08/05/2019
Hii siyo ice cream ni shea butter grade A. iinapatikana kwetu
Bei kwa shs
100g =10,000
500g= 40,000
1kg =60,000.
African back soap g100 sh 8,000
Karibuni sana.
SMS/TEL/WHATSAPP 0625896997 πππππππ ππππππ
SHEA BUTTER ni mafuta ya ngozi na nywele yatokayo Africa Magharibi.
Shea butter yetu imetoka moja kwa moja kutoka kwa wazalishaji walioko Ghana na haijachakachuliwa
Inafanya kazi kuu zifuatazo; *kuipa ngozi unyevu (moisturizing), *kufanya ngozi iwe nyororo (smoothing), *inasaidia katika kutibu magonjwa ya ngozi (healing)
*Hulainisha ngozi ( softening)
*inaipa ngozi ung'avu wa asili (natural glow)
Hupunguza ngozi kusinyaa na kuzeeka (wrinkles and aging)
Inasaidia kuondoa michirizi ya mimba(stretch marks)
*Inasaidia kulainisha na kurutubisha nywele
Zaidi ya kuwa ni mafuta mazuri kwa ngozi na nywele ni tiba pia.
Matumizi ;
* Husaidia kutibu magonjwa ya ngozi k**a eczema, psoriasis,
*magaga,vipele, chunusi, kubabuka ngozi. *Hupunguza kuwashwa mwilini (itching)
Inaondoa vipele vya joto ******************************************
:
:
:
, , , , , , ,