05/02/2026
Mke wa Jux, Priscilla, elimu ya msingi na sekondari aliipata huko Lagos, Nigeria alipohitimu mwaka 2017.
Kisha kujiunga na Chuo Kikuu cha Babcock kilichopo Ilishanremo, jimbo la Ogun kwa lengo la kusomea fani ya Media and Theatre Arts.