Mitumba Bale Shop

Mitumba Bale Shop Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mitumba Bale Shop, Clothing (Brand), Dar es Salaam.

Hello wateja zetu agiza mabalo ya mtumba kutoka kwetu kwa bei nzuri sana...mabalo yetu yapo kwa kilo pia...mikoani tunas...
10/04/2026

Hello wateja zetu agiza mabalo ya mtumba kutoka kwetu kwa bei nzuri sana...mabalo yetu yapo kwa kilo pia...mikoani tunasafirisha karibuni sana

15/02/2025

Hello wateja zetu tunaendelea kupokea oda zenu... karibuni sana... asante kwa kuagiza na mimi...nawapenda sana

K**a unahitaji pochi basi utapata pochi nzuri sana...karibuni sana
03/02/2025

K**a unahitaji pochi basi utapata pochi nzuri sana...karibuni sana

03/02/2025

Hello wateja zangu Agiza na mimi kitu chochote kutoka uturuki .......vitu ni original kabisa... tunakusafirishia kwa njia ya ndege na kupata mzigo wako kwa wakati...karibuni sana

Sikukuu zinakuja..nguo nzuri za watoto kutoka uturuki.....karibuni wateja zangu
03/02/2025

Sikukuu zinakuja..nguo nzuri za watoto kutoka uturuki.....karibuni wateja zangu

Agiza raba kutoka uturuki...raba zetu ni nzuri sana na imara... tunasafirisha kwa njia ya ndege...pendeza na raba origin...
03/02/2025

Agiza raba kutoka uturuki...raba zetu ni nzuri sana na imara... tunasafirisha kwa njia ya ndege...pendeza na raba original kutoka uturuki...agiza na mimi ata ukiagiza pea moja ya kiatu tunakusafirishia kwa haraka zaidi

Nguo zetu ni cotton nzuri kabisa... karibuni wateja zangu
03/02/2025

Nguo zetu ni cotton nzuri kabisa... karibuni wateja zangu

Hello my customer's  karibu uagize  na mimi kutoka uturuki nguo nzuri za watoto ... nitakusafirishia mzigo wako kwa ndeg...
03/02/2025

Hello my customer's karibu uagize na mimi kutoka uturuki nguo nzuri za watoto ... nitakusafirishia mzigo wako kwa ndege... karibuni sana

01/02/2025

Agiza na mimi kutoka uturuki vitu vya ujenzi....vifaa vya umeme ni original...kama unajenga nyumba basi ninaweza kukununulia vifaa huku nikakusafirishia kwa njia ya kago...vitu ni original kutoka uturuki...wasiliana na sisis kwa ukurasa wetu...ogopa matapeli...endelea kufatilia ukurasa wetu huu kwa mambo mazuri kutoka uturuk

01/02/2025

Hello wateja zangu nimerudi tena ...sasa unaweza kuagiza bidhaa yeyote unayotaka kutoka uturuki...nipo uturuki na napokea oda za wateja zangu...ukihitaji mzigo wako ukufikie haraka basi tutakutumia kwa njia ya ndege ...tunasafirisha kwa njia ya kago ndani ya siku 30 tu...ushuru ni juu yako mteja....asanteni kwa kulike page yetu ...tunawapenda sana...

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255655343622

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mitumba Bale Shop posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share