mamu classic underwear

mamu classic underwear Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from mamu classic underwear, Clothing (Brand), mbagala kizuiyan, Dar es Salaam.

✨ Mamu Classic Underwear
πŸ“ Mbagala Kizuiani
πŸ‘™ Chupi β€’ Boxer β€’ Brazia β€’ Taiti
πŸ§’ Nguo za ndani za watoto
πŸ›οΈ Bei nafuu β€’ Quality ya kudumu
πŸ“© DM kwa oda & huduma za haraka

20/04/2026

Unajipatia brazia gred A kwa 2000 kuanzia pc 50,
2500 kuanzia pc 20, na gred 2, 1000 hii bei ya offar ya wiki 1 tu

Chup 1000 kuanzia pc 50, Bana tumbo zipo 1000joi. Wasap group kuona bidhaa zetu link πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

https://chat.whatsapp.com/H9M2cxDbkJD1xHSYLlWYtz?mode=gi_t

Feedback kutoka sehem tofauti tofauti sisi unachelewa wap kuanza Sasa una ukajisimamia kiuchumo
17/01/2026

Feedback kutoka sehem tofauti tofauti sisi unachelewa wap kuanza Sasa una ukajisimamia kiuchumo

17/01/2026

Wateja wa mamu classic, tunahusika na kuuza chup, taiti, boxes na brazia, bila kusahau nguo za ndani za watoto
Tupo mbagala kizuiyan
Mikoan nakutumia k**a mnavyoo jinsi tunavyo funga order na kuwatumia wateja wetu

Join wasap group ili kuona bidhaa zetu linki πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

https://chat.whatsapp.com/H9M2cxDbkJD1xHSYLlWYtz

13/01/2026

Tumewaletea boxers za cotton ni nzur san πŸ”₯πŸ”₯
Jumla dzn 38000
Nusu dzn 20,000
Reja pc 1, 5000
Tupo mbagala kizuiyan mikoan nakutumia kwa uhakika boss
Join wasap group ili kuona bidhaa zetu link πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

https://chat.whatsapp.com/H9M2cxDbkJD1xHSYLlWYtz

Ulikuwa unajiuliza ni biashara Gan unaweza kufanya kwa mtaji mdogo na kujipatia faida nusu kwa nusuNipo hapa kukupa haba...
19/12/2025

Ulikuwa unajiuliza ni biashara Gan unaweza kufanya kwa mtaji mdogo na kujipatia faida nusu kwa nusu

Nipo hapa kukupa habari njema kwamba,
Mamu classic inakuletea offar ya kufungia mwaka kwa kwa bidhaa zake za nguo za kandan🀩🀩

Ambazo utapata kifurushi cha 50,000 kwa pc 50 na wew utau,a 2000 kupata faida nusu kwa nusu
Pia kifurushi cha 75,000 kwa pc 50, na kuuza 3000 na kupata faida nusu kwa nusu
Utapata chup kwa dzn 1 moja moja yaan chup quality tunauza 5000 kwa pc 1

Pia utapata elimu bule ya kujifunza kuhusu kufanya hii biasha nzuri na yenye mzunguko

Tupo mbagala kizuiyan mikoan uhakika k**a ilivyo kwaida yetu tunawatumia kwa uaminifu

Join wasap group ili kuona bidhaa zetu kila tukishusha mzigo mpya Link πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

https://chat.whatsapp.com/H1FwZHa9cfXJ5AdZbNtoR9

14/12/2025

Mikoan tunatuma kwa uaminifu. K**a upon mkoan usiwaze kuhusu mzigo kufika mzigo unakufikia bila shida yeyote sababu sisi hii ndy kazi yetu kukufikishia mzigo wew ulioko mbali kwa bei nafuu zaidi.

Au unaweza muagiza ndugu jamaa au Rafik aliopo uku dar akafika dukani na kukuchukulia mzigo wako

Join wasap group ili kuona bidhaa zetu linki πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

https://chat.whatsapp.com/H1FwZHa9cfXJ5AdZbNtoR9

K**a umeiyona hii post hakika wew ni mwenye bahati san🀩🀩  sababu umekutana na bonge la fursa ya kuanza biashara isiyo na...
09/12/2025

K**a umeiyona hii post hakika wew ni mwenye bahati san🀩🀩 sababu umekutana na bonge la fursa ya kuanza biashara isiyo na kipengele labda use nacho wewπŸ‘ŒπŸ‘Œ

Njoo nikufundishe biashara ya nguo za ndan. Biashara yenye mzunguko na faida ya haraka mfano chup k**a hiyo unaipata dzn 40,000 pc 12

Unauza 5000 pic 1 unapata faida 20000 mfano kwa cku ukauza dzn 2 au 3, 20000 X 3= 60,000 kila siku.

Pia dukani kwetu Kuna chup za bei ya China Zaid ambazo
Dozen, 12000, 15000, 18000, 20,000, 24000, 30000 33000 na 40,000.

Hujachelewa njoo na burger yako nitakuelekeza jinsi ya kufunga mzigo kutokana na mazingira yako

Tupo dar mbagala kizuiyan, mikoan nakutumia
Call & wasap 0685482172

Join wasap group link

https://chat.whatsapp.com/H1FwZHa9cfXJ5AdZbNtoR9

09/12/2025

Eheee. Leo ni siku nyingine ten hii kwaajili ya wafanya biashara wa nguo za ndan

Njoo ujipatie mzigo wote huu kwa shilingi 100,000 tsh tu ukaanze biashara my wangu

Hiz ni brazia gred 1 unapata kwetu kwa 2000 tu kuanzia pc 50. Na wew unauza 5000 na 4000 kwa pic 1 na kujipatia faida nziri

Uzuri wa hii biashara inamzunguko mkubwa sababu wengi tunapenda kuvaa brazia na kila siku lazima tuvae sababu tunapenda kupendeza

Tupo mbagala kizuiyan
Call & wasap 0685482172

Join wasap group ili kuona bidhaa zetu linki

https://chat.whatsapp.com/H1FwZHa9cfXJ5AdZbNtoR9

Anza biashara kwa urahisi kupitia mamu classic underwear.Tunauza nguo za ndan aina zote kwa jumla na reja K**a vile. Chu...
03/08/2025

Anza biashara kwa urahisi kupitia mamu classic underwear.
Tunauza nguo za ndan aina zote kwa jumla na reja
K**a vile. Chup taiti brazia boxers vest za ke na me
Bila kusahau nguo za ndan za watoto

Tupo mbagala kizuiyan upande wa mahak**an
Join wasap group kuona bidhaa zetu

https://chat.whatsapp.com/IVIvhfD5SwU5eyhlFYQP5d?mode=ac_t

Wasap & call namba 0685482172
πŸ™πŸ™πŸ™

Address

Mbagala Kizuiyan
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when mamu classic underwear posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share