05/03/2023
Hongera sana kaka Lema Mungu kakupa uwezo Hadi umeweza kuwa na biashara kubwa Nchini Canada na nimesikia unampango wa kufungua ofisi Dubai hongera sana nakuwaza kufungua ofisi hapa Tanzania jiji la Arusha je hivi umewahi kujiuliza mama zetu bila kushiriki vikoba hivi wangetusomesha kweli unafikiri kila mtanzania anaweza kuwa na biashara Canada je mikopo uliyokuwa nayo kiasi Cha m400+kila mtanzania anaweza kukopesheka kiasi hicho jibu ni hapana basi k**a Mungu kakupa huo uwezo acha maramoja kejeli na fedhea Kwa mama zetu kwani vikoba vimetusaidia kusoma na hata kufikia hapa tulipo k**a siasa zimekushinda unakosa la kuwaambia wananchi wa Arusha ulikuwa mbunge wao miaka15 huna ulichofanya Sasa Leo umeondoka umekuta ccm imefanya maendeleo jimboni kwako uliposhindwa ww acha kupanic kazi Sasa zinafanyika ww Rudi Canada kasimamie biashara zako tuache watanzania mama atujengee nchi hujaona lami mianzini kwenda ngaramtoni maji umeme barabara katikakti mjini stand soko Sasa Leo utasema kitu gani tunaomba uwe na nidhmu nawazazi na chama. .mpayo.3