Hitaji Toilaring & Sales Clothes Services

Hitaji Toilaring & Sales Clothes Services Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Hitaji Toilaring & Sales Clothes Services, Baby & children's clothing store, Rashidi S Mpangile, Dar es Salaam.

AFYA BORA NI MTAJI:-HEFOTA INSTITUTION Tunatoa huduma Elimu kwa HEFOTA OPEN SCHOOL Mbagala Kilungule Kwa Mangi apa CCM z...
20/04/2025

AFYA BORA NI MTAJI:-
HEFOTA INSTITUTION Tunatoa huduma Elimu kwa HEFOTA OPEN SCHOOL Mbagala Kilungule Kwa Mangi apa CCM zinapogeuzia bajaji za mjini DAR ES SALAAM

Taasisi inatoa huduma za Afya.
Eidha wewe, Familia Yako, Ndugu, Jamaa au Rafiki anashida ya
(VIDONDA VYA TUMBO KISUKARI, NGUVU ZA KIUME, FIGO, MOYO, UTI, SICKLE CELL, UGUMBA, MACHO, PRESSURE na mengine . . . !

Fika ofisini tutakushauri Bure na Kukuelekeza Taasisi tuliyoingia nayo mkataba kukutana na Daktari na kupima ni TSH.30,000/= Tunatibu Kwa Tiba Lishe utafiti unaonesha wengi wameokoa Masha kupitia Tiba Lishe

CONTACT US 0764818477

12/12/2024

MAELEKEZO KWA VIKUNDI KUSAJILIWA KISHERIA NA UJASIRIAMALI ILI KUONGEZA KIPATO KWA VIKUNDI

HONGERA MIPIKO KIKUBWA ONGEZA UMAKINI ILI KIUCHUMI USISHUKE CHINI
12/12/2024

HONGERA MIPIKO KIKUBWA ONGEZA UMAKINI ILI KIUCHUMI USISHUKE CHINI

24/06/2024
MWL RASHIDI S. MPANGILECEOHEFOTA INSTITUTIONCivil Institute of Education Services with Computer and Project Plan.Kupitia...
27/01/2024

MWL RASHIDI S. MPANGILE
CEO
HEFOTA INSTITUTION
Civil Institute of Education Services with Computer and Project Plan.
Kupitia page ya HEFOTA INSTITUTION hapa Facebook tumekuandalia kuleta SoMo la " UJUE MFUMO WA VICOBA"

Utajifunza kuanzisha na kujiwekea Akiba Ili mwisho wa mwaka kikundi nawe ukiwa MWANACHAMA uvune hisa Zaidi ya TSH.1,000,000/= pesa ambazo uliziweka kidogo kidogo na Sasa unapewa zikiwa pamoja.

Inawezekana endele kutufuatilia HEFOTA
Kwani kule TikTok tunaendeleza kufundisha kuhusiana na Serikali ya Mtaa ikiwa mwisho I mwa mwaka huu nchi nzima tutakuwa na mchakato wa Uchaguzi Serikali ya Mtaa Yaa Mhe. Mwenyekiti na Wajumbe

Kule HEFOTA TV ya YouTube channel tunaendeleza kufundisha namna kusajili jina la biashara kupitia kitabu VIKUNDI KUSAJILIWA KISHERIA kitabu kitakacho zinduliwa rasmi tarehe 16.06.2024 katika TAMASHA LA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA NA UZINDUZI WA KITABU CHA VIKUNDI KUSAJILIWA KISHERIA.

Pia ukurasa wa Facebook wa HEFOTA OPEN SCHOOL tunafundisha English Course

HEFOTA
"We Promote your Future through Education"

HITAJI TOILARING &SALES CLOTHES SERVICE SHii ni idaara ya HEFOTA INSTITUTION inayohusika na MAVAZI
09/11/2023

HITAJI TOILARING &SALES CLOTHES SERVICE S
Hii ni idaara ya HEFOTA INSTITUTION inayohusika na MAVAZI

DARASA NI DAWATIKampeni hii itaanza rasmi tarehe 01.11.2023 na inategemewa kukamilika tarehe ya mwisho wa kampeni awamu ...
01/11/2023

DARASA NI DAWATI
Kampeni hii itaanza rasmi tarehe 01.11.2023 na inategemewa kukamilika tarehe ya mwisho wa kampeni awamu ya kwanza ni tarehe 01.12.2024.

DARASA NI DAWATI itakuwezesha kupata madawati mashuleni hali inayopelekea wanafunzi kusoma darasani Mwalimu anafundisha wakiwa wamekaa kwenye DAWATI badala ya kukaachini k**a ilivyo Sasa.

Mikoa tunayoanza nayo ni Kanda Mashariki ifuatayo:-
01. COAST REGION
02. DAR ES SALAAM na
03. MOROGORO

Jina langu Teacher Rashidi S. Mpangile wa Mbagala Kilungule kwa Mangi Jengo la CCM ambae ni CHIEF EXECUTIVE OFFICER wa HEFOTA INSTITUTION
Asasi ya kiraia ya huduma za Elimu Kwa Kompyuta na Kubuni Miradi. Tumesajiliwa Brella na kupata usajili Kwa namba ya 471670 tukiwa tunaendelea kukmilisha usajili kulingana na Sheria Kanuni na Taratibu za usajili wa ASASI ZA KIRAIA nchini Tanzania.

Kwa Sasa kuanzia Leo 01.11.2023 tunaendesha kampeni ya DARASA NI DAWATI.

Kwa mfano Kwa Mkoa Pwani COAST REGION hususan Wilaya ya Mkuranga yenye Kata 25 upungufu wa Madawati Shuleni ni mkubwa

Hali kadhalika Kwa Mkoa wa Dar es Salaam hususan Wilaya ya Temeke Jimbo la Mbagala Kata Kilungule Kuna Shule 3 amazo Binafsi huwa nazitembelea mara kwa mara kwani hata watoto wangu wanasoma NZASA, CHARAMBE na KICHEMCHEM

Kwa Mkoa wa MOROGORO hususan Wilaya ya Kilosa Tarafa ya Lumuma Madawati ni Changamoto kubwa inayopelekea wanafunzi kupata matokeo mabaya baada mtihani wa mwisho almaalufu mtihani wa Taifa La Saba au kidato Cha nne.

Changia DAWATI wazungu husema nanukuu "Without data no right to speek" mwisho wa kunukuu.

Ukosefu wa madawati mashuleni hali hiyo ndio inayopelekea wapima kuiweka Tanzania katika nchi masikini zaidi.

Tukatae watanzania kuitwa masikini zaidi Kwa kuungana nasi HEFOTA katika kuisaidia Serikali katika kupunguza uhaba wa madawati mashuleni.

Sehemu zote nilizokutajia Mimi Teacher Rashidi S. Mpangile nilipotea mwenyewe katika shughuli mbalimbali za uzalishaji Mali nikiwa raia wa kawaida kabisa.

Leo tarehe 01.11.2023 wewe mtanzania uliye hapa nchini ambae kipato chako hua unaziada ya kutosha tafadhali changia

Wewe mtanzania uliye nche ya nchi DAYASPORA tafadhali changia DAWATI Ili ripot ijayo Tanzania tusitangazwe masikini zaidi hapa AFRIKA Mashariki.

Mtanzania nikunong'oneze kiti hivi unajua ukiwa na Tsh.10,000/= ya Kenya ukija nayo Tanzania ukienda nayo benki kuchenji unapawa Tsh.100,000/= na zaidi

Sasa hatuwezi kufika k**a hata watoto wetu mashuleni wanakaa chini hstuzalishi tukauza nje ya nchi pesa yetu inazidi kushuka thamani na Hali Inazidi kuwa ngumu.

MAWASILIANO
SIMU na Whatsapp 0784-390819

HEFOTA INSTITUTION
Asasi yangu inashughulikia Elimu katika nyanja zote.
Kampeni hii itahusisha kutengeneza na kugawa madawati mashuleni wanakaa chini.

CHANGIA DAWATI KWA LIPA KWA SIMU NAMBA 471670
JINA NI HEFOTA INSTITUTION.

HEFOTA INSTITUTION
"We promote your Future through Education"

Address

Rashidi S Mpangile
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hitaji Toilaring & Sales Clothes Services posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share