10/01/2019
Penzi ukilipoteza Wenzio wataliokota tu!
Abali wana page wenzangu Wa True love kwanza ni yule yule mtuwenu brother osu Leo ninamada fupi nataka kuliweka wazi kwa upana zaidi
: ::KWANINI UKILITUPA WATALIOKOTA::
Unapokua mkoseaji Wa makosa ya mala Kwa mala nilazima wakati mwingine ujiulize ni wapi unapo kosea! Wakati mwingine unaweza kuwa sawa Kwa fikra zako tu Kwa jinsi unavyo jiona wewe na isiwe sawa, Binaadam tumeumbwa kuwa ni sehem ya changamoto nalengo ni tofauti ili tulete maana halisi ya maisha,
Nilazma tujue ni wapi tunakosea ili tusiwafanye wapenzi wetu watukimbie, Zipo nyia nyingi zakulifanya penzi lako kuwa imala nalenye nguvu, Nilazima uwe tayari Kwa kilakitu,
Nilazima uwe mwepesi wakujua nakuelewa,
Nilazima pia ujue kuuliza kupokea nakufanya maamuzi,
Nilazima uwe mwepesi Wa mabadiliko,
Nilazima uwe mbunifu,
Nilazima pia ujue mwenzio anajickiaje,
Hizi ninjia baadhi tu k**a ukiamua kuzifanya ili udumisha penzi lako, Njia nyingine kubwa ni kuwa mkweli kwakila jambo Kufanya hivyo kutamfanya mpenzi wako kuwa NA furaa NA kukuamini daima,
Mapenzi ni akili na viubunifu kidogo kufanya hiv kutawafanya muishi bila kuchokana Kwa muda mlefu zaidi,
"JIFUNZE"
Binaadam tumeumbwa na tamaa sana Kwa vile ulivyo ndivyo watu wanavyokuona, Vipo Vitu vizur ulivyonavyo lakini wenye kujua thamani yake niwachache sana, Wengi upenda Kwa kuonatu lakini wakipewa nafasi hupoteza thamani yote, hivyo tuwe makini Kwa machaguo tunayo yafanya!
"MWISHO"
ATA MPENZI WAKO AKOSEE VIPI EPUKA KUTOA TOA SIRI ZA MAPENZI YENU, KUMBUKA NINI MAANA YA NENO SEHEM ZA SIRI,
WAPO WEPESI WAKU CREM NA KUTENDA, WAPO WALIOPENDA NA KUTENDWA WAPO WALIOKOSEA NA KUJIFUNZA, WOTE WANATAFUTA NAFASI HIVYO JITAIDI SANA KUWAJUA WATU HAO.