Vitu Bei Chee

Vitu Bei Chee Jezi Elfu 12 Tu! Jeans Elfu 17 Rejareja Tshirt Elfu 10 Tu!

Mashati Na Formsix Elfu 18 Sendoz Elfu 10 Raba Elfu 25 Tupo Daresalaam , Dodoma Na Arusha Wasiliana Nasi Kupitia +255785264853 au 0746123150 au 0741922249 Huduma Kwa Wateja

Mashati elfu 18 mazuri hayapauki wala kuchuja rangi
11/06/2026

Mashati elfu 18 mazuri hayapauki wala kuchuja rangi

Mtu ananiuliza boss nina million 3 nataka kufungua duka la nguo litakalo niingizia faida zaidi ya million kwa mwezi nifa...
19/02/2026

Mtu ananiuliza boss nina million 3 nataka kufungua duka la nguo litakalo niingizia faida zaidi ya million kwa mwezi nifanyaje?🤷🏻‍♀️ Soma👇👇👇

Hatua hizi ndio za kufanya
1. Tafuta fremu sehemu Yeyote Ambayo Inafikika Yaani Mteja Anaweza Fika na ni rahisi kumuelekeza hapo hakikisha kodi isizidi elfu 50 hadi laki moja kwa mwezi na malipo yawe laki 3 miezi sita k**a ni elfu 50 kodi au laki 3 kwa miezi 3 k**a kodi ni laki moja *hiyo ni asilimia kumi ya mtaji wako wote A.K.A fungu la kumi*

2. Ukarabati wa fremu hiyo usizidi laki tatu yaani *asilimia 10 ya mtaji fungu la kumi k**a kawaida* ikibidi anza kwa kununua henga 100 na chuma mbili tu za kutundikia nguo kiufupi usifanye urembo mwingi wa fremu kwani wateja hawafuati uzuri wa fremu bali wanafuata *uzuri na ubora wa nguo.*

3. Hadi hapo utakuwa umetumia laki sita yaani kodi na ukarabati wa fremu sasa hatua inayofuata weka laki 3 ya matangazo online mwezi mzima k**a utatangaza tangazo la elfu 10 kila siku au miezi miwili k**a utatangaza tangazo la elfu 5 kila siku online maana siku hizi wateja wapo online sio hao wapita njia kwani wapita njia walikuwa wateja zamani siku hizi wateja wapo online mkuu hivyo k**a kawaida laki tatu kwa ajili ya matangazo mkuu ni mwendo wa *asilimia kumi yaani fungu la kumi mkuu*

4. Hadi hapo umetumia laki 9 na umebakia na 2.1Million sasa hiyo ndio ya kununulia mzigo utakao uza dukani

5. Swali ni Je? Wataka kujua ununue mzigo gani sasa ili uweze kuingiza faida zaidi ya million kwa mwezi kwa huo huo mtaji wa million 3 ulioanza nao basi karibu dukani kwetu tutakuelekeza kipi ununue na idadi gani uchukue na namna nzuri ya kulipia matangazo ili uwafikie wateja sahihi na mzunguko wa biashara yako uweze kuwa mzuri na upate faida zaidi ya million kila mwezi

Simu zetu Tupigie ni 0746123150 pia waweza kuwasiliana nasi kwa whatsapp au kupiga simu moja kwa moja

Tunapatikana Daresalaam Mbezi Luis Na Dodoma Chuo Cha CBE

Elfu 18 Rejareja Tshirt Moja Nzito Cotton mashine wash Tupo Daresalaam Mbezi Luis Simu 0746123150 Na Dodoma CBE Chuo sim...
03/02/2026

Elfu 18 Rejareja Tshirt Moja Nzito Cotton mashine wash Tupo Daresalaam Mbezi Luis Simu 0746123150 Na Dodoma CBE Chuo simu 0741922249

*Kataa Mtumba Vaa Dukani*

Ofa Ya Valentine Tshirt Wahi Zipo Chache Elfu 12 Rejareja Na Jumla elfu 11 Kuanzia kumi 0785 264 853 *hivyo Mkiwa wahali...
28/01/2026

Ofa Ya Valentine Tshirt Wahi Zipo Chache Elfu 12 Rejareja Na Jumla elfu 11 Kuanzia kumi 0785 264 853
*hivyo Mkiwa wahalifu Wawili Mnajipatia mbili kwa elfu 24 Tu!* SIMU ZIITE +255 746123150 Maduka Yapo Daresalaam na Dodoma

Jezi Elfu 12 Tu! Jeans Elfu 17 Tu! Rejareja, Tshirt Elfu 10 Tu!, Mashati Na FormSix Elfu 18 Tu! Simu 0785 264 853 Tunapa...
24/01/2026

Jezi Elfu 12 Tu! Jeans Elfu 17 Tu! Rejareja, Tshirt Elfu 10 Tu!, Mashati Na FormSix Elfu 18 Tu! Simu 0785 264 853 Tunapatikana Daresalaam Mbezi Magufuri Na Dodoma Mjini Mkabala Na Mahak**a Ya Mwanzo Makole.

Mashati elfu 18 rejareja moja na jeans elfu 17 rejareja karibuni dukan dar mbezi magufuri simu 0746123150 na DODOMA CBE ...
19/01/2026

Mashati elfu 18 rejareja moja na jeans elfu 17 rejareja

karibuni dukan dar mbezi magufuri simu 0746123150 na DODOMA CBE Chuo 0741922249

Pensi Za Jeans Elfu 15 Rejareja Tupo Wazi DARESALAAM Na DODOMA Simu 0746123150 au 0741922249*Kataa Mtumba Vaa Dukani Na ...
19/01/2026

Pensi Za Jeans Elfu 15 Rejareja Tupo Wazi DARESALAAM Na DODOMA Simu 0746123150 au 0741922249

*Kataa Mtumba Vaa Dukani Na Sisi OFA OG OutFit*

19/01/2026

Address

Dar Mbezi Magufuri, Dodoma CBE Makole, Na Arusha Mjini
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 21:00
Tuesday 09:00 - 21:00
Wednesday 09:00 - 21:00
Thursday 09:00 - 21:00
Friday 09:00 - 21:00
Saturday 09:00 - 21:00
Sunday 09:00 - 21:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Vitu Bei Chee posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Vitu Bei Chee:

Share