Kaku de Queen

Kaku de Queen Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kaku de Queen, Women's clothes shop, Simarmar, Nairobi.

😭😭😭😭😭😭😭Mimba hurukwa😭😭 lakini mazee haikuwangi fiti saa zingine😞 boi unaenda unapata mrembo, unamkatia, anaingia box yak...
09/01/2026

😭😭😭😭😭😭😭Mimba hurukwa😭😭 lakini mazee haikuwangi fiti saa zingine😞 boi unaenda unapata mrembo, unamkatia, anaingia box yako, unaitisha kafriendly match😒 dem ni roho safi anakubali😢anakuja unachezesha mechi Hadi unaanza kuskia wageni wakikuja😒wewe at the back of your mind unajua hutaki mtoi, 😒 unakaaaza! Unashindwa kuvumilia unaachilia wageni Kwa shamba la ngano🤣🤣 (sijui nacheka Nini)😒 wageni wanaingia mle wanafanya mambo Yao kunatokea miujiza😢 and she gets pregnant..Dem yawa alikupenda na roho yake yote but wewe hukuwa serious, ulikuwa tu unataka kutandika hiyo kitu, unoe machine, uchange oil, umalizane na kutu.😒 Dem alikuwa hata anakupost kila siku status na profile 😢 juu ya mapenzi aki😒

Haikuwangi poa..🙆😢 ukiachanisha huyo dem hivo mazee haikuwangi fiti😢 ebu jiulizeee?? Wewe unaeza taka sistako afanyiwe kitu ka hiyo? 🤔😏Unaeza taka mtoto wako afanyiwe hivo?🤔🙆 Sema hapana📤 bro penda dem unataka, na unaeza taka isonge Hadi marriage..❤️🙌 usiende kuchezea mtu, 😞 we have a lot of broken hearts out here mazee, and it's not good😏 k**a ni kunoa Kisu unataka kunoa, sema akikubali sawa, akikataaa katafte mwingine, ila usimdanganye msichana WA wenyewe unampenda na Kwa kweli wewe unajua clearly chenye unataka😏🤨Ladies alooooooh!😁👍

Lakini pia sisi ladies🤣🤣 tunakuanga na ujinga ingine sijui ni ya kuzaliwa ama ni ya ukenya🤣🙆 mtu k**a mwanaume anakuja, anajitetea then anakwambia nataka kuingia karìma mūtiume, 🤣👍 yeye anakuja, anaingia k**a expert Hadi anacatch feelings 🤣🤣 unaanza tumapenzi🙆in that situation ...ukipata Ile kitu jilaumu🤣🤔

Tena ukiombwa vizuri peana jooh na umake sure huyo jamaa amecondomise. Sasa unaringia kwani utapeleka mbinguni ama utazikwa ndani 🤣🤣😋😋 aàaaai wacha niende kudoz morning narudi kumalizia story 💪🥰 have a good night and be blessed alot my guys nawapenda sana ❤️🙏

Sometimes I wonder if anyone is glad to have me in their life🤔🤔Latvian Beauty
07/01/2026

Sometimes I wonder if anyone is glad to have me in their life🤔🤔
Latvian Beauty

Ukiona nakubamba sana itisha friendly match usiogope😏🙌😅 ...❓
12/04/2025

Ukiona nakubamba sana itisha friendly match usiogope😏🙌😅 ...❓

Address

Simarmar
Nairobi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kaku de Queen posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share