Salum mkono

Salum mkono Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Salum mkono, Lingerie & Underwear Store, Dar es Salaam.

18/06/2026
πŸ“Έ THROWBACKKuna wakati tulikuwa tukipanga, tukijenga maono na kuweka mikakati ya namna ya kuwafikia wanawake wengi zaidi...
16/06/2026

πŸ“Έ THROWBACK

Kuna wakati tulikuwa tukipanga, tukijenga maono na kuweka mikakati ya namna ya kuwafikia wanawake wengi zaidi na kuwapa huduma bora.

Safari bado inaendelea… na kila hatua tuliyopiga imetufikisha hapa tulipo leo. 🀍

Asante kwa kila anayetuamini na kutusapoti.

✨ Mambo mazuri bado yanakuja

16/06/2026

🩲 CHUPI ZA KIUME ZENYE UBORA WA KIPEKEE! πŸ”₯

Unatafuta chupi zinazokaa vizuri, zenye ubora wa hali ya juu na zinazodumu? Tumekuwekea ofa tamu!

βœ… 1 pc = Tsh 15,000
πŸ”₯ 3 pcs = Tsh 36,000 tu

Ukichukua tatu unaokoa zaidi!

πŸ“ Karibu SK House of Underwear – Kariakoo
πŸ“ž 0717 797 024

Harakisha kuchukua size na rangi unayoipenda kabla stock haijaisha! πŸ›οΈ

DarEsSalaam

13/06/2026

πŸššπŸ“¦ HATUKO KARIBU NAWE TU DUKANI, TUNAKUFIKIA POPOTE ULIPO! 🀍

Ukiwa Dar es Salaam au mkoa mwingine, agiza bidhaa zako na sisi tutazikufikishia kwa usalama na haraka. πŸ›οΈβœ¨

βœ… Rahisi kuagiza
βœ… Delivery ya uhakika
βœ… Bidhaa bora kwa bei nzuri

πŸ“² Tuma oda yako sasa hivi, tukuhudumie!

Delivery hufanyika kwa gharama ya mteja. 🀍

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Salum mkono posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share