Kanzu Trendz

Kanzu Trendz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kanzu Trendz, Clothing Store, Msikiti wa Waturuki, Kibada.

Tunapatikana Kibada Njia ya Kati pembeni na Msikiti wa Waturuki,Baadhi ya bidhaa tunazouza;
- Kanzu Original aina zote za Wakubwa na Watoro
- Kofia za Oman,Turky,Saudi nk
- Sandoz Original
- Perfyum Original nk

NB: Tunapamba na kuandaa Maharusi.

06/03/2026

Ramadhan & Eid Collection โœจ๐ŸŒŸ๐Ÿ•‹๐Ÿ›๏ธ Oman,Emirates,Saudi & Moroco Style of Kanzu available in our Shop.

๐Ÿ“Size 52,54,56,58 & 60
๐Ÿ“Different Colors
๐Ÿ“High Quality Material
๐Ÿ“From UAE ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ช
_______________

Karibuni sana โžก๏ธ

Call / Whatsapp ๐Ÿ“ž๐Ÿ“ฒ 0767300255

________________

Tupo ๐Ÿ“ Kibada, Pembeni ya Msikiti wa Waturuki.

Tupo wazi 08:30am - 21:00pm Monday to Sunday

18/02/2026

Surah Aali Imran | Ayah 90 -91

UFAFANUZI WA AYA HIZI
Kuna baadhi ya wafasiri waliosema kuwa Aya hii na inayofuatia ni mwendelezo wa zile zilizotangulia kuhusu wale waliobaki kwenye ukafiri. Wengine wakasema hizi ni habari nyingine kuhusiana na watu wa Kitab ambao walimwamini Muhammad katika vitabu vyao, lakini alipojitokeza wakamkataa.

Vyovyote itakavyokuwa sababu ya kushuka Aya huwa haihusiki na tukio hilo tu; bali inaenea kila mahali na kila wakati. Kwa hiyo yeyote mwenye kukufuru baada ya kuamini kisha akazidisha kukufuru kwa dhambi; hasa kueneza ukafiri na kuwapiga vita waumini, basi hawezi kukubaliwa toba yake.

91 - Hakuna mwenye shaka kwamba mwenye kuishiliza maisha yake kwa ukafiri atahisabiwa hisabu ya makafiri. Siku hiyo hakuna njia ya kujikomboa kwa namna yeyote ile.

Msomaji: Abdullah Shaban

18/02/2026

Vijuba 2 piaces Available..

11/02/2026

Ramadhan and Eid Collection โœจ๐ŸŒŸ๐Ÿ•‹๐Ÿ›๏ธ Kanzu available in our Shop.

๐Ÿ“Size 52,54,56,58 & 60
๐Ÿ“Different Colors
๐Ÿ“High Quality Material
๐Ÿ“From UAE ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ช
_______________

Karibuni sana โžก๏ธ

Call / Whatsapp ๐Ÿ“ž๐Ÿ“ฒ 0767300255

________________

Tupo ๐Ÿ“ Kibada, Pembeni ya Msikiti wa Waturuki.

Tupo wazi 08:30am - 21:00pm Monday to Sunday

kigambonikanzushop

Address

Msikiti Wa Waturuki
Kibada
17109

Opening Hours

Monday 09:00 - 20:00
Tuesday 09:00 - 20:00
Wednesday 09:00 - 20:00
Thursday 09:00 - 20:00
Friday 09:00 - 20:00
Saturday 09:00 - 20:00
Sunday 09:00 - 20:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kanzu Trendz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category