24/07/2025
🧵Hizi ndizo feedbacki unazopata ukituchagua sisi…
Wateja wameridhika, wamerudi, wengine wamefungua biashara kwa mzigo kutoka kwetu. 🙌
Tunauza balo za mitumba safi za:
👕 K**e & Kiume
👶 Watoto
👜 Mapochi | 👠 Viatu | 🎒 Mabegi ya shule
Na zaidi ya hapo – tunauza official pair!
Mashati na suruali za kazini – clean, classic, za kisasa.
Hii sio mitumba ya kubahatisha.
Ni mitumba yenye akili na pair za kutengenezwa kwa heshima. 💼✨
Umechoka kubahatisha mitumba?
Try Slay with Loara – tunakupanga k**a boss!
📲 Tuma DM au WhatsApp 0743133421 sasa – tukushauri uanze na nini.