25/03/2019
Binti wacha niseme haya machache juu yako ww uliekata tamaa nakuona huwez wala hujui uanzie wapi kufanya. Nakutia moyo kuwa hizo ni changamoto tu ambazo zinapita kukushape yan kukutengeneza hivyo kuwa jasiri.
Penye pananjia ila anza hatua hata tatu watu wajue kumbe anatembea kuliko kusimama na ukabaki kusema kwan hawanioni k**a namm nimsafiri.
Nakutakia mafanikio mema
Be you