macro_car_accessories

macro_car_accessories Tunauza accessories mbalimbali za magari kwa bei nzuri sana

👉Subaru Forester👉Bei:million 17👉1900cc👉Year:2010👉Full ac👉Full document👉Ipo tabata segerea👉Call/whatsapp:0769826193
26/05/2024

👉Subaru Forester
👉Bei:million 17
👉1900cc
👉Year:2010
👉Full ac
👉Full document
👉Ipo tabata segerea
👉Call/whatsapp:0769826193

Kwanini ni muhimu kutumia fuel injector treatment?Fuel injector ni device ambazo uwa zina peleka mafuta kwenye engine kw...
23/08/2023

Kwanini ni muhimu kutumia fuel injector treatment?

Fuel injector ni device ambazo uwa zina peleka mafuta kwenye engine kwa ajili ya combution

Tunapoweka mafuta kwenye shell sometimes mafuta yanaweza kuwa machafu kwa kuwa contaminated na vumbi au particle zingine

Hivyo upelekea fuel injector kuchafuka na kupeleka mafuta mengi kwenye engine na kufanya gari litumie mafuta mengi

Hii product inaenda kusafisha fuel injector ma kuzifanya zifanye kazi yake vizuri hivyo upunguza utumiaji wa mafuta mengi kwenye gari

Bei:15000

Zipo za aina mbili za petrol na diesel

Matumizi:
👉Ukiweka mafuta full tank unaweka chupa moja
👉Ukiweka mafuta nusu tank unaweka nusu chupa

Location:Sinza kumekucha/tabata segerea

Call/whatsapp:0718105674/0712849964

Kutokana na bei ya mafuta kupanda tumewaletea product inayosaidia kusafisha fuel injector ambacho hiki ni kifaa kinachop...
09/08/2023

Kutokana na bei ya mafuta kupanda tumewaletea product inayosaidia kusafisha fuel injector ambacho hiki ni kifaa kinachopele mafuta kwenye engine

Hichi kifaa uwa kikichafuka efficiency yake ya kazi inapungua na kupelekea kupeleka mafuta mengi kwenye engine hivyo kufanya gari litumie mafuta mengi

Zipo za magari ya petrol na diesel

Jinsi ta kutumia:
👉Kwa magari ya kawaida unatumia chupa moja kwa full tank
👉Kwa magari makubwa mfano malori unatumia chupa 2 gari likiwa full tank

Bei:15000

Ni vizuri kutumia kila baada ya km 3000

Call/whatsapp:0718946965/0712849964

Location:sinza kumekucha/Tabata segerera

Haya jamani kutokana na bei ya mafuta kupanda dukani tuna product nzuri inayodhibiti ulaji wa mafuta kwenye gari lakoIna...
04/08/2023

Haya jamani kutokana na bei ya mafuta kupanda dukani tuna product nzuri inayodhibiti ulaji wa mafuta kwenye gari lako

Inasaidia kusafisha mafuta machafu na kufanya gari litumie mafuta kidogo sana

Bei:15000

Zipo za aina mbili ya petrol na diesel

Call/whatsapp:0715175702/0712849964

Location:sinza kumekucha na tabata segerera

01/08/2023

Suluhisho lipo la ulazi wa mafuta kwenye gari timia fuel injector treatment

Zinapatikana kwetu kwa sh elfu 15

Tunapatikana sinza kumekucha near fine travellers hotel

Call/whatsapp:0712849963

Hizi ni baadhi ya sababu zinazofanya mafuta kwenye gari kuchafuka✅Uchakavu wa engineEngine inavyo operate kutokana na fr...
20/07/2023

Hizi ni baadhi ya sababu zinazofanya mafuta kwenye gari kuchafuka

✅Uchakavu wa engine
Engine inavyo operate kutokana na friction utengeneza metal particles ambazo ziki unganika na engine oil husababisha mafuta kuwa machafu

✅Kutokufanya service mara kwa mara
Ni vizuri kubadilisha oil mara kwa mara pia kubadilisha filter husaidia engine ifanye kazi vizuri kutokupelekea mafuta kuchafuka

✅Kuweka mafuta machafu kutoka shell
Sometimes mafuta tunayoweka shell yanaweza kuwa yakechafuliwa na vumbi na kupelekea mafuta kwenye gari kuwa machafu

✅Vumbi kutoka barabarani
Kuendesha gari katika mazingira ya vumbi upelekea vumbi kupenya kwenye engine na kuchafua mafuta

Tuna product nzuri sana kwa ajili ya kusafisha mafuta machafu

Bei:15000

Call/whatsapp:0718946965/0712849964

Location:Tabata segerea/sinza kumekucha

19/07/2023

K**a fuel injectors zako ni chafu hufanya upelekaji wa mafuta kwenye engine husiwe wa kiwango kinachotakiwa na kupelekea gari kutumia matufa mengi sana

Tuna product nzuri sana za kusafisha fuel injector pamoja na mafuta machafu

Bei:15000

Tunapatikana sinza kumekucha/tabata segerea

Call/whatsapp:0718946965/0712849964

K**a gari lako linatumia mafuta mengi kupita kiasi tuna product nzuri sana ya kusafisha mafuta machafu kwenye gariHiyo p...
19/07/2023

K**a gari lako linatumia mafuta mengi kupita kiasi tuna product nzuri sana ya kusafisha mafuta machafu kwenye gari

Hiyo product inaitwa fuel treatment inafanya kazi zifuatazo;

🔷Inasaidia sana kusafisha mafuta machafu na kufanya gari lako litumie mafuta kidogo mno

🔷Inasaidia kusafisha engine

🔷Inafyonza majimaji katika mfumo mzima wa mafuta

🔷Haiharibu catalytic converter(masega)

Zipo aina mbili moja ya magari yanayotumia diesel nyingine kwa magari yanayotumia petrol

Matumizi yake:
Unatakiwa kuweka chupa nzima kwa gari ambalo lipo full tank na nusu chupa kwa gari ambalo ni nusu tank

Kwa magari makubwa k**a malori unatakiwa utumie chupa mbili

Bei:15000

Call/whatsapp:0718946965/0712849964

Location:sinza kumekucha near fine travellers hotel pamoja na tabata segerea

Note:Ili kuweza kudhibiti ulaji wa mafuta katika gari yako unatakiwa kutumia fuel treatment kila baada ya km 3000

K**a gari lako linatumia mafuta mengi kupita kiasi tuna product nzuri sana ya kusafisha mafuta machafu kwenye gariHiyo p...
19/07/2023

K**a gari lako linatumia mafuta mengi kupita kiasi tuna product nzuri sana ya kusafisha mafuta machafu kwenye gari

Hiyo product inaitwa fuel treatment inafanya kazi zifuatazo;

🔷Inasaidia sana kusafisha mafuta machafu na kufanya gari lako litumie mafuta kidogo mno

🔷Inasaidia kusafisha engine

🔷Inafyonza majimaji katika mfumo mzima wa mafuta

🔷Haiharibu catalytic converter(masega)

Zipo aina mbili moja ya magari yanayotumia diesel nyingine kwa magari yanayotumia petrol

Matumizi yake:
Unatakiwa kuweka chupa nzima kwa gari ambalo lipo full tank na nusu chupa kwa gari ambalo ni nusu tank

Bei:15000

Call/whatsapp:0718946965/0712849964

Location:sinza kumekucha near fine travellers hotel

Note:Ili kuweza kudhibiti ulaji wa mafuta katika gari yako unatakiwa kutumia fuel treatment kila baada ya km 3000

18/07/2023

Umbali mrefu mafuta kidunchu

Call/whatsapp:0718946965/0712849964

Location:sinza kumekucha/tabata segerea

Bei:15000

Tunatuma mizigo kwa uhaminifu mkubwa sana jamaniKaribuni macro car accessories tupo wazi tayariCall/whatsapp:0718946965/...
17/07/2023

Tunatuma mizigo kwa uhaminifu mkubwa sana jamani

Karibuni macro car accessories tupo wazi tayari

Call/whatsapp:0718946965/0712849964

Location:tabata segerea/sinza kumekucha

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255715175702

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when macro_car_accessories posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to macro_car_accessories:

Share

Category