauni hilo jeusi bei y...
21/09/2024

Jipatie Nguo nzuri zinazokupa muonekano mzuri kwa bei nzuri

Sketi na Brauzi bei yake ni 27000/= tu

Gauni hilo jeusi bei yake ni 37000/= tu

Piga 0748218402 Kawaida na what's app pia

Kwa wakazi wa Dar es salaam nafanya free delivery offer mpaka popote alipo mteja kwa bei hiyo hiyo iliyotajwa hapo juu

Lakini kwa wateja wa mikoani ntakufanyia free delivery offer kutoka dukani mpaka kituo cha chombo cha usafiri cha kusafirishia bidhaa baada ya hapo nitaomba gharama za usafirishaji wa bidhaa hii bora unisaidie kidogo kuilipia ahsante.

Tupo Kariakoo Dar es salaam na kwa dar es salaam tunafanya delivery mpaka nyumban mlangoni kwa mteja na mikoani tunatuma pia kwa uaminifu karibuni

Mzigo mpya umeingia dukani karibuni unaupata kwa bei ya Tsh 42000/= tu Piga 0748218402 kawaida na What's app pia Tupo Ka...
21/09/2024

Mzigo mpya umeingia dukani karibuni unaupata kwa bei ya Tsh 42000/= tu
Piga 0748218402 kawaida na What's app pia
Tupo Kariakoo Dar es salaam na kwa dar es salaam tunafanya delivery mpaka nyumban mlangoni kwa mteja na mikoani tunatuma pia kwa uaminifu karibuni

PMC Rice Cooker inawivisha wali vizuri mno ya 2.8L unaipata kwa bei ya Tsh 80,000/= tu karibuniPiga 0748218402
21/09/2024

PMC Rice Cooker inawivisha wali vizuri mno ya 2.8L unaipata kwa bei ya Tsh 80,000/= tu karibuni
Piga 0748218402

Karibuni PMC Oven 100L unaipata kwa bei ya T sh 395000/=  Piga 0748218402 Kawaida na what's app pia Tupo Kariakoo Dar es...
21/09/2024

Karibuni PMC Oven 100L unaipata kwa bei ya T sh 395000/=
Piga 0748218402 Kawaida na what's app pia
Tupo Kariakoo Dar es salaam na kwa dar es salaam tunafanya delivery mpaka nyumban mlangoni kwa mteja na mikoani tunatuma pia kwa uaminifu even abroad we can reach up

Address

0748218402
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mloy Enterprises Business Center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share