Tuma Fashions

Tuma Fashions Tuma fashions ni wauzaji wa nguo viatu handbags kwa bei poa located at KISAUNI MWANDON COAST.
(2)

Full ksh1800Location Kisauni 071883221
16/08/2023

Full ksh1800
Location Kisauni
071883221

Men hii ni yenu Aki mnawezaje kuvaa trouser bila short ndani Mwanaume jipende bana usivae boxer zilizo chakaa nunua bukt...
10/08/2023

Men hii ni yenu Aki mnawezaje kuvaa trouser bila short ndani
Mwanaume jipende bana usivae boxer zilizo chakaa nunua bukta zako 10 ivi zatoka

Only

Size M/S/L/XL/XXL/###L
Location Kisauni Mwandon delivery Countrywid💯

wa.me/254718832216

Original jean utavaa paka mjukuu wako atavaa Location at Kisauni Mwandonwa.me/254718832216
21/07/2023

Original jean utavaa paka mjukuu wako atavaa

Location at Kisauni Mwandon

wa.me/254718832216

Church dreeees💃💃kila mahali panafaa kupewa haki yake  hizi ngio Nguo zinafaa kuvaliwa mtu akiwa anaenda kanisani 1500Del...
20/07/2023

Church dreeees💃💃kila mahali panafaa kupewa haki yake hizi ngio Nguo zinafaa kuvaliwa mtu akiwa anaenda kanisani

1500
Delivery countrywide

Hizi dress ni fashion nzuri sana masha Allah kwa wanaopenda staraNi quality nzuri sana unaweza endea mahali popote bila ...
19/07/2023

Hizi dress ni fashion nzuri sana masha Allah kwa wanaopenda stara

Ni quality nzuri sana unaweza endea mahali popote bila wasi wasi

Material Turkey💯✅️
Size L,XL,XXL


Wsp link 👇👇
https://chat.whatsapp.com/FGZsIfcMtg11g6GD3I5Xh3

Hii nguo sio ya kukosa 😍Pcs 3 dress zuri sana lina koti lake linalo ongeza nakshi nakufanya nguo izidi kuvutiaInamtandio...
18/07/2023

Hii nguo sio ya kukosa 😍
Pcs 3 dress zuri sana lina koti lake linalo ongeza nakshi nakufanya nguo izidi kuvutia
Inamtandio

Material yake chiffon
Wale wakupenda stara maharusini hii imeweza

Size L/XL/XXL/3XL


Location Kisauni Mwandon
Join my wsp group 👇
https://chat.whatsapp.com/FGZsIfcMtg11g6GD3I5Xh3

15/07/2023

Bollywood dramas will leave you in shock🤣🤣

New arrival Mali safi sana @ kh500Location Kisauni mwandoni
11/07/2023

New arrival

Mali safi sana
@ kh500
Location Kisauni mwandoni

Dera batiki (guberi) kubwaDera batiki (guberi) ndogoNi nzuri sana za kuvutia unaweza kutokea mahali popote
10/07/2023

Dera batiki (guberi) kubwa
Dera batiki (guberi) ndogo
Ni nzuri sana za kuvutia unaweza kutokea mahali popote

Kazi na kuji pongeza
09/07/2023

Kazi na kuji pongeza

Address

Mombasa

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tuma Fashions posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share