Pochi Online

Pochi Online Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Pochi Online, Clothing Store, Mwananyamala, Dar es Salaam.

14/02/2025

Pochi online ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
17000/= rejareja

ใ‚šviralใ‚ท #

MJE TUJADILI   Najua Mtatoa Mapovu Sana Ila Toeni Lakini Huu Ndiyo Ukweli!Wanawake wengi wanadhani kuwa wanaweza kumpang...
04/02/2025

MJE TUJADILI
Najua Mtatoa Mapovu Sana Ila Toeni Lakini Huu Ndiyo Ukweli!

Wanawake wengi wanadhani kuwa wanaweza kumpangia mwanaume namna ya kulea mtoto wake ambaye alizaa nnje ya ndoa, namna ya kuwasiliana na Mama wa mtoto, namna ya kumhudumia Mama wa mtoto wake ila ukweli nikuwa hawawezi. Mtoto akishazaliwa anakua na haki zote sawa na mtoto wa ndani ya ndoa, ni mtoto wake na kiwango cha DNA ni kile kile.

Unapokubali kuwa mume wako, mpenzi wako au mchumba wako kazaa na mwanamke mwingine basi kubali pia kuwa, huyo mwanaume ataendelea kuwasiliana na huyo mwanamke aliyezaa naye mpaka wanaingia kaburini. Yaani mawasiliano yao yatakoma pale ambapo mmoja wapo kati ya watatu anakufa, awe ni mwanaume wako, mtoto au mwanamke.

Ubaya ni kwamba, huwezi kumpangia mwanaume eti asiongee na Mama wa mtoto wake, eti asiende kumuona mtoto, eti asimpost mtoto, asimsomeshe na vingine vingi. Ukipata mwanaume anayejielewa basi jua atajiheshimu, atawasiliana na huyo mwanamke mwingine kimya kimya na hatakuambia chochote. Ukipata ambaye hajielewi basi jua kuwa atakua anaongea naye mbele yako, anampost mwanamke kila siku na vitu vingine vingi. Najua inauma ila ndiyo ukweli, kuna wale wanasema basi ili asiwasiliane na Mama wa mtoto basi umchukue mtoto umlee wewe!

Hawa ndiyo wanachekesha, hivi hata ukimchukua mtoto unadhani huyo mwanamke ni mjinga kiasi gani, anaweza kulala mwezi mzima bila kujua mtoto wake anaendeleaje, hivi kweli wewe ni mwanamke, ukimuacha mtoto wako kwa Mama yako mzazi ambaye unamuamini lakini utampiga simu kutwa mara tatu k**a dozi ya UTI sembuse umempeleka mtoto wako umpeleke kwa Mama wa kambo ambaye mnanuniana!

Kuna mtu juzi alisema ukinisoma si lazima kukubaliana na ushauri wangu, akili ya kuambiwa changanya na yakwako. Ni kweli, hata na wewe wakati unasomaComment acha kuhcukua kila kitu, akili ya kuambiwa changanya na yako, kuna wanawake wengi huko kwenye comment wanasema kuwa naachana naye ila wakinipigia simu wanavumilia, sisemi uvumilie ila changanya na yakwako!

Najua ni Ngumu ila ndiyo ukweli, achene kuwa mashamba darasa, k**a unasamehe samehe k**a unaondoka ondokaa cha kuwa katikati!

ใ‚šviralใ‚ท

๐Ÿ™๐ŸพKARBUNI SANA Pochi Online  NI WAUZAJI WA POCHI KUTOKA NCHI MBALIMBALI KWA JUMLA NA LEJALEJA๐ŸŒ๐ŸŒDUKA LIPO DAR ES SALAAM N...
24/01/2025

๐Ÿ™๐ŸพKARBUNI SANA Pochi Online NI WAUZAJI WA POCHI KUTOKA NCHI MBALIMBALI KWA JUMLA NA LEJALEJA
๐ŸŒ๐ŸŒDUKA LIPO DAR ES SALAAM NYUMA KIDGO YA MWANANYAMALA HOSPITAL
๐Ÿ”ดTunauza jumla na lejaleja bei zetu zinaanzia Elf 14000/= mpka 16000/= kwa bei ya jumla na lejaleja kwa elf 16000/= mpka 30000/=.
โ˜Ž๏ธ0747454600
๐Ÿ‘‰Elfu 4 delivery watu wa dar
๐Ÿ‘‰Elfu 6 delivery watu wa mikoa ya karbu
๐Ÿ‘‰ Mchezo wa pochi kila sku elfu 2000/= baada ya sku 9 anatoka mtu na pochi yake ya elfu 18 kwa uaminifu mkubwa sana...... Group Link ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

https://chat.whatsapp.com/CeloZf8IXhrDUPeQuu5NDH

๐Ÿ‘‰Instagram๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ https://www.instagram.com/pochi_online_dar/profilecard/?igsh=YXZ2MXU4ZWVkaG9q
๐Ÿ‘‰TikTock๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ https://www.tiktok.com/?_t=8qypdhlcplu&_r=1

๐Ÿ“ž0747454600 group Link ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://chat.whatsapp.com/CeloZf8IXhrDUPeQuu5ND

Piga au njoo Whatsapp kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zetu โ˜Ž๏ธ+255 747 454 600
23/01/2025

Piga au njoo Whatsapp kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zetu โ˜Ž๏ธ+255 747 454 600

Address

Mwananyamala
Dar Es Salaam

Telephone

+255787995244

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pochi Online posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Pochi Online:

Share

Category