Mpira Mtamu live

Mpira Mtamu live Mpira Live

๐Ÿšจ Kikosi cha Simba Sports Club dhidi ya Pamba Jiji Saa 16:00
14/06/2026

๐Ÿšจ Kikosi cha Simba Sports Club dhidi ya Pamba Jiji Saa 16:00

NBC Premier League Jumapili hiiSaa 10:00 jioni, mechi mbili kupigwa Simba SC watakuwa uwanja wa KMC Complex wakiwakaribi...
14/06/2026

NBC Premier League Jumapili hii

Saa 10:00 jioni, mechi mbili kupigwa

Simba SC watakuwa uwanja wa KMC Complex wakiwakaribisha Pamba Jiji

Mechi hii itaruka mubashara kupitia AzamSports1HD.

Katika dimba la Sokoine, Wenyeji Tanzania Prisons watakuwa wanawaalika Dodoma Jiji

Mechi hii itaruka mubashara kupitia AzamSports3HD.

Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii.

๐Ÿšฉ ๐…๐”๐‹๐‹  ๐“๐ˆ๐Œ๐„ : World Cup ๐ŸŒŽ              QATAR ๐Ÿ‡ถ๐Ÿ‡ฆ  1๏ธโƒฃโž–๏ธ1๏ธโƒฃ SWITZERLAND ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ญ โšฝ๏ธ 90+5" Khoukhi                      โšฝ๏ธ 17" E...
13/06/2026

๐Ÿšฉ ๐…๐”๐‹๐‹ ๐“๐ˆ๐Œ๐„ : World Cup ๐ŸŒŽ

QATAR ๐Ÿ‡ถ๐Ÿ‡ฆ 1๏ธโƒฃโž–๏ธ1๏ธโƒฃ SWITZERLAND ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ญ
โšฝ๏ธ 90+5" Khoukhi โšฝ๏ธ 17" Embolo (p)

๐ŸšจKwa mujibu wa Julio, Wachezaji kutoka Ivory Coast k**a Anicet Oura,Yao Kouass Attohola, Pacome Zouzou,Azizi ki,Jean Cha...
13/06/2026

๐ŸšจKwa mujibu wa Julio, Wachezaji kutoka Ivory Coast k**a Anicet Oura,Yao Kouass Attohola, Pacome Zouzou,Azizi ki,Jean Charles Ahoua na wengine ambao wamekuja kwenye ligi yetu wamechoka,hawana maajabu yoyote

Yani ni wachezaji wa kawaida, mchezaji bora hawezi kuja kucheza mpira Tanzania bali ataenda kucheza soka la kulipwa huko nnje ila sio hapa Tanzania

๐Ÿ—ฃ๏ธ FULL TIME !โŒ› Mashujaa FC ๐ŸŽ-๐Ÿ Young Africansโžจ 1st Half : 0-1 | 2nd Half : 0-1โ›ณ1-7   ๐ŸŸจ2-0   ๐ŸŽฏ3-10 ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
13/06/2026

๐Ÿ—ฃ๏ธ FULL TIME !
โŒ› Mashujaa FC ๐ŸŽ-๐Ÿ Young Africans
โžจ 1st Half : 0-1 | 2nd Half : 0-1
โ›ณ1-7 ๐ŸŸจ2-0 ๐ŸŽฏ3-10
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Mudathiri GOL GOL GOL GOL!!!!!!!!!! Ohhhh bonge la bao Muda anafunga ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿ”ฅ๐Ÿฅถ๐Ÿšฉ Mashujaa 0-1 Yanga SC
13/06/2026

Mudathiri GOL GOL GOL GOL!!!!!!!!!! Ohhhh bonge la bao Muda anafunga ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿ”ฅ๐Ÿฅถ

๐Ÿšฉ Mashujaa 0-1 Yanga SC

"Mke wangu aliamua kuachana na Mimi kwasababu sikuwahi MSALITI Kwa mwanamke mwingine Wala kuwa nae kwenye mgogoro wowote...
13/06/2026

"Mke wangu aliamua kuachana na Mimi kwasababu sikuwahi MSALITI Kwa mwanamke mwingine Wala kuwa nae kwenye mgogoro wowote kwenye mahusiano yetu."

"Alieniambia hawezi kuwa na mwanaume ambae hajachangamka kwenye ndoa."

- Ricardo Kaka (Mchezaji wa zamani wa Real Madrid,AC Milan pamoja na timu ya taifa ya Brazil ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท).

FOLLOW US.

๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ท HEUNG-MIN SON: โ€œSIWEZI KUOA HADI NIWE NIMEMALIZA KUCHEZA SOKAโ€ ๐Ÿ’โšฝHeung-Min Son amesema baba yake anamshauri asioe had...
13/06/2026

๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ท HEUNG-MIN SON: โ€œSIWEZI KUOA HADI NIWE NIMEMALIZA KUCHEZA SOKAโ€ ๐Ÿ’โšฝ

Heung-Min Son amesema baba yake anamshauri asioe hadi atakapostaafu soka, na yeye anakubaliana na ushauri huo.

Son amesema kwamba anapokuwa bado anacheza katika kiwango cha juu, anataka soka liwe jambo la kwanza kabisa maishani mwake.

> โ€œBaba yangu anasema nisiwe na haraka ya kuoa hadi nitakapostaafu, na nakubaliana naye. Unapoingia kwenye ndoa, familia, mke na watoto vinakuwa vya kwanza, halafu soka ndo linafata.
Wakati bado nacheza kiwango cha juu, nataka soka liwe namba moja. Nitakapostaafu nikiwa na miaka 33 au 34, bado nitakuwa na muda mrefu wa kuanzisha familia.โ€

Son anasisitiza kwamba kwa sasa lengo lake kubwa ni kuendelea kuwa bora uwanjani kabla ya kuanza maisha ya kifamilia.

Nina Imani kila mmoja Mungu umpa kwa Muda wake  na kila ombi upokelewa kwa wakati wake hongera sana Madamu Wetu kwa kupa...
13/06/2026

Nina Imani kila mmoja Mungu umpa kwa Muda wake na kila ombi upokelewa kwa wakati wake hongera sana Madamu Wetu kwa kupata Mtoto

Kiboko kabisa ya Mipira ya Kutenga๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿ”ฅ Mipira inayoitwa Migumu jamaa ndio anafungaโ€ฆ! ๐Ÿ™Œ๐Ÿ”ฅUsikute huyu jamaa ni mganga wa ma...
13/06/2026

Kiboko kabisa ya Mipira ya Kutenga๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿ”ฅ Mipira inayoitwa Migumu jamaa ndio anafungaโ€ฆ! ๐Ÿ™Œ๐Ÿ”ฅ

Usikute huyu jamaa ni mganga wa masuala ya naniliu๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ๐Ÿ˜€

DON DINGOO ndiye Kipimo rasmi cha kushindikana๐Ÿ˜‚

Nazareth Upete. โœ๏ธ

Address

157 Busega
Bariadi
39000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mpira Mtamu live posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share