Hope ndo Zetu

Hope ndo Zetu Mwenyenzi Mungu amtupi mtu mwenye dhamira ya kweli,hawezi kata tamaa hawezi shindwaa

Tshirt za MIKAZO Zinapatikana  Pande Zote Za Dinis…Vaa Pendeza Na brand Ya Wabishi Watafutaji Wasiokata Tamaa Bila Kucho...
29/05/2024

Tshirt za MIKAZO Zinapatikana Pande Zote Za Dinis…Vaa Pendeza Na brand Ya Wabishi Watafutaji Wasiokata Tamaa Bila Kuchoka💪

+27671 170924🇿🇦
+255674 721793🇹🇿Oscar Philip

09/07/2020

Karibu sana katika page mpya ya Hope ndo Zetu.Hapa tunapeana ufahamu na kuwa na matumaini ya kushinda changamoto zote za kimaisha

Keko ni full majonzi tumeondokewa na vijana wenzetu wawiliYP&Frank Kabungo,Mungu awape pumziko la milele!!
30/10/2014

Keko ni full majonzi tumeondokewa na vijana wenzetu wawiliYP&Frank Kabungo,Mungu awape pumziko la milele!!

13/08/2014

Wadau mko pouwa..........?

05/08/2014

Watu wa keko tupo njian kumsindikiza ndugu yetu Kizunga........kwenye nyumba yke ya milele kibaha mkoa wa pwani!!

gonna miss u forever Kizunga!!

04/08/2014

Usiku mwema wadau"!!!

04/08/2014

Keko ngumi kipaji..............kama unabisha mguse mtoto wa keko uone balaa!

together as one!!

03/08/2014

Mambo niaje........?

02/08/2014

R.I.P.........M.g maganga...Rich Mavoko.......Chuchu Machicha....Kaki muzungu hakika mtaishi katika mioyo yetu wana Fid force na keko kiujumla!!!!

yetu.......nyuma yao!!!

Huyo alikuwa ni mbuzi alieliwa ndani ya fid force idd mos........Mungu akitupa uhai december it's gonna happen lyk this!
02/08/2014

Huyo alikuwa ni mbuzi alieliwa ndani ya fid force idd mos........Mungu akitupa uhai december it's gonna happen lyk this!

Address

Rutherford Road
Durban

Telephone

+27635312943

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hope ndo Zetu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Hope ndo Zetu:

Share