10/06/2026
π₯ DUANAS ORIGINAL - UBORA KWANZA! π₯
Jipatie vitambaa vya kijanja na vyenye ubora wa hali ya juu (100% Cotton). Havifui na vina doti nzima ya Yard 6. Muonekano wako ndio fahari yetu!
π΅ Bei ya Rejareja: Tsh 30,000
π΅ Bei ya Jumla: Tsh 24,000
π Karibu dukanani kwetu Kariakoo, Mtaa wa Raha, karibu na Wanyama Hotel.
π¦ Huduma ya Delivery ipo kwa wakazi wa Dar es Salaam na mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa.
π² TUPO HEWANI:
β’ WhatsApp: 0622 837 581
β’ Piga Simu: 0764 615 252 / 0657 607 408
Karibuni sana wateja wetu! β€οΈ
# lifestyle life