Maya's collection

Maya's collection Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Maya's collection, Women's clothes shop, Www. Maya. Co. ke, Eldoret.

03/09/2020
09/06/2020

MARIA WRITTEN UPDATES.
Wednesday on Maria.
.
Silas atakuta Maggy amuulize story kuhusu Jayden. Maggy atashtuka aanze kujifanya anaumwa. Wataingia kwa nyumba Maggy aulize Jayden amedu..? Silas atamwambia alikua anataka tu kujua ye na Jayden walijuana aje... Maggy atadai Jayden alikua HR na yeye alikua ameenda kwake kuomba Job then Jayden akatry ku-take advantage. Maggy atamwambia hasikue amekam hapo kudai ball ni ya Jayden, Silas atamwambia si hivyo hata...Ni vile kuna story inaendelea kwa kina Hausa. Jayden alifanya ngori fulani na inahusika na fall down ya kampuni ya kina Hausa so vile aliwaona kwa club na Jayden akaamua kuconnect hizo ma-thoughts ajue rada za Jayden. Maggy atamwambia Jayden ni conman na hakuna mtu anaweza mushika... Silas ataambia Maggy amkol basi k**a ako na number zake. Maggy atadai Jayden ni dangerous sana Silas amuulize k**a ni hivyo mbona yeye hujaribu kumkol? Maggy atakosa jibu aanze kujifanya anaumwa.
William atapata habari kuwa afande amefungwa 15 years after kushindwa kujitetea. Luwi atakuja na same news pia. Luwi atafurahi sasa ako free. William atapelekea Vicky news ampate analia. Atamuuliza k**a ako sawa. Ataendelea amwambie afande amepata kifungo cha miaka kumi na mitano na sasa huyo Detective hatawai harass familia yake.
Sofia atakua anadai kumek call Luwi aingie. Sofia atajifanya amelala. Luwi atasema tatizo la kwanza tayari limekwisha....afande tayari amefungwa sasa focus ni kwake Sofia tu...apone haraka ndo wapate hiyo divorce ndo apate kuwa na mpenzi wa maisha yake....MARIA. atatoka Sofia aamuke aseme "YOU WISH"....
Part 2.
Maria atakua akilia then arudishe shukran kwa mwenyezi Mungu.
Silas atakua ana massage Maggy then Maggy amwambie aende aangalie uji. Silas akienda kuangalia uji Maggy atamuita amfanye massage Tena. Maggy atauliza uji utaiva saa ngapi coz anafeel njaa... Silas ataenda kushughulikia uji then Rufina aingie. Maggy atamkaribisha amwambie hata kijana yake Silas anampikia uji. Rufina atakua ameleta matunda. Silas atakuja hapo Maggy amtume apeleke matunda kitchen coz ye hawezi simama. Rufina atawaambia afande ameshikwa...atasema Maria na hao majambazi wake ndo wanafaa kua ndani. Maggy atasema ni heri hivyo Silas hajashikwa sasa mtoto wake atakua na baba.
William atapata simu kutoka kwa Maria, Maria atamwambia ako glad kila kitu kiko nje peupe. Na pia anamshukuru Mungu. Yake ni kumshow tu yeye hajawahi kua involved na kesi ya Trevor. After the call kumbe Gloria alikua anasikiza. Atakuja aulize William k**a huyo ni auntie Maria...atadai William amkol wabonge na yeye. William atamkol Maria then apatie Gloria wabonge. Gloria atamuuliza atarudi when..atauliza William Maria atarudi lini? Maria atamwambia hasijali coz kuna vitu anameshikilia kidogo home... Gloria atamwambia k**a ni hivyo ye ataenda place ya Maria. Atauliza William k**a atampeleka William ampe smile 😊. Gloria ataambia Maria Guka amekubali... William atamwambia "weeeeeeeh". πŸ˜‚ Gloria atauliza tena William k**a atampeleka siku ya kesho...atazidi hivyo hadi achapie Maria vile alipata William akilia kwa shower na nguo. William atamuitisha simu... Gloria atamuuliza k**a atampeleka kwa Maria William amwambie watajua hiyo. Maria atabaki akijiuliza "ati mzae analia??" Upande mwingine William atacheka alisema tu "watoto πŸ˜‚πŸ˜‚ wash"
The following day Maria atakua anaomba Mungu amlinde William despite vitu zote amemfanyia, aliumia time William alimfukuza but anajua ni wakati mgumu William anapitia. William amemtoa mbali na huyo tu ndo msee yeye anatambua. Anaomba Mungu azidi kumpa hiyo heart ya kumpenda William...
William upande mwingine atakua anafanya mazoezi alafu atasimama aanze kupiga nduru kwa machungu...izo ngori ako ndani zinamkula tu chini kwa chini.
Kanini ataita Sofia amuulize k**a anaoga, Sofia atasema huyu mama hata hampi Time ya kupumua....ataanza drama zake tena Kanini aende kumtoa kwa bafu amtulize.......To be continued....
Share after reading.
Alafu leo mtu aninunulie switi ya kamuti πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

04/06/2020

MARIA WRITTEN UPDATES.
Friday on Mari
.
Luwi na Victor watakua wanafanya hesabu zao waone Kanini akizunguka kwa nyumba kumtafuta Sofia. Kanini ataenda hadi kitchen... Lorna kumwona atajificha nyuma ya Ben.
Sofia naye atakua anatoka kwa room ya William akidhani hakuna anaye mcheki...lakini Gloria atakua amejionea kila kitu.
Meja atapata kina William kwa compound awaulize "You guys are here??" Vicky atasema ndio, atamuuliza mbona Meja aseme ni part ya duty yake tu. William atamwambia shukran kwa kujali kwake. Vicky atauliza William k**a hivyo ndo wataishi William aseme it's for her own good...ni security kwake...
Mwambe atakua anatulia kwa kanyumba kake ka watchman then aone Kanini akikuja...ataanza kuropokwa akiambia Kanini ye hajasema kitu chochote, Kanini atamwambia afunge mdomo coz hata si hiyo imemleta hapo... atamuuliza k**a ameona Sofia hapo Mwambe aseme hajaona mtu yeyote hapo kwa gate. Kanini ataenda Mwambe abaki akisema things have become very complicated now...he has to think.
Thomas atauliza watanyikazi wenzake vile wamepangwa hivyo line, Kwani nini inaendelea. Koros atamwambia itakuaje wamepanda gari wote pamoja then wapate ajali huko mbele aanze kuwauliza hii ajali imetokea aje. Lorna atasema waachane na huyo gardener. Ataanza kuwapea udaku ati ghost za Kanini zimekula Sofia. Ben atawaambia waache utoto.... Thomas atamwambia a-maintain.... atauliza Lorna ati ghost za Kanini zimeduu??? Ben atawauliza wana-behave aje ni as if wajaishi na Lorna. Meja atakuja wapange laini wote haraka. William atawaambia anadhani amekua boss mzuri kwao na amewafanyia kila kitu. Kuwapea food, place ya kuishi na hata wengine analipia watoto wao Karo. But k**a iko mtu ako na hisia mbadala ajitokeze mbele aelezee mawazo yao. Hakuna mtu atajitokeza William aseme nobody will be punished because of their stand. Anataka waongee leo so if anyone has problem with him achukue hatua mbele.
Kanini atarudi spare Sofia kwa room. Atamuuliza alikua wapi Sofia aitishe maji.
William atasema juu hakuna mwenye amejitokeza basi wamwache aendelee... atasema ikiwa hayuko ama akue, there is a special person who has full authority and control in that house, huyo mtu ni Madam Vicky na ako na haki ya kuandika kazi,kufuta, kushusha na pia kupromote mfanyikazi yeyote kwa kupenda kwake. Tayari wachache wameanguka side mbaya ya madam Vicky. Ben ataambiwa hasipo chunga mwenendo wake atakatwa na frame akitoka hiyo gate. Ben atapromise kutorudia kosa lake. Dogo pia atapewa into aombe musamaha. William atamwambia arudi nyuma then aseme hawatasahau na they will not take that likely. Atawaambia amewasamehe lakini wajue kuwa William anawajua zaidi ya vile wanajijua. Vanessa atakuja aulize sasa kila mtu aliye omba musamaha amesamehewa. Vipi kuhusu Maria????
Part 2.
Kanini atauliza Sofia alikua wapi akimtafuta, hajui vile Kanini amejiuliza maswali mob.. Kanini atamwambia watoke akapunge hewa. Atamtoa nje amuulize anaonaje vile kuna hewa Safi. Sofia ataanza drama hadi aitishe glass ya champagne πŸ˜‚. Ataanza kuita manager Kanini amtulize.
Koros ataambia Thomas vile Vicky ako na cheo sahi wanaweza rudishiwa vyeo vyao, juu kupambana na izo vitu joh. Thomas atamwambia hata hasiongelee story kupambana, ye hulima daily hapo, hata Koros akimwangalia anakaa kulima kweli...? Koros atamwambia hiyo inamfaa hata, na yeye kuosha magari na kushinda kwa gate k**a kifuliπŸ˜‚. Thomas atamwambia kitu anajua k**a ni kupewa promotion Maybe ikue yeye lakini si Koros. Akiwa manager alifanya vitu mob Vicky akampenda..na day atarudishwa manager atawanyorosha πŸ˜‚. Koros atamwambia anajua kitu inamuasha ni kuona Makofia akitembea tembea huko anaifeel...ye atabaki tu kua pharaoh bila crown πŸ˜‚.
Silas atakua amejam Rufina amuulize nini mbaya aseme ni Maggie anamfanyisha vitu zingine haziwezi...mautoi zingine... Mara amfanye massage kwa mguu, amlambe magoti..anuse makwapa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Rufina atamcheka amwambie sahi Maggie anamuhitaji sana...anafaa akae karibu na Maggie hasimtoroke. Maria atatoka kuanika nguo Rufina amwangalie vibaya.
Mela ataambia Brenda siku hizi wamekaa bila kufanya ile business yao ya kutoanisha wazee pesa, siku hizi Brenda ako na different face kwa wazee... Brenda atamshika amwambie hasiwahi muuliza swali kuhusiana na hiyo... atamwambia ampe updates kuhusu Victor, Mela atasema victor hashiki calls zake wala kureply text zake. Brenda atamwambia vile time inakimbia waachane na Victor, anadai kumtumia Thomas. Atakol Thomas amwambie kuna dame anadai kubonga na yeye. Mela atapewa phone wabonge na Thomas, ataambia Thomas amesikia mengi kumuhusu kutoka kwa Brenda, atasema anataka kumualika coffee Thomas aseme shida ni schedule ni tight na walihamia nyumba mpya but anaweza tafuta time then watakua pamoja. After the call Thomas atajichocha aambie Koros life is good......to be continued....
Share after reading πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™

29/05/2020

MARIA WRITTEN UPDATES.
Today on Maria.
Daktari atakuja awaambie Sofia ako poa tu ni environment nzuri anaitaji. Victor atamuuliza na ni how long anafikiria itamchukua Sofia kupona daktari aseme ni soon. Luwi atasema anaona tu Daktari akisema Sofia anaendelea poa, kila kitu kiko sawa but kwake ye anaona she's the same person, nothing has changed so far. Daktari atasema anajua hiyo but condition ya Sofia process ni gradual... at least sahi anatembea na pia anarespond kwa watu na pia hadhani k**a Sofia ame-attack mtu yeyote. Atauliza k**a kuna yeyote amekua attacked William aseme hakuna. William atamuuliza daktari k**a kuna jambi lingine zaidi daktari aseme hakuna, kitu wanafaa kufanya ni kumweka Sofia karibu na wampee good environment to recover. William atamshukuru kwa kazi nzuri then Luwi amtoe nje.
Wakiwa nje Luwi ataambia daktari akue more specific on Sofia's progress, daktari atamwambia k**a alivyosema hapo awali... Sofia atakuwa sawa. Luwi atamuuliza place Sofia amekua after alikua discharged kutoka hospitali daktari amuulize kwani hajui na yeye ndiye mume wa Sofia...? Daktari atauliza hii ni familia aina gani...ye ni daktari tu na William ndo anaweza clarify hiyo story tu. Daktari atasema kuna emergency anafaa kuenda. William atakuja aambie Luwi hasijali wife yake atarudi to on her feet. William atampeleka daktari hadi kwa gari then ampe kwaheri.
Daktari akiwa ndani ya gari Sofia atamkol amwambie amefanya kazi nzuri. After the call daktari atawasha gari adai kutoka Meja aingie kwa hiyo dinga, after madakika then atoke na daktari aishie.
William na Luwi watarudi ndani Vicky aulize k**a daktari amesema chochote Luwi aseme zii, but at least sahi wako na mtu wa kuangalia Sofia. Victor atasema anahope sasa watapata majibu ya maswali wamekua wakijiuliza. William ataambia luwi sasa daktari amekua hapo kumwangalia Sofia na anaamini hakutakuwepo na shauku lolote coz he's doing his best ku make sure Sofia amepona. Luwi atamwambia anahope kuwa daktari atakua anakuja daily kumwangalia Sofia William aseme anafanya yake yote ku-make sure Sofia amepona.
Sofia atapigia Trevor amchapie vile ameingisha daktari box kwa kumtishia. Ataambia Trevor akiendelea hivyo watapata lengo lao.
Kanini ataambia William anatumai kila kitu kiko sawa na anahope William ako in control of everything. William atamwambia of course he is Kanini amwambie good, kwa sababu if he is not then Kanini ana-hope William ako ready. (READY TO WHAT....? TIME WILL TELL).
Vanessa ataenda aambie Luwi anadhani kuna kitu mbaya na daktari, either ni quack doctor ama kitu kilifanyika mle ndani. Luwi atamuuliza mbona anafikiria hivyo Vanessa amuulize since when amesikia daktari aka explain a condition to be progressing or to be better soon...? Luwi atamwambia hasijali, atachunguza hiyo story.
Gate Man atashtuka juu hali haitakuwa sawa. Ataanza kutafuta huku na kule then Kanini atokee nyuma ya ako kanyumba kake.
Meja ataenda place Gloria anacheza amwambie hasiogope ye anapenda watoto sana. Atamwomba wakue marafiki Gloria akubalu.... Lorna atakua amesimama nyuma yao akiwaona. After Meja ameenda Lorna ataita Gloria.
Vicky atakua anadai kuserve Vanessa food Vanessa aseme hakuna haja, atajiserve tu ju wanamfanya akae mtoto. Victor atamuuliza really Vicky aseme yah, Vanessa ndo msichana wake wa kipekee, atawauliza mbona wanampea hard time wakati anataka kuserve Vanessa Victor amuulize vipi kuhusu yeye. Vicky atamwambia wanaume hubeba misalaba yao. Victor atasema juu ya hiyo story anaenda kuserve mamake. After Vicky atapakulia pia Vanessa then ajipakulie. Wataanza kula then William akuje. Luwi ataingia at the same time.
Lorna atauliza Gloria walikua wanaongea nini na Meja Gloria aseme Meja alikua anamwambia wakue ma friends. Lorna atamwambia hasiwe anatrust watu wote, ye ndo atamchagulia wa kutrust. Ben atakua anachungulia. Lorna ataambia Gloria wa kutrust ni yeye pekee. Meja atakuja hapo Lorna aseme ni yeye walikua wanaongea. Alikua anaambia Gloria vile Meja ni mpoa. Ataambia Gloria asmile kwa anko Meja. Meja atamwambia arudi kazi.
Luwi atasema huwa wanasema family comes first and family is everything so Ali request father Ezekiel akuje for the sake of Sofia na pia ku bless nyumba yao mpya. Atawaambia kando na Sofia kuenda hospitali na kupitia matibabu mob pia anahitaji maombi. Atamkaribisha Father Ezekiel then father aseme before akae angependa kumshukuru Luwi kwa ukarimu wake, alimualika ili wapate neno la kiroho.
Father ataambia William na Vicky wako na nyumba nzuri. Vanessa atamkaribisha then father aseme food ni Tamu. Atauliza k**a Vanessa ndo amepika Luwi acheke aseme hata Vanessa hawezi chemsha maji.
Vanessa atauliza father aiitaka kuwa nun..anaweza mpea advise gani.....?....to be continued....
Share

Address

Www. Maya. Co. Ke
Eldoret

Opening Hours

Monday 09:00 - 18:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+254701217804

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maya's collection posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share