Uhuru Market

Uhuru Market Uhuru Market is a proudly Tanzanian e-commerce platform connecting local artisans, vendors, and entrepreneurs with customers nationwide. CLICK, SHOP,SMILE

Our mission is to make online buying and selling easy, fair, and accessible for everyone.

22/05/2026

Afrika sasa imehamia kwenye dijitali, na bidhaa unazozipenda ziko kiganjani mwako! 🌍✨
Msimu huu wa Siku ya Afrika, chagua ubunifu, chagua vya nyumbani. Kuanzia mavazi, sanaa, hadi bidhaa za kipekee za Kiafrika tunaziwasilisha kutoka uhuru.market moja kwa moja hadi mlangoni pako.
Inua wabunifu wa nyumbani leo! Bofya link kwenye bio yetu kuanza kufanya manunuzi. πŸ›οΈ
Heri ya Siku ya Afrika!

Temebela: www.uhuru.market
Pakua App: Uhuru Market App kwenye App Store au Play Store

21/05/2026

Buying on the Uhuru app is officially that easy. We cut out the endless forms and confusing steps so you can get what you need without the headache.
Just a few quick clicks, and your favorites are on their way to your front door.
Stop overcomplicating your shopping.
Download the Uhuru Market App today and see how seamless it really is!

19/05/2026

Usipitwe, download Uhuru Market app Leo ufanye manunuzi ya bidhaa mbalimbali.

γ‚š

14/05/2026

Cash On Delivery Sasa Inapatikana ndani ya Uhuru Market App, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.

Watu wa DAR! πŸ“£ Sasa huna sababu ya kusubiri. Agiza bidhaa unayoipenda kutoka Uhuru Market na ulipe mlangoni pako. Ni rah...
14/05/2026

Watu wa DAR! πŸ“£ Sasa huna sababu ya kusubiri. Agiza bidhaa unayoipenda kutoka Uhuru Market na ulipe mlangoni pako.

Ni rahisi, ni salama, na ni kwa ajili yenu wakazi wa Dar es Salaam tu! Tembelea link kwenye bio yetu kuanza kuagiza sasa. πŸƒβ€β™‚οΈπŸ’¨

Vigezo na Masharti kuzingatiwa.

Pakua sasa kwenye Play Store au App Store au tembelea tovuti yetu uhuru.market!

"

13/05/2026

Manukato mapya ya Uhuru yamefika kwa ajili ya kukufanya ujiamini kila upitapo. Ubora wa hali ya juu na urahisi wa huduma ndio kipaumbele chetu. Nunua leo ndani ya Uhuru App au Tovuti ya uhuru.market link kwenye bio

Namna ya Kulipia:

πŸ’΅ Cash (Lipia unapopokea mzigo wako) kwa wakazi wa dar tu
πŸ’³ Kielektroniki (Malipo ya haraka na salama kwa simu au benki).

Vigezo na masharti kuzingatiwa.

Jipatie manukato leo ndani ya Uhuru Market.

Kwanini ulipe zaidi wakati unaweza kupata bidhaa bora kwa bei ya kijanja kupitia Uhuru App? πŸ’°πŸ›’Jiunge na familia ya wajan...
11/05/2026

Kwanini ulipe zaidi wakati unaweza kupata bidhaa bora kwa bei ya kijanja kupitia Uhuru App? πŸ’°πŸ›’

Jiunge na familia ya wajanja leo kwa kujisajili kwenye app yetu. Furahia urahisi wa kuagiza bidhaa kuanzia vifaa vya nyumbani hadi mitindo, zote zikikufikia popote ulipo.

Hatua ni rahisi:
1️⃣ Pakua App ya Uhuru.
2️⃣ Jisajili .
3️⃣ Anza kununua bidhaa zenye bei rafiki.

Pakua sasa kenye Play Store au App Store au tembelea tovuti yetu uhuru.market!

Leo tunaadhimisha siku ya mama wote na wale wote wenye upendo wa mama katika jamii yetu. Tunawatakia heri na siku iliyoj...
10/05/2026

Leo tunaadhimisha siku ya mama wote na wale wote wenye upendo wa mama katika jamii yetu. Tunawatakia heri na siku iliyojaa upendo na mapumziko mema.
Today, we celebrate the incredible mothers and mother figures within our community. Wishing you a day filled with the love and relaxation you truly deserve! ✨🌸

Don't Swipemarket
08/05/2026

Don't Swipemarket

Pata bidhaa hizi muhimu za ngozi kwa bei ya ofa, ndani ya Uhuru Market pekee. Iwe unatoka kwenye jua kali la Dar au unaj...
08/05/2026

Pata bidhaa hizi muhimu za ngozi kwa bei ya ofa, ndani ya Uhuru Market pekee. Iwe unatoka kwenye jua kali la Dar au unajipumzisha jioni, tumekufunika!

- American Dream Cocoa Butter (Lemon): Ng’arisha ngozi yako na ondoa madoa kwa mchanganyiko wa Kojic Acid na Liquorice.

- CeraVe Moisturising Cream: Suluhisho namba moja lililopendekezwa na madaktari wa ngozi duniani kote. Inasaidia kurudisha unyevu na kuimarisha ulinzi wa asili wa ngozi yako (skin barrier).

πŸ“² Urahisi wa Kuagiza: Pakua App yetu kwenye Google Play au App Store au tembelea Uhuru.Market.

πŸ›οΈ Nunua sasa kupitia Uhuru.Market
🚚 USAFIRI NI BURE kwa Dar es Salaam pekee!

Sema kwaheri kwa chunusi na mafuta yaliyozidi! Pata muonekano mpya na wa kishua kwa kutumia bidhaa hizi pendwa kutoka Uh...
07/05/2026

Sema kwaheri kwa chunusi na mafuta yaliyozidi! Pata muonekano mpya na wa kishua kwa kutumia bidhaa hizi pendwa kutoka Uhuru.Market.

Bioaqua Salicylic Acid Cleanser: Rafiki wa ngozi yako kila siku. Inasaidia kukausha chunusi, kupunguza mafuta, na kufuta madoa.

Eggplant Clay Mask Stick: Rahisi kutumia! Inasafisha vinyweleo (pores) na kuifanya ngozi yako kuwa nyororo bila uchafu wa mikono.

Cleanser: TZS 10,500 tu! πŸ’° Mask Stick: TZS 26,250 tu!
Usafiri ni Bure (FREE DELIVERY) kwa mkazi wa Dar es Salaam!

πŸ”— Agiza sasa kupitia Uhuru.Market au pakua App yetu Play Store/App Store.
basi

Address

PSSSF Towers
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uhuru Market posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category