NiaVista Prime

NiaVista Prime Discover quality fashion made to elevate your everyday look.

Step into style with NiaVista Prime, home of elegant leather handbags, premium shoes for men & women, classy trousers, belts, wallets, socks, vests, boxers & watches.

πŸ’‡β€β™€οΈ Niavista Fame! Urembo wa Asili, Ubora wa Kipekee ✨Kila mwanamke anastahili kuonekana na kujisikia wa kipekee!Pata h...
14/10/2025

πŸ’‡β€β™€οΈ Niavista Fame! Urembo wa Asili, Ubora wa Kipekee ✨

Kila mwanamke anastahili kuonekana na kujisikia wa kipekee!
Pata human hair wigs za hali ya juu kutoka Niavista Fame, zenye muonekano wa asili, laini, na zinazodumu kwa muda mrefu.
Iwapo unahitaji wig ya ubora wa juu kwa hafla, kazini, au matumizi ya kila siku Niavista Prime ipo kukusaidia kuipata kwa urahisi.

πŸ’β€β™€οΈ Usikubali hadhi yako ipungue! Chagua ubora, chagua uhalisia, chagua Niavista Fame!

πŸ“ Tembelea Niavista Prime, Dodoma (mbele ya Nyerere Square)
πŸ“ž 0657320057 Pia Wasiliana nasi kupitia [email protected]

11/10/2025

πŸ˜‚ Ukicheka, usisahau kuvaa hadhi yako!
Niavista Prime ubora, mtindo na burudani vimekutana hapa Dodoma!
πŸ’Ό Hadhi yako inaanzia hapa!

11/10/2025

πŸ˜‚ Ukicheka, usisahau kuvaa hadhi yako!
Niavista Prime inakuleta mchanganyiko wa burudani na ubora β€” tukikupa staili ya kipekee kupitia vichekesho vinavyogusa maisha halisi!
Tembelea duka letu ujionee viatu vya ngozi vya kifahari, mikanda, pochi, handbags na accessories za kisasa kwa wanaume na wanawake wanaothamini ubora na mwonekano wa heshima.

πŸ’ΌπŸ•΄οΈ Niavista Prime! Hadhi yako inaanzia hapa!
Production by Tz

11/10/2025

Ukifika Jijini Dodoma...
Utakutana na mambo mengi ya kukufanya ulipende jiji hili
lakini kinachovutia zaidi ni duka la ubora na hadhi: Niavista Prime.

Hapa tunakuletea viatu vya ngozi vya kipekee, mikanda, soksi, pochi, handbags, na accessories za kisasa kwa wanaume na wanawake wanaothamini ubora na mtindo wa kweli.

πŸ“Tembelea duka letu katikati ya Jiji la Dodoma, mbele ya Nyerere Square.
πŸ“ž Wasiliana nasi kupitia 0657 320 057 na [email protected]

πŸ•΄οΈπŸ’Ό Niavista Prime! Hadhi yako inaanzia hapa!

11/10/2025

Ukifika Dodoma, usiondoke bila kutembelea Niavista Prime hadhi yako inaanzia hapa! πŸ‘žπŸ’Ό

Karibu Niavista Prime mahali ambapo ubora unakutana na hadhi! Duka lako bora la mavazi ya kiume na ya k**e katikati ya J...
10/10/2025

Karibu Niavista Prime mahali ambapo ubora unakutana na hadhi!

Duka lako bora la mavazi ya kiume na ya k**e katikati ya Jiji la Dodoma.
Tunakuletea viatu vya ngozi vya kifahari, mikanda, soksi, pochi, handbags na accessories za kisasa kwa wanaume na wanawake wanaothamini mtindo na ubora wa kweli.

πŸ’ΌπŸ•΄οΈ Niavista Prime! Hadhi yako inaanzia hapa!

02/05/2025

Address

Plot 4 Block A Lindi Avenue/Nyerere Square Dodoma. P. O. Box 794 Dodoma
Dodoma
41102

Opening Hours

Monday 08:00 - 20:15
Tuesday 08:00 - 20:15
Wednesday 08:00 - 20:15
Thursday 08:00 - 20:15
Friday 08:00 - 20:15
Saturday 09:15 - 20:15

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NiaVista Prime posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share