22/03/2025
wanaume Soma hizi traffic rules. 😁 Zitakuokolea maisha siku Moja🤗
1)ukiwa Kwa jam Hakikisha umelock mlango 😁 sana sana k**a gari ni ya kuomba, unaeza patana na mwenye gari aingie ndani😢ama hata mwizi.
2)k**a gari ni ya kuiba, usipite nayo area ya kwenyu🙆utashikwa nanii
3)k**a gari ni mpya, eka gear pole pole usije ukaharibu gearbox😌
4)k**a kuna traffic light ya red 🚨 usiingie hiyo barabara..utapata accident 😊
5) usiendeshe gari usiku,😌 afadhali mchana ndo uone mahali unapita😊
6) usiendeshe gari kukiwa kunanyesha😁 ni hatari. Achana nayo, 😂 ichukue siku climate Iko best,🤣
7) gari ikipandisha gauge, I park kando kiasi ipumue. Juu inaeza knock engine.☝️😜
8) gari si kuzungusha stearing pekee na kueka GIA😁gari ni kuichambua kila pahali😊
9) usiendeshe gari k**a hakuna Ngoma😜eka mix ya Dj moja ujibambe.
10) ukitaka gari ikimbie sana sana Kwa mteremko, kanyaga clutch ndani🤣
11) ukiona gari haitoi sauti Kwa mlima, Anza kutoa sauti hata wewe🤣
12) Kwa highway, zoea kupita kando kando...katikati ni ya gari kubwa☝️😁
13) ukisimamishwa na karao, usisimame, fikisha mzigo kwanza😂
14) ukimaliza Hakikisha umedunga hiyo gari mia Tano ya mafuta..isiende kuzimia mbele.
15) ........ongeza yako Moja tuiskie🤣
Na k**a unadani naongelea gari uko na kasoro my dear🤣🤣🤣
Follow Ngamia KinaraNgamia Kinara