Ivannafashiontz

Ivannafashiontz Tunauza nguo kali aina zote za k**e na watoto|kiume k**a vile
|gauni |sketi| viatu|suruali|shuka|
Tu

New arrival
15/03/2024

New arrival

25/11/2023
The Magical setSet ya maajabu kwa ngozi yako. HaichubuiInang'arisha na kukupa glowing skin.Ni uhakika. Ni natural kabisa...
18/08/2023

The Magical set
Set ya maajabu kwa ngozi yako. Haichubui
Inang'arisha na kukupa glowing skin.
Ni uhakika. Ni natural kabisaàa
Set ni 120,000
Ina coffee scrub, kleo serum, kleo cream, sona magical soap, showegel unayoweza kutumia kuanzia kwenye nywele.
Hakika hutojuata.
Hata wale waloharibika kwa matumizi ya vipodozi vikali hapa wanarejeshwa ktk khali zao za ngozi ya awali kabisa.

Tunapatikana mkuranga mjini
0762275421.
Mikoani tunatuma

SONA  ROYAL SILK..lightening oil 🥰  haichubui wapenzi. Lkn ina maajabu saba🥰❤️😁                                         ...
15/08/2023

SONA ROYAL SILK..lightening oil 🥰 haichubui wapenzi. Lkn ina maajabu saba🥰❤️😁 Haya ni mafuta ya maji yenye mchanganyiko wa oil zaidi ya 5 ikiwemo rosehip pamoja na almond✍️ Yana vitamin E na C 🍊 Yanalainisha ngozi✅ yanatoa weusi mapajani✅ yanasaidia kwa wenye alergy na magonjwa ya ngozi✅ yanaboost natural color✅ anatumia hadi mtoto✅ yana harufu nzuri sanaa k**a pipi✨🍊 yanarudisha ngozi iliyoungua na cream kali✅ matokeo yake ni ya uhakika. .......wale wenye sugu.....kwa mwamba huyu zinaaga zenyewe . Ni 40,000 250mls. Call 07622765421

Ni mafuta ya ngozi ya mgando ambayo yametengenezwa kwa kutumia Shea Butter na Vitamin E ni mazuri sana kwa ajili ya afya...
11/08/2023

Ni mafuta ya ngozi ya mgando ambayo yametengenezwa kwa kutumia Shea Butter na Vitamin E ni mazuri sana kwa ajili ya afya ya ngozi.
Ni mafuta ambayo hayana chemical, hata mtoto mdogo anaweza kupaka.
Yanasaidia kurutubisha ngozi nankuifanya iwe na muonekano unaovutia.
8000
Tunauza pia jumla
Wasiliana 0762275421
Mkuranga mjini

Tea Tree showergel 500mlsGently cleanses Both skin and Hair!Ni rafiki kwa ngozi yako ma inaiacha ngozi yako laini safi n...
09/08/2023

Tea Tree showergel 500mls
Gently cleanses Both skin and Hair!
Ni rafiki kwa ngozi yako ma inaiacha ngozi yako laini safi na nyororo sana.
10,000 tu

0762275421
Tunapatikana Mkuranga Pwani

   Lotion nzuri sana kwa wasiopeda mambo mengi na wavivu wa scrub✅ Inasoftisha✅ Haichubui✅ Inanyoosha ngozi✅ Inalainisha...
27/07/2023

Lotion nzuri sana kwa wasiopeda mambo mengi na wavivu wa scrub✅ Inasoftisha✅ Haichubui✅ Inanyoosha ngozi✅ Inalainisha ngozi✅ Inang'arish kiasi sio kubadili rangi✅ Inaondoa weusi wa mapaja na pigmentation✅ . Tunapatikana mkuranga mjini karibu 0762275421

K**a unajipenda na unaipenda ngozi yako tumia hii set, ni set inayojitosheleza kwa  *SKIN CARE ROUTINE* ya siku nzima! K...
21/07/2023

K**a unajipenda na unaipenda ngozi yako tumia hii set, ni set inayojitosheleza kwa *SKIN CARE ROUTINE* ya siku nzima! Kleo lotion ni 2 in1, ina exfoliate ngozi yako ya mwili mzima, Kuanzia usoni hadi ukucha wa mguu! Hii set ina kleo lotion , kleo serum, kleo soap na alovera sunscreen! ....mwanaume na mwanamke wanatumia....tuzipende ngozi zetu!😘

Kleo beauty set for glowing skin
0762275421
Mkuranga mjini

K**a unajipenda na unaipenda ngozi yako tumia hii set, ni set inayojitosheleza kwa  *SKIN CARE ROUTINE* ya siku nzima! K...
21/07/2023

K**a unajipenda na unaipenda ngozi yako tumia hii set, ni set inayojitosheleza kwa *SKIN CARE ROUTINE* ya siku nzima! Kleo lotion ni 2 in1, ina exfoliate ngozi yako ya mwili mzima, Kuanzia usoni hadi ukucha wa mguu! Hii set ina kleo lotion , kleo serum, kleo soap na alovera sunscreen! ....mwanaume na mwanamke wanatumia....tuzipende ngozi zetu!😘

Kleo beauty lotion na cream 35,000Kleo cream/lotion inakupa ngozi unayoitaka. Ngozi k**a kioo.   *Ina hyluronic acid+ vi...
20/07/2023

Kleo beauty lotion na cream 35,000
Kleo cream/lotion inakupa ngozi unayoitaka. Ngozi k**a kioo. *Ina hyluronic acid+ vitamin E&C* hivyo ina brightens na kuhydrate ngozi yako na kukuzuia usiungue na jua. 🤔🤔kumbuka ngozi ikiwa na unyevu mda wote lazima itakuwa soft na yenye kung'aa kimvuto! 😘Ina improve appearance ya ngozi yako na kuondoa madoa makovu na weusi( kufubaa)

Tupatikana mkuranga mjini
076227541

Kleo vitaminE  face oil Ni mafuta ya vitamin EVitamin e ni ant oxidant inakukinga kuharibika kwa ngozi Inatunza unyevu w...
12/07/2023

Kleo vitaminE face oil
Ni mafuta ya vitamin E
Vitamin e ni ant oxidant inakukinga kuharibika kwa ngozi

Inatunza unyevu wa ngozi yako so unakuwa soft

Inaondoa mikunjo so inapunguza rate ya uzee..kuzeeka kwa ngozi na uso..(.baby face forever)

Kwa wale wanaotumia cream kali unahitaji sana zaidi hii oil ili usiwe na makunyanzi na wekundu.

Ofa 25,000Gauni ina size 46 mpaka 54Ina rangi mbili na blue piaTunapatikana mkuranga mjini karibu na shule ya msingi mku...
12/07/2023

Ofa 25,000
Gauni ina size 46 mpaka 54
Ina rangi mbili na blue pia
Tunapatikana mkuranga mjini karibu na shule ya msingi mkuranga
Tunafanya delivery

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ivannafashiontz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share