Tabibu Marimo Herb's

Tabibu Marimo Herb's Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tabibu Marimo Herb's, Lugoba.

26/06/2026

:SIRI KUBWA YA MAJANI YA MPAPAI. UNAWEZA KUWA SULUHISHO LA CHANGAMOTO ZAKO

Katika Asili Kila kinachokuzunguka kinaweza kua na faida kwako kutegemea na jinsi unavyokipokea na kukitumia kitu hicho..💥

Tumezoea kutumia mpapai k**a tunda na chakula lakini wengi wetu hatujui faida zaidi na Leo nawaletea baadhi ya faida na namna ya ku*itumia

🔶HUONDOA SUMU YA KUNG'ATWA NA NYOKA
Chuma majani ya mpapai yatwange yakilainika, chanya sehemu uliyong'atwa Kwa kukizunguka kidonda Kisha kamulia maji ya mpapai katika sehem uliyochanja. Kusikia maumivu Zaidi au kidonda kuvuta ni dalili za kuondoa sumu hiyo

🔶MTOTO WA JICHO
Andaa majani machanga ya mpapai, yatwange Kisha majimaji pakaa ktk kope za macho Yako.

🔶KIDONDA
Chukua majani ya mpapai yatwange maji yake kamulia sehem yenye kidonda

🔶GESI & KIUNGULIA
Pendelea kunywa juisi ya majani ya mpapai

🔶VIDONDA VYA TUMBO
Tengeza juisi kwa kunywa kwa dalili ya vidonda vya tumbo

🔶TATIZO LA TUMBO / KUHARISHA
Chukua majani ya mpapai yasage unywe juisi yake

🔶KINGA YA MAMA MJAMZITO
Chukua mzizi wa mpapai uchemshe unywe maji yake kidogo au pendelea kuchemsha mizizi yake uogee
K**a siku za kujifungua zimefika lakini huoni dalili za kujifungua. Andaa mzizi wa mpapai ukate vipande Kisha andaa yai la kuku wa kienyeji weka maji katika chombo chemsha Kwa pamoja unywe hayo maji.

🔶MVUTO MWILI
Tumia majani ya mpapai kuchemsha na maji yake ogea Ila Sio chooni pia andaa maua ya mpapai yakaushe juani yasage changanya ktk mafuta Yako ya kupakaa uwe unapaka.

🔶MBEGU ZINA FAIDA NYINGI
k**a kuongeza hamu ya tendo na nguvu hasa ukitumia pamoja na mbegu za tikitiki maji

Faida zingine tutaziongelea katika madarasa yajayo

Usisahau kufollow page yetu ya Tabibu Faham Mwetemo +255684 765 575
ASILI NI ASILI

USITOE KAFALA NI KUWEKA MAKUBALIANO NA MAJINI AU WACHAWI NI VIFUNGO..Wengi hawajui wanapoenda kwa waganga huagizwa kuku,...
21/06/2026

USITOE KAFALA NI KUWEKA MAKUBALIANO NA MAJINI AU WACHAWI NI VIFUNGO..

Wengi hawajui wanapoenda kwa waganga huagizwa kuku, mbu*i, kondoo au ng'ombe kwa ajiri ya kafara.. Kwanza unahitajika ujue nini kinakusibu k**a maradhi ya kijini au kichawi na kafara inatoka kwa namna ipi.

Waganga huingia makubaliano na majini au wachawi kukuingiza mkenge kwenye makubaliano kwa kutoa kafara ili uingie kwenye vifungo vya kijini na kichawi.

Unapotoa kafala ina maana unajikabidhisha kwa kijini au wachawi kwa kipindi iko upone maradhi yako yanakusibu na yatarudi tena utoe tena kafala.. Yakirudi tena utoe tena kafala unakuwa mtu wao upo ndani ya kifungo.

Kwaiyo waganga wengi huwaingiza wagonjwa kwenye mtego wa kijini na wachawi ili kuwafunga.. Warudi tena kwao tena tena kwa matibabu ili kuchukua pesa yako.
Mambo muhimu ya ku*ingatia ni kujua kafala ni ya nini na kusudi lake ili kuchinja huyo mnyama au ndege.

K**a unajini usikubali kafala itoke bimaa kuupa damu jini anahitaji tena na tena..

TAFUTA MAJI YA DUA UTASAIDIKA

MAJI YA DUA
Ni maji yaliyokusanywa kwenye visima, mito, mapango na mvua na kupata kisomo Mujarabu kutoka kwa mashekh zaidi ya 12 kuandaa tiba itakayokuwa Josho la kukinga na wachawi na majini wabaya watembea usiku na mchana.

Maji Yamesomea Dua mchanganyiko ni nyingi za kinabii na Mitume ambazo zimeelezwa kwenye Qurani zaidi ziliomba na waja wema zikawa Josho la kufukuza wachawi na majini. Maji ya dua kwa kufukuza na kukukinga zidi ya mashetani na wachawi.

Faida za Maji ya DUA
1. Hukinga mwili wako zidi ya majini wachawi na wanga
2.Hufungua matego katika miji na nyumba
3.Huvunja mazindiko katika miji na nyumba
4.Husafisha nyota na kupandisha nyota
5.Huongeza mvuto mwilini.
6.Hufungua rizki
7.Huondoa uchawi wa kulishwa mwili.
8. Hufukuza jin mahaba
9.Huzuia chuma uete kwenye biashara
10.Huongeza mvuto wa mapenzi

: Ni maji mazuri kwa wagonjwa wenye maradhi ambayo hayajulikani hospital yote unapona kwa kukukinga na nguvu za kijini na kichawi.

: Kunywa usiku na mchana vifuniko 6. Weka vifuniko 2 Changanya maji ya kuoga oga..itakusaidia kufungua mwili na kuondoa vifungo vya uchawi mwili na kutapika uchawi k**a ulilishwa.

MAJI YA DUA 25000TSH, LOC; MANZESE DSM
WHATSAPP:+255 0758 673 897

K**A NYOTA YAKO INA SHIDA HUWEZI FIKIA MALENGO. NYOTA NI NINI? Pengine sio neno geni kwenye masikio yako lakini maana ha...
21/06/2026

K**A NYOTA YAKO INA SHIDA HUWEZI FIKIA MALENGO.

NYOTA NI NINI?
Pengine sio neno geni kwenye masikio yako lakini maana halisi ndio inaweza kuwa haba akilini mwako.

Nyota ni zile code za mtu husika ambazo kila kiumbe kina code yake mbele ya Mungu. Lugha nyepesi ni namba za usajili ulizopewa na Mungu tokea ulipoumbwa paka utakapokufa.

Namba hizi ni mfano k**a wa ID ambayo humo ndani kuna kila kitu kinachokuhusu wewe na riziki zako na mambo yako yote katika neema na mitihani. Hii ndio maana ya nyota kwa ufupi.

Sasa wanachofanya wachawi ni kuingia kwenye hizi code zako na kuharibu ile mipango yako mizuri ambayo Mungu kakuwekea. Je wakati wanaharibu Mungu mwenyewe anakuwa hayupo?. Mungu anakuwepo na ndie anaekulinda.

Ila Mungu huwaacha ili akupe mtihani wewe kwasababu dunia hii ni chumba cha mitihani tu. Sasa anaacha ili akupe mtihani lakini yupo na anakulinda haachi wafanye yote wanayodhamiria.

Sasa ukigundua kuwa nyota yako imechezewa, imeibiwa, umepoteza nuru yako, mambo yako yamesimama au nuksi na mikosi kila kukicha ndio tiba ya kurudisha nyota yako. kuna aina nyingi za tiba. Kuna tiba za visomo na dawa pia, lakini usikae tu kwasababu wachawi wanatabia mbaya sana kadri unavyozidi kukaa ndio nao wanazidi kuongeza tatizo.

Dalili za kuchafuka nyota. Mambo kuharibika bila sababu. Kukimbiwa na watu bila sababu. Hela unayopata haifanyi maendeleo yoyote inapotea tu. Kufukuzwa kazi na kuchukiwa bila sababu nk. Hizi ndio habari za nyota.

WAL- NSAA Ni mafuta yalio-andaliwa kulinda (CODE YAKO) yaani nyota yako kile kibali cha baraka zako. K**a nyota yako imeibiwa au kufanyika hasadi imeshuka basi mafuta haya ya kipawa kikubwa cha kuimarisha nyota na kupandisha nyota kileleni.

Mafuta yana mchanganyiko wa mafuta za zaidi ya 07 na kisomo maalum za Rukyia kwa KUPANDISHA NYOTA..

Faida ya mafuta ya WAL-NSAA
1. Hurudisha bahati yako
2.Hupandisha nyota juu.
3.Kupendwa na kila mtu
4.Kufanikisha kila jambo
5.Huongeza mvuto mwilini.
6.Hufungua rizki

: Ni mafuta mazuri kwa wachimba migodi kupata bahati ya mali

: Pakaa usiku na mchana mwili mzima. Choma chumbani kwako.. Pia jifukize itakusaidia kurudisha Ufalme wako na bahati yako

MAFUTA YA WAL-NSAA-25000Tsh
MANZESE:DSM
WHATSAPP:+255 684 765 575
CONTACT CALL: 0758 673897

K**A UMEIBIWA NYOTA YAKO UMEWEKA MSUKULE.Mwili bila ya nyota ni k**a nyumba isiyo na mlango.. Chochote kibaya na mikosi ...
21/06/2026

K**A UMEIBIWA NYOTA YAKO UMEWEKA MSUKULE.

Mwili bila ya nyota ni k**a nyumba isiyo na mlango.. Chochote kibaya na mikosi nuksi itaingia na kukuletea mikwamo na maradhi mwilini kwako.

Mtu aliyeiba nyota yako huchukua baraka zako na kukuachia mikosi na nuksi zake.

Pengine nyota sio neno geni kwenye masikio yako lakini maana halisi ndio inaweza kuwa haba akilini mwako.

Nyota ni zile code za mtu husika ambazo kila kiumbe kina code yake mbele ya Mungu. Lugha nyepesi ni namba za usajili ulizopewa na Mungu tokea ulipoumbwa paka utakapokufa.

Namba hizi ni mfano k**a wa ID ambayo humo ndani kuna kila kitu kinachokuhusu wewe na riziki zako na mambo yako yote katika neema na mitihani. Hii ndio maana ya nyota kwa ufupi.

Sasa wanachofanya wachawi ni kuingia kwenye hizi code zako na kuharibu ile mipango yako mizuri ambayo Mungu kakuwekea. Je wakati wanaharibu Mungu mwenyewe anakuwa hayupo?. Mungu anakuwepo na ndie anaekulinda.

Ila Mungu huwaacha ili akupe mtihani wewe kwasababu dunia hii ni chumba cha mitihani tu. Sasa anaacha ili akupe mtihani lakini yupo na anakulinda haachi wafanye yote wanayodhamiria.

Sasa ukigundua kuwa nyota yako imechezewa, imeibiwa, umepoteza nuru yako, mambo yako yamesimama au nuksi na mikosi kila kukicha ndio tiba ya kurudisha nyota yako. kuna aina nyingi za tiba. Kuna tiba za visomo na dawa pia, lakini usikae tu kwasababu wachawi wanatabia mbaya sana kadri unavyozidi kukaa ndio nao wanazidi kuongeza tatizo.

Dalili za kuchafuka nyota. Mambo kuharibika bila sababu. Kukimbiwa na watu bila sababu. Hela unayopata haifanyi maendeleo yoyote inapotea tu. Kufukuzwa kazi na kuchukiwa bila sababu nk. Hizi ndio habari za nyota.

WAL- NSAA Ni mafuta yalio-andaliwa kulinda (CODE YAKO) yaani nyota yako kile kibali cha baraka zako. K**a nyota yako imeibiwa au kufanyika hasadi imeshuka basi mafuta haya ya kipawa kikubwa cha kuimarisha nyota na kupandisha nyota kileleni.

Mafuta yana mchanganyiko wa mafuta za zaidi ya 07 na kisomo maalum za Rukyia kwa KUPANDISHA NYOTA..

Faida ya mafuta ya WAL-NSAA
1. Hurudisha bahati yako
2.Hupandisha nyota juu.
3.Kupendwa na kila mtu
4.Kufanikisha kila jambo
5.Huongeza mvuto mwilini.
6.Hufungua rizki

: Ni mafuta mazuri kwa wachimba migodi kupata bahati ya mali

: Pakaa usiku na mchana mwili mzima. Choma chumbani kwako.. Pia jifukize itakusaidia kurudisha Ufalme wako na bahati yako

MAFUTA YA WAL-NSAA-25000Tsh
MANZESE:DSM
WHATSAPP:+255 684 765 575
CONTACT CALL: 0758 673897

K**A NYOTA YAKO INA SHIDA HUWEZI FIKIA MALENGO. NYOTA NI NINI? Pengine sio neno geni kwenye masikio yako lakini maana ha...
21/06/2026

K**A NYOTA YAKO INA SHIDA HUWEZI FIKIA MALENGO.

NYOTA NI NINI?
Pengine sio neno geni kwenye masikio yako lakini maana halisi ndio inaweza kuwa haba akilini mwako.

Nyota ni zile code za mtu husika ambazo kila kiumbe kina code yake mbele ya Mungu. Lugha nyepesi ni namba za usajili ulizopewa na Mungu tokea ulipoumbwa paka utakapokufa.

Namba hizi ni mfano k**a wa ID ambayo humo ndani kuna kila kitu kinachokuhusu wewe na riziki zako na mambo yako yote katika neema na mitihani. Hii ndio maana ya nyota kwa ufupi.

Sasa wanachofanya wachawi ni kuingia kwenye hizi code zako na kuharibu ile mipango yako mizuri ambayo Mungu kakuwekea. Je wakati wanaharibu Mungu mwenyewe anakuwa hayupo?. Mungu anakuwepo na ndie anaekulinda.

Ila Mungu huwaacha ili akupe mtihani wewe kwasababu dunia hii ni chumba cha mitihani tu. Sasa anaacha ili akupe mtihani lakini yupo na anakulinda haachi wafanye yote wanayodhamiria.

Sasa ukigundua kuwa nyota yako imechezewa, imeibiwa, umepoteza nuru yako, mambo yako yamesimama au nuksi na mikosi kila kukicha ndio tiba ya kurudisha nyota yako. kuna aina nyingi za tiba. Kuna tiba za visomo na dawa pia, lakini usikae tu kwasababu wachawi wanatabia mbaya sana kadri unavyozidi kukaa ndio nao wanazidi kuongeza tatizo.

Dalili za kuchafuka nyota. Mambo kuharibika bila sababu. Kukimbiwa na watu bila sababu. Hela unayopata haifanyi maendeleo yoyote inapotea tu. Kufukuzwa kazi na kuchukiwa bila sababu nk. Hizi ndio habari za nyota.

WAL- NSAA Ni mafuta yalio-andaliwa kulinda (CODE YAKO) yaani nyota yako kile kibali cha baraka zako. K**a nyota yako imeibiwa au kufanyika hasadi imeshuka basi mafuta haya ya kipawa kikubwa cha kuimarisha nyota na kupandisha nyota kileleni.

Mafuta yana mchanganyiko wa mafuta za zaidi ya 07 na kisomo maalum za Rukyia kwa KUPANDISHA NYOTA..

Faida ya mafuta ya WAL-NSAA
1. Hurudisha bahati yako
2.Hupandisha nyota juu.
3.Kupendwa na kila mtu
4.Kufanikisha kila jambo
5.Huongeza mvuto mwilini.
6.Hufungua rizki

: Ni mafuta mazuri kwa wachimba migodi kupata bahati ya mali

: Pakaa usiku na mchana mwili mzima. Choma chumbani kwako.. Pia jifukize itakusaidia kurudisha Ufalme wako na bahati yako

MAFUTA YA WAL-NSAA-25000Tsh
MANZESE:DSM
WHATSAPP:+255 684 765 575
CONTACT CALL: 0758 0758 673 897

USIAZIMISHE WALA USIAZIME UFAGIO KWA MTU NI HATARI ZAIDI..💥AWALI WENYE SHIDA MARADHI SUGU, VIFUNGO, MAISHA MAGUMU, MAMBO...
21/06/2026

USIAZIMISHE WALA USIAZIME UFAGIO KWA MTU NI HATARI ZAIDI..💥

AWALI WENYE SHIDA MARADHI SUGU, VIFUNGO, MAISHA MAGUMU, MAMBO HAYAENDI TUMIA MAJI YA DUA, TIA NIA MARADHI UTAPONA & MAISHA YATAFUNGUKA UTAPATA NEEMA✔️ soma makala mwisho.

UCHAFU wa ndani ama seh ya mji ama duka huhesabiwa k**a ridhiki za watu husika. Hivyo mara nyingi mtu akitaka kuua biashara ya mtu hudili na ufagio ama taka za eneo la biashara huenda ku*ikwa makaburini na vtu vingine shughuli imeishia hapo.

Pia hata mtu anayetaka kufanya dawa za biashara dukani hutumwa tena taka au mchanga wa duka kubwa eneo hilo linalouza sana sambamba na mchanga wa hospitali na sokoni au kituo kikuu cha daladala.

Hivyo ufagio una siri kubwa sana ndani ya nyumba ama eneo la biashara. Kila nyumba inakiwa na bahati yake ama mikosi yake hivyo mafagio hubeba hivyo vitu aidha mikosi ama bahati hutegemea na nyumba husika ilivyotengenezwa ama ilivyofungwa. Haya ni mambo muhimu ambayo hutakiwi kuyafanya kwa ufagio wako.

Zingatia fagio lako na uchafu unaoutoa ndani kwako iwe nyumba au eneo ka biashara ni hatari kwa watu wabaya wanaotaka kukudhuru. Kuwa makini na mtu anayekuja kuazima ufagio mara kwa mara kuna jambo anataka kukufanya. Ufagio wa kuokota usiuingize ndani kwako kuna makafara yanafanyiwa

NAMNA YA KUTUNZA NA KUHIFADHI UFAGIO WAKO

Hakikisha utautunza sehem nzur isiyoonekana kirahisi na wageni wako. Sio mgeni akiingia jambo la kwanza anakutana na ufagio kwa watu wenye jicho la tatu wanaweza kuiba ridhki ya nyumbani kwako kupitia ufagio wako wa ndani.

Hakikisha sehem unapoweka fagio usiulaze uweke ukiwa umesimama. Itapendeza zaidi k**a utakuwa unatumia fagio la nyasi kuliko haya ya kisasa. Kwanini sababu nyasi zimetoka ardhini na bado kuna wepes wa neema na baraka kuingia nyumbani kwako.

Ufagio wa chooni ukae chooni usiweke ndani. Ufagio wa nje unaweza kuuweka sehem maalum ila sio chumbani kwako. Ufagio wa nje ni wa nje na wandani ni wandani na wasehemu ya biashara ni sehemu ya biashara usichanganye utafunga mambo yako.

Usiue mjusi au tandabui au kutoa ule u*i wa tandabui kwa kutumia fagio lako. Ikiwa utafanya hivyo basi litupe usitumie tena. Kwanini Mjusi ni taa ama camera ya wachawi kila nachoshika ndani kwako kinakuwa na alama za wachawi hivyo usiku wanapoingia wanafuata zile alama zao kiwepesi. Ikitokea ukaua kwa fagio maanae fagio ilabaki na alama hivyo unaweza ukafutwa kiwepes kwakuwa umeondoa camera yao ndani kwako. Ikitokea umefanya hivho uchome huo ufagio.

Pia zingatia usikae na ule wavu wa tandabui ndani kwako muda mref pia kuwa na fimbo ya kutolea hizo tandabui usiache zikakaa mpaka wiki mbili ni hatari kwenye nyumba na eneo la bishara. Ukiona mjusi au wadudu usiwaelewa k**a unaweza kuua muue usiruhusi akatoka nje ya nyumba yako.

Fagio lilouliwa wadudu au kutolea tandabui usitumie kumfagia mtoto wale wanaotumia njia hii watoto watembee haraka. Unamfunga miguu mtoto zile tandambui hutumika k**a njia za kukwamisha watu kupita kufikia sehem wanaohitaji katika ulimwengu wakichawi na kiroho.

K**a unafagia ndani nyumba zenye milango miwli hakikisha uchafu tolea mlango wa uwani usotolee barazani. Yaan anzia barazan kufagia kisha taka tolea uani. Ukiona mgeni amekuja kwako usifagie mpaka aondoke yaan wale wagen wa dharura achana na ugeni ulikokutembea unaokaa kwako.

Ikitokea unaota sana ndoto za hovyo zenye asili ya kichawi nunua ufagio wa nyasi hakikisha umenunua, usiku somea ayatu kursiyu 21 kisha weka nyuma ya mlango yaan geuza kile kitako kiwe chini kwa kufagilia kiwe juu.

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA

NILICHOONGELEA NI UFAGIO HUU HUU UNAOJUA UNA SIRI KUBWA NA MAMBO YA KIROHO NA MAMBO KICHAWI. USIRUHUSI MTU AJE KUCHUKUA FAGIO LAKO ENEO LA BIASHARA. USIAZIMISHE MTU IKITOKE AMEAZIMISHA BASI LIKIRUDI USILITUMIE TAFUTA JIPYA.

KWA WATU WA VIJINI NI VYEMA K**A UTAPATA ULE MTI WENYEWE WA MFAGIO AU MTI WA MVUMBASI UKATUMIA K**A FAGIO HUWA NA BARAKA NA KUONDOA VITU VIBAYA NDANI.

USIFAGIE VITU NDANI USIKU KISHA UKATOA NJE VIHIFADHI VITOE ASUBUHI. UNAPONUNUA UFAGIO MPYA KABLA KUUTUMIA KWANZA USAFISHE KWA MAJI YA DUA TAFUTA MAJI YA DUA SAFISHA UFAGIO WAKO.

una shida yoyote ya ndoa mapenzi biashara kazi kukuza Uume, nguvu za kiume uzazi nk
MAJI YA DUA NI 25000TSH, 400ML
MANZESE, DSM 0684 765 575
JIUNGE NA CHANNELNYETU WHATSAPP LINK IPO COMMENT:

Kwa wanaotuma ujumbe jitahd kuweka maelezo yanayoelweka jina pahala ulipo na shida husika.

MAISHA UNAYOISHI SI YAKO ACHA KUNYANYASIKA NA WACHAWI &MAJINI- ANGAMIZA NA MAJI YA DUA💥Una mkuta mtu yupo katika ajira m...
21/06/2026

MAISHA UNAYOISHI SI YAKO ACHA KUNYANYASIKA NA WACHAWI &MAJINI- ANGAMIZA NA MAJI YA DUA💥

Una mkuta mtu yupo katika ajira muda mrefu lakini inaenda miaka sasa yeye hakuna alichowahi kubadilisha katika maisha yake tofauti na wenzie wameanza maisha hivi karibuni na mishahara au pesa wanazopata ni ndogo kuliko yeye ila wanafanya mabadiliko na maendeleo yanaonekana huzuni inamtawala zaidi mtu wa namna hii kwakuwa akijiangalia tabia hana hanasa ya aina yoyote na hana uhuni wa aina yoyote lakini haendelei wala hafanikiwi na hajui shida nini wala tatizo ninini?

Unajitahidi kujibidiisha kwa kila kitu biashara una boresha na kuboresha lakini huoni mabadiliko yoyote zaidi ndio kwanza inakufa hata ukifuatilia wenzio wanavyofanya unafanya hadi unawazidi lakini bado unakwama na huendelei na huelewi shida nini tatizo ninini?

Nimeona nianze kwa maelezo hayo ili tuelewe wapi tunaenda katika somo letu hili

MKOSI ni ninini?
Mkosi ni hali ya kuharibikiwa na kila kitu unachokifanya kimazingira bila ya hatia yoyote au kutokana na hatia uliyonayo. Ina maana nyingi mikosi

Sasa tuone namna unaweza kujikuta umo kwenye mikosi na huelewi unahisi hisi tu

Mikosi inatokana na uchawi kwa asilimia kubwa ingawa ipo katika mifumo mitatu tofauti

• Mfumo wa kichawi
• Mfumo wa kimajini
• Mfumo wa kimizimu
•Mfumo wa kichawi
Hizi hufanyiwa mtu uchawi wa mkosi bila kosa lolote ingawa zote zinatokana na uchawi lakini hii ni mikosi ya kiuonevu tu ili kumuangusha mtu bila hatia ambapo mfumo huu wa kichawi ndio ambao wengi umewakumba na una watesa kwa kiwango kikubwa katika miaka tuliyonayo hapa wachawi huitisha kikao maalum katika kijiwe chao na husema mtu mmoja kati yao kuna mtu mtaani amekuja kwa kasi sana kafungua genge tumekula chumaulete sana lakini bado anafanikiwa sasa hivi kanunua kiwanja jirani na alipopanga hapo wanaendelea kukufuatilia utapata u*itoooo mpaka utakawia kujenga hatimae utajenga mpaka utamaliza utazidi kuendelea na kufanikiwa utanunua aidha usafiri wako binafsi genge limezaa mafrem kila kona kwa ujumla una mafanikio au biashara tatu nne ambazo unajimudu kwa kila kitu bado utaendelea kufatiliwa na majirani wakichawi au mchawi mkuu wa Kijiji hicho mwisho akikushindwa atakuzulia maneno mtaani na yatatapakaa anaringa anajiskia anaringa anajiskia n.k. mpaka utachukiwa na kila mtu ila bado utaendelea kufanikiwa ataona haitoshi ndio atawashirikisha wenzake

Wenzake wanakuwa 12-40 nakuendelea hapo utakaliwa kikao kikubwa na lengo ni kukuangusha ulipo uwe chini tofauti na awali cha kwanza watapitia biashara zako zote wakiwa na dawa zao za kichawi zilizoandaliwa kichawi moja ya dawa zao ni

-Uchafu wa chizi
- Maji ya bafuni yanayotoka nje ule utando wake wa juu
- maji aliooshewa maiti
-Uchafu wa maiti au mgonjwa mara ya mwisho kabla ya kufa
- Damu za siku
Na vingine vyote hivi wanaviandaa wakiwa watupu na wanaviandalia jalalani au chooni maana sehemu huwezi kupita ukajisikia raha basi baada ya hapo mzigo huo unachukuliwa na kuanza kupitishwa kila duka lako kwa viapo vikubwa vya kichawi lengo kuu ni kuiua biashara yako au uchumi wako kwa ujumla na kuhakikisha kuwa utashuka na utafilisika kwa namna yoyote ile.

Wakisha fanya zoezi hili wanakufunga wewe mwenyewe pia hapo wanatumia nguvu kubwa wanadili na majina yako na njiapanda jalalani na kwenye miti iliyokufa yenyewe au mapangoni wakishatupia humo kwanza wewe mwenyewe tu utakuwa hueleweki unahisi kuchanganyikiwa lakini huchanganyikiwi una maliza dawa za mvuto unamaliza waganga unamaliza maombi unamaliza funga n.k.lakini hufanikiwi na yote haya umefanyiwa bila kosa lolote huu ndio tunauita mkosi wa kichawi ambao kwa jamii kubwa tuliyonayo inateswa na uchawi huu na kila mwenye kuushinda lazima ataitwa mchawi na vitatembea vineno vya chinichini kuwa huyu jamaa aliaga kwao au mchawi sana n.k. ila wakikuweza ndio kila mara wakija watakusifu kinafki na ikibidi watakukopa sana bila kulipa ili kukuangusha ulipo uwe chini ya waliochini usifikie lengo lako la mafanikio makubwa unayoyatarajia huu ndio mkosi wa kichawi kwa asiye na hatia.

Vipi utajinasua katika hili?

Sasa usiache kufuatilia sehemu inayofuata ya
mfumo wa kimajini ambao nao hutia mikosi kwa wengi bila kuelewa tiba yake ni rahisi ikiwemo ku*ingatia utachoelekezwa na kukifanyia kazi ili kuweka mambo sawa.

•Mfumo wa kimajini

Huu ni mkosi unaotokana na majini wako mwenyewe kutokana na wewe kwenda kinyume na muongozo wao wanaokupa.
Mtu anaweza kushangaa majini wangu? Wanaweza kunipa mkosi? Kwanza majini wangu kivipi? Mi Sina majini sasa nakuelewesha hapa ufahamu tu kuwa kielimu ya tiba ingawa sio wote wanaoamini hili lakini kila mtu ana jini mwilini mwake ambaye hakuja kwa nia ya kumdhuru wala kumletea matatizo ila kwa mapenzi tu ili kumpa anachokitaka na kuhakikisha atakipata bila kizuizi na kumfanya awe mshindi dhidi ya lolote analolihitaji na hawa husimama na wewe tu kabla ya kuzaliwa mimba inapotunga tu kwenye sehemu yake husimama majini kulingana na tabia zao pamoja na wachawi humuangalia mtu akiwa tumboni na hujua mapema kuwa huyu atakuwa nani baadaye na ataishije ataishi wapi atapitia nini na nini n.k. baada ya hapo huibuka upinzani kwanzia mimba ipo tumboni majini na wachawi hushindana nani amchukue mtoto ukumbuke hapa majini ni wema na wachawi ndio waovu au wabaya ambao pia husimamiwa na majini wa kichawi katika zoezi lao hilo iwapo wakishinda majini basi mtoto atalindwa kwanzia tumboni na atazaliwa na kutakuwa na muujiza katika kuzaliwa kwake lazima kuna kitu kitatokea na kwa watu wazima litawatoka neno dah mtoto huyu kweli ana bahati kubwa n.k.baada ya hapo wachawi huwa wameshindwa hivyo mtoto atashikiliwa na majini mpaka atakapokuwa ametimiza ndoto zake na hapo kwenye kushikiliwa na majini huwa wana masharti yao na taratibu zao na hapo ndio wengi hukwama na matatizo huanzia hapo kwakuwa wameenda kinyume nao kwa kujua au kutokujua.

Mikosi ya majini humvaa mtu pindi anapojihusisha na mambo ambayo wameshamhadhari nayo kuwa asiyasogelee haswa mambo wasiyoyapenda zaidi ni uchafu wa zinaa haswa mke wa mtu ambaye hajaachwa na bado anaishi na mumewe hiyo hawapendi kabisa, pia mpenzi au mchumba asiyetulia (kulala na mtu ambaye kila siku analala na mtu mpya) sio salama kabisa kwa mtu mwenye majini hao na kingine kudhulumu nako husababisha majini kukukasirikia na kuamua kukupakaa mavi ya jibwa jeusi au yai viza wanakupaa usoni ukiwa umelala baada ya hapo utakwama sana mpaka u*induke wapi ulikosea.

Hivyo nuksi ya majini inaweza kuharibu mipango yako mingi kwa mara moja tu ndio maana kuna watu wengi unawafahamu wana biashara nzuri kazi nzuri vipaji vizuri lakini hawapigi hatua yoyote kwenye maisha yao.

Je ukiwa shida hizi unatatua vipi?

PIGO LA MAJINI & WACHAWI
Ni mafuta yalio-andaliwa waganga zaidi ya 7 kuandaa tiba itakayokuwa Opoo la kukinga na wachawi na majini wabaya watembea usiku na mchana.

Mafuta yana mchanganyiko wa mafuta za zaidi ya 17 na opoo la mangube na usembe mkali zaidi ya 21 kwa kufukuza na kukukinga zidi ya mashetani na wachawi.

Faida ya mafuta ya PIGO LA MAJINI NA WACHAWI.
1. Hukinga mwili wako zidi ya majini wachawi na wanga
2.Hufungua matego katika miji na nyumba
3.Huvunja mazindiko katika miji na nyumba
4.Husafisha nyota na kupandisha nyota
5.Huongeza mvuto mwilini.
6.Hufungua rizki
7.Huondoa uchawi wa kulishwa mwili.
8. Hufukuza jin mahaba
9.Huzuia chuma uete kwenye biashara
10.Huongeza mvuto wa mapenzi

: Ni mafuta mazuri kwa wachimba migodi kukukinga na nguvu za kijini na kichawi pale unapo enda kuatafuta mali.

: Pakaa usiku na mchana mwili mzima. Choma chumbani kwako.. Pia jifukize itakusaidia kufungua mwili na kuondoa vifungo vya uchawi mwili na kutapika uchawi k**a ulilishwa.

Mahitaji ya MAFUTA YA PIGO LA MAJINI NA WACHAWi:25000Tsh
MANZESE:DSM

Piga | Whatsapp : 0758 673897

K**a unahitaji tiba:
Uzuri wa huduma zetu ni kila siku na utabiri kuangalia mambo yako, maradhi, vifungo, utajua namna ya kukwepa na kupunguza makali ya madhara yoyote yanayohitaji kukufikia wewe na pia nitakusaidia kujua bahati zako ku*ivuta karibu yako au ku*ikaribia zaidi na mafanikio yako yatakuwa yenye kutabirika hivyo njia hii Ni nzuri sana.

Ukihitaji huduma hii sema tu nahitaji huduma ya nyota nikupe utaratibu wake.

Address

Lugoba

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tabibu Marimo Herb's posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share