Lissa collections

Lissa collections Your trusted shop for women’s & children’s clothes, bags and fashion accessories.

11/06/2026

🌸 Mama na Baba Girls wangu wa nguvu, nawaita tena kwa heshima! ❤️

Tumewaletea offer kabambe ya nguo zetu za Pure Cotton 💯 kutoka Turkey 🇹🇷🇹🇷 katika mitoko ya likizo hii — ubora wa hali ya juu, laini, na zenye muonekano wa kipekee.

💰 Bei ni TZS 30,000 – 33,000 tu.

⚠️ Usisubiri hadi usikie “SOLD OUT”!
Chagua yako mapema kabla stock haijaisha.

📩 Inbox sasa au tupigie simu kuweka oda yako.
WhatsApp 0714041525

Feedback🔥🔥🔥
05/06/2026

Feedback🔥🔥🔥

🚨RESTOCK ALERT! 🚨Nguo za watoto zinazopendwa zaidi zimewasili tena kutoka Turkey 🇹🇷✨💯 Cotton halisi yenye ubora wa juu👶 ...
05/06/2026

🚨RESTOCK ALERT! 🚨

Nguo za watoto zinazopendwa zaidi zimewasili tena kutoka Turkey 🇹🇷✨

💯 Cotton halisi yenye ubora wa juu
👶 Zenye faraja, laini na salama kwa watoto
🌟 Mitindo ya kisasa inayowafanya watoto waonekane nadhifu zaidi

Stock ni chache na mahitaji ni makubwa kila mara zinapowasili! Usisubiri kuambiwa zimeisha.

📲 Weka order yako mapema sasa na uhakikishe unampatia mtoto wako ubora anaostahili kwa bei rafiki.

Karibu lissacollections_25 — mahali pa ubora, uaminifu na bei zinazokufaa. ❤️

Address

Kariakoo
Dar Es Salaam
12101

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lissa collections posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share