Mwanamke Kiburi

Mwanamke Kiburi Join the online order from Tanzania at wholesale price.. Also have retail prices

01/04/2026

Kuwa makini kwenye haya maisha, huenda unachokitafuta kipo kwa unayemdharau.

02/03/2026
25/02/2026

MWANANCHI WA UGANDA AMEHUKUMIWA KIFO KULE NCHNI SYRIA.

Serikali ya Uganda kupitia waziri wa nchi Mhe. Henry Okelo Oryem na ubalozi wa Syria nchini Uganda wanashirikiana katika mazungumzo ya kujaribu kumnusuru raia mmoja wa Uganda dada Vicky Ajok anaetokea jimbo la Lira, West Nile region, Uganda aliekua mfanyi kazi wa nyumbani kule bara arabuni.

Mfanyakazi huyo Vicky Ajok, amehukumiwa kunyongwa kwa kuhusika na kifo cha mwajiri wake.

Atanyongwa tarehe 28 Februari nchini Syria baada ya kukiri kumuua mwajiri wake, mwigizaji mwenye umri wa miaka 87, Huda Shaarawi.

Tukio hilo lilitokea tarehe 29 Januari 2026, ambapo Ajok anadaiwa kumshambulia Shaarawi kwa kutumia chombo butu, jambo lililosababisha kifo chake.

Inadaiwa alitoroka eneo la tukio lakini baadaye alikamatwa na mamlaka.

Katika maelezo yake ya kukiri kosa, Ajok amelalamikia unyanyaswaji wa muda mrefu kwa kupewa lundiko la kazi bila kupata mda wa kupumzika, kutolipwa mshahara wake na kunyimwa chakula ( kulishwa makombo ) ゚viralシfypシ゚viralシalシ

22/02/2026
10/02/2026

Watch, follow, and discover more trending content.

Address

Ukunda Town, Lunga Lunga Road
Kwale

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwanamke Kiburi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mwanamke Kiburi:

Share